Refa ataendelea na mchezo na hakuna mwenye mamlaka ya kumtoa mchwzaji kwa nguvu baada ya mechi kuisha timu itamalizana na mchezaji wao binafsiWakuu mfano mechi inaendelea kocha akaamua kufanya sub halafu mchezaji akagoma kutoka, kama ni kipindi cha kwanza tunaweza kusema labda baada ya mapunziko atazuiwa kurudi.
Je kama ni kipindi cha pili akagoma kutoka uwanjani itakuwaje? Atachukuliwa kwa nguvu na polisi au itabidi amalize tu mechi.
Kepa hiyo mechi alishinda mkuu...fuatilia vizuri kaka.......Ila talking point haikuishia tu kepa kukataa kutoka au kushinda mechi Bali Ni jinsi maamuzi ya kumtoa yalivyokaa....Makipa wengi wakitolewa wakati wa upigaji penalty wanahisi kwamba makocha wanaudharau uwezo wao ktk kupangua mikwaju hiyo Tena wanawaonesha watu hadharani.....Makipa wengi hawapendiKepa alikuwa fala sana,anayeingia alikuwa kwa ajili ya matuta,walipoingia kwenye matuta Chelsea walifungwa kweli.
Hivi Keppa alikuja kupata adhabu?
Mido hakugoma ila alileta ubishi ila alitoka kisha sub aliingia Amr zaki dakika ya 78 na akafunga baada ya kuingia tu, ilikua mechi ya Misri vs Sengal,Misri alishinda 2-1Namkumbuka middle mchezaji wa misri amewahi mgomea kocha wao shekhhatta kipindi Cha mataifa huru ya Africa kwa SAS afcon
Namkumbuka middle mchezaji wa misri amewahi mgomea kocha wao shekhhatta kipindi Cha mataifa huru ya Africa kwa SAS afcon
Mkuu umenikumbusha mbali sana hongera jamaa aligoma
Itawachukua miaka mingi sana Egypt kupata timu kama hii ya kina ZakiMido hakugoma ila alileta ubishi ila alitoka kisha sub aliingia Amr zaki dakika ya 78 na akafunga baada ya kuingia tu, ilikua mechi ya Misri vs Sengal,Misri alishinda 2-1
Ilikua mwaka 2006 hiyo.
Kepa hiyo mechi alishinda mkuu...fuatilia vizuri kaka.......Ila talking point haikuishia tu kepa kukataa kutoka au kushinda mechi Bali Ni jinsi maamuzi ya kumtoa yalivyokaa....Makipa wengi wakitolewa wakati wa upigaji penalty wanahisi kwamba makocha wanaudharau uwezo wao ktk kupangua mikwaju hiyo Tena wanawaonesha watu hadharani.....Makipa wengi hawapendi
Mido aligoma mwanzo ila baadae alitoka ,akaondoka na kuondoka hakukaa benchu ,aliyeingia alikua Amri Zaki akapiga Header,Misri inatwaa ubingwa wa AFCONNamkumbuka middle mchezaji wa misri amewahi mgomea kocha wao shekhhatta kipindi Cha mataifa huru ya Africa kwa SAS afcon
Mtaani kwetu magomeni ilikua ukikataa kutoka nje wenzako wanakutangazia kua wewe ni "Nyama", kwamba popote utakapogusa mpira basi upigwe viatu. (Ukatwe).Wakuu mfano mechi inaendelea kocha akaamua kufanya sub halafu mchezaji akagoma kutoka, kama ni kipindi cha kwanza tunaweza kusema labda baada ya mapunziko atazuiwa kurudi.
Je kama ni kipindi cha pili akagoma kutoka uwanjani itakuwaje? Atachukuliwa kwa nguvu na polisi au itabidi amalize tu mechi.
Hii ninoma asee timu yako inakutangaza kwawapinzan huyu nyama yan utapigwa buti hadi zambavu nahata ndugu yako watimu moja ruksa kukuchezea rafuMtaani kwetu magomeni ilikua ukikataa kutoka nje wenzako wanakutangazia kua wewe ni "Nyama", kwamba popote utakapogusa mpira basi upigwe viatu. (Ukatwe).
Essam El Hadary ,Amri Zaki, Mohamed Aboutrika, Emad Moteab, Ahmed Hossam Mido, Mohamed Zidan, Mohamed Shawky, Mohamed Barakat, Ahmed Fathy....hiki kizazi kilikua balaaItawachukua miaka mingi sana Egypt kupata timu kama hii ya kina Zaki