Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Siyo ameanza, tayari Kaijage kishafunguliwa kesi ya ugaidiKuna kila dalili ya Lissu kuendelea kushikiliwa gerezani mwaka wote huu, huku akiwa hana hatia yoyote ile! Imagine yeye ni mwanasheria mahiri, na bado anasumbuliwa kwa zaidi ya mwaka sasa! Vipi kuhusu mwanazuoni wa Udom Dr. Kaijage ambaye na yeye ameanza kutengenezewa mashtaka bandia ya ugaidi!
Na hiyo ni handwork ya hili senge zeeKuna kila dalili ya Lissu kuendelea kushikiliwa gerezani mwaka wote huu, huku akiwa hana hatia yoyote ile! Imagine yeye ni mwanasheria mahiri, na bado anasumbuliwa kwa zaidi ya mwaka sasa! Vipi kuhusu mwanazuoni wa Udom Dr. Kaijage ambaye na yeye ameanza kutengenezewa mashtaka bandia ya ugaidi!
ok.🐒Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amerudishwa rumande baada ya kumalizika kwa usikilizwaji wa Shauri la Kikatiba kwa siku ya leo Julai 23, 2026 Shauri Na. 7300/2026 limesikilizwa Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu Dodoma, inayoketi vikao vyake katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, ambapo uamuzi wa Shauri hilo utatolewa Septemba 16, 2026.
Shauri hilo lilifunguliwa na mawakili Kulwa William Maduhu, Nashon Nkung na Paul Kisabo dhidi ya Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP), Mkuu wa Gereza la Ukonga, Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) na Tundu Lissu.
Shauri hilo linasikilizwa na jopo la majaji watatu wakiongozwa na Jaji Amir Mruma. Leo lilikuja mahakamani kwa ajili ya kuendelea na maswali ya dodoso kwa shahidi pekee wa Jamhuri, Mkuu wa Gereza la Ukonga, Andrew N'tamamiro.
Mahojiano hayo yalifanywa na wadaawa wengine baada ya mjibu maombi wa nne katika shauri hilo, baada ya Tundu Lissu kukamilisha jana maswali yake ya dodoso kwa shahidi huyo.
Uwiiiiiiiiii kazi tunayo jamani yule kijana alikuwa kichwa !! It is so sad.....Siyo ameanza, tayari Kaijage kishafunguliwa kesi ya ugaidi
KOTAMA ZAKOok.🐒
Hii sio criminal case. Waleta maombi wanabainisha wenyewe (ndani ya wigo wa Katiba na sheria) aina ya reliefs wanazoomba mahakamani. Ukipata nakala ya application waliyofaili mahakamani utaziona.Mahakama ikiwakuta na hatia hao washtakiwa hukumu inaweza kuwa nini ?