Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Wakuu mfano mechi inaendelea kocha akaamua kufanya sub halafu mchezaji akagoma kutoka, kama ni kipindi cha kwanza tunaweza kusema labda baada ya mapunziko atazuiwa kurudi.
Je kama ni kipindi cha pili akagoma kutoka uwanjani itakuwaje? Atachukuliwa kwa nguvu na polisi au itabidi amalize tu mechi.
Je kama ni kipindi cha pili akagoma kutoka uwanjani itakuwaje? Atachukuliwa kwa nguvu na polisi au itabidi amalize tu mechi.