King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Sky hizo fedha ni nyingi sana USD B? Mie nikipata hata USD M tu,Aiseeeeee naenda kwa madalali wanitafute eneo la ekari 4 Oysterbay ufukweni kwa bajeti ya usd 4m,Kisha Najenga Mansion ya usd 26m(4 story),Ulinzi hadi ikulu inasubiri.
Nanunua eneo la heka kama 100 hivi pembezoni mwa mji kama kongowe,mapinga,pugu etc najenga nyumba 400(Kila nyumba inakaa eneo la robo eka),Kila nyumba natumia milioni 100(USD 50,000 x 400 =20m usd) ,Najenga miradi kama hii minne yaani itakuwa kama Total USD 80m ukijumlisha na Mansion la baharini Grand Total inakuwa kama 110m USD.
35m USD naiweka Fixed Account na 5m USD ya kulinda mfuko na matumizi ya hapa na pale.
Nyumba 1600 ndio utakuwa mradi wa kuniingizia fedha ya kila mwezi,gharama za kupanga ni laki tu kwa mwezi,maana yake nitakuwa naingiza 160m Tsh kwa mwezi.