seems like ur a victim......
labda mie ndo navictimize wengine.
Uaminifu hauna mashiko, weengi utawakuta wana madepression na stress mara presha mara sijui nini.
Wizi mtupuuuu
upo
lakini kuna aina za uaminifu
mfano wapo watu emotional cheating hawahesabu kuwa ni cheating
so fikiria hilo
Siyo mwaminifu kwa viwango vya nani? Manake kama wewe unajiona mwaminifu na mwingine au wengine hawakuoni mwaminifu wewe hilo liko nje ya uwezo wako. Huwezi kudhibiti maono ya wengine. Au nakosea?
Kuna watu hata kissing hawaihesabu kuwa ni cheating. Cheating kwao lazima ihusishe penetration....
Kongosho you do have logic. kuna watu nawajua wameugua ma sheli na ma bp wengine hadi uwendawazimu kwa kuwa waaminifu. yaani kama huwah kusika utashangaa tu wala hutoelewa aisee.labda mie ndo navictimize wengine.
Uaminifu hauna mashiko, weengi utawakuta wana madepression na stress mara presha mara sijui nini.
Wizi mtupuuuu
Nambe kula like zangu kama mia hivi.Ni kweli uaminifu unakuwepo moyon mwako kwa mtazamo wangu, haijalishi mwenzio atakuamin ama laa, tatzo ni kuwa kuwa mwaminif inakuwa painfull sana nyakat flan hasa unapokuwa na wasio waaminif, unajawa na maswal kwa nn wasiwe kama ww, na wakat mwingine unapoamua kutokuwa muaminifu kama wao, unajikuta dhamira yako inakuumiza zaid, nahc uaminif ni tabia ya mtu, ipo ndan yake,
//sasa umeona wewe hata emotional cheating huijui
waweza kuwa unashiriki saana
na unajiona muaminifu
Kuna watu hata kissing hawaihesabu kuwa ni cheating. Cheating kwao lazima ihusishe penetration....
//
sasa mbona unanisuta kwangu mimi imekaa kama kuwaka tamaa tu// ndo maana nimekuwa doubtful kwamba kwasatil hiyo hakuna mwaminifu duniani.
hii dunia ina vituko hii NN
kuna familia mdada kusema no kwa boss wake oficin ni impossible
yaani ukileta kesi eti mkeo kaku cheat na boss wake
atatetewa na ukoo wao mzima lol
unaweza jibiwa 'acha wivu wa kijinga'
msapoti mwenzio anahangaikia familia lol
to be frank sijijui aisee nafsi yangu inajiskia maruweruwe, mara ndio mara hapana mara nakiri mara nakataa..........too complicated to me.
neno strategically hapa limetumikaje? kwamba you set boundaries pr what?