uaminifu...........

uaminifu...........

upo
lakini kuna aina za uaminifu
mfano wapo watu emotional cheating hawahesabu kuwa ni cheating
so fikiria hilo

Kuna watu hata kissing hawaihesabu kuwa ni cheating. Cheating kwao lazima ihusishe penetration....
 
Siyo mwaminifu kwa viwango vya nani? Manake kama wewe unajiona mwaminifu na mwingine au wengine hawakuoni mwaminifu wewe hilo liko nje ya uwezo wako. Huwezi kudhibiti maono ya wengine. Au nakosea?

unajua Nyani Ngabu sometimes moyo hudanganya kwa kukutia ujasiri mithili ya mfariji mtaabishaji. what will you do at this stage? mtu anatiwa moyo na nafsi yake ilihali kiukweli ni anajitaabisha unamwambiaje?ama unashauri kitu gani?
 
Last edited by a moderator:
upo
lakini kuna aina za uaminifu
mfano wapo watu emotional cheating hawahesabu kuwa ni cheating
so fikiria hilo
my dearest boss emotional cheating?? what do you mean?
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu hata kissing hawaihesabu kuwa ni cheating. Cheating kwao lazima ihusishe penetration....

mmmh! sasa hadi body lg tutaambiwa ni cheating. kissing siyo kwamba inategemea ni kiss aina gani Nyani Ngabu? hugging je?
 
Last edited by a moderator:
labda mie ndo navictimize wengine.

Uaminifu hauna mashiko, weengi utawakuta wana madepression na stress mara presha mara sijui nini.

Wizi mtupuuuu
Kongosho you do have logic. kuna watu nawajua wameugua ma sheli na ma bp wengine hadi uwendawazimu kwa kuwa waaminifu. yaani kama huwah kusika utashangaa tu wala hutoelewa aisee.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli uaminifu unakuwepo moyon mwako kwa mtazamo wangu, haijalishi mwenzio atakuamin ama laa, tatzo ni kuwa kuwa mwaminif inakuwa painfull sana nyakat flan hasa unapokuwa na wasio waaminif, unajawa na maswal kwa nn wasiwe kama ww, na wakat mwingine unapoamua kutokuwa muaminifu kama wao, unajikuta dhamira yako inakuumiza zaid, nahc uaminif ni tabia ya mtu, ipo ndan yake,
Nambe kula like zangu kama mia hivi.
 
sasa umeona wewe hata emotional cheating huijui
waweza kuwa unashiriki saana
na unajiona muaminifu
//

sasa mbona unanisuta kwangu mimi imekaa kama kuwaka tamaa tu// ndo maana nimekuwa doubtful kwamba kwasatil hiyo hakuna mwaminifu duniani.
 
Kuna watu hata kissing hawaihesabu kuwa ni cheating. Cheating kwao lazima ihusishe penetration....

hii dunia ina vituko hii NN
kuna familia mdada kusema no kwa boss wake oficin ni impossible
yaani ukileta kesi eti mkeo kaku cheat na boss wake
atatetewa na ukoo wao mzima lol

unaweza jibiwa 'acha wivu wa kijinga'
msapoti mwenzio anahangaikia familia lol
 
//

sasa mbona unanisuta kwangu mimi imekaa kama kuwaka tamaa tu// ndo maana nimekuwa doubtful kwamba kwasatil hiyo hakuna mwaminifu duniani.

sikusuti pole
nimekupa mfano
aina za uaminifu na aina za cheating
 
hii dunia ina vituko hii NN
kuna familia mdada kusema no kwa boss wake oficin ni impossible
yaani ukileta kesi eti mkeo kaku cheat na boss wake
atatetewa na ukoo wao mzima lol

unaweza jibiwa 'acha wivu wa kijinga'
msapoti mwenzio anahangaikia familia lol

sasa boss inamaana hawa wamesha define aina ya uaminifu wao katika ukoo? its strange eeh! ila nimeipenda
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom