Wanabodi,
Kitendo cha Kamati Kuu ya Chadema kuwavua uanachama madiwani wake wa Arusha, is "A Big Mistake"!, and there is a price to pay, so Chadema must pay the price which is very high!.
Mkuu huwa naheshimu comments zako lakini kwa hili, I beg to differ. Kwanza kusema kwamba uamuzi uliofikiwa ni biggest mistake, inaonyesha kuwa you are afraid of making bold decision in your life whether they are right or wrong. There may be a biggest price to pay including kupoteza hivyo viti vya udiwani kwenye uchaguzi mdogo ujao. Hata hivyo, kwenye institution yoyote whether chama or not, ni bora to pay such a price kuliko kuwa na wanachama ambao hawafuati kanuni na taratibu mlizojiwekea. Kuwa na watu kama hao inaweza kuua kabisa the very foundation of the institution including its aims an objectives.
Kwa mfano, tunaona yanayondelea CCM kwa sasa. Wametangaza kujivua gamba na kuwapa muda baadhi ya wanachama wajivue nyadhifa zao. Mpaka sasa hakuna kulichofanyika. CCM imeshindwa kuchukua maamuzi magumu kuwafukuza hao wanachama kwa sababu inaogopa to pay a price for that. Instead wamewaongezea mwezi mmoja tena. Kitendo cha wao kutochukua hayo maamuzi baada ya zile siku 90 juisha, is probably the biggest mistake kwa chama.
Mkuu the biggest mistake we make in your lives ni kutofanya maamuzi magumu because we are afraid of the price we will have to pay. Sometimes, you will have to make bold decision, which may seem as a mistake to other, but good for the success of your organisation in the future. Ukiangalia matatizo mengi tulioyo nchini, yanatokana na serikali kushindwa ku make bold decions kwenye mambo mbalimbali. Lowasa mwenyewe alilisema hili bungeni kuwa we are afraid to make bold decisions ndio maana tuko hapa tulipo. Kwa Chadema, it would probably have been the biggest mistake, kama wasingefanya a bold decision. They may have to pay a price for their bold decision, but I hope they looked beyond that.
1. Ile sheria ya kulazimisha wawakilishi wa wananchi, lazima wadhaminiwe na vyama, its a bad law, na inakwenda kinyume cha Katiba ya JMT inayotoa uhuru kwa kila raia kushiriki katika uongozi wa serikali tangu ya mitaa hadi serikali kuu, hadi mahakama kuu ilishatoa rulling hicho kipengele kuwa ni 'unconstitutional' na kiwe struck out from the books of law!. Naamini Chadema hilo wanalifahamu, hivyo kitendo cha kutumia kipengele hicho hicho ambacho ni bad law, to its advantage, is "A Big Mistake!".
Mkuu hapa nafikiri argument yako ina utata mkubwa. Kweli Katiba inatoa uhuru kwa kila raia kushiriki katika uongozi wa serikali tangu ya mitaa hadi serikali kuu. Lakini Katiba hiyo hiyo inasema kuwa hao wawakilishi ni lazima wadhaminiwe na vyama vya siasa. Kwa maana nyingine hatuna independent candidates. Na Mahakama hivi karibuni imesema kuwa hatuna independent candidates Tanzania. Nashangaa sana unapo-quote kesi ambayo hai-apply kwenye hili suala.
Kila mwananchi anao uhuru kushiriki katika uongozi wa serikali tangu ya mitaa hadi serikali kuu. Katika kushiriki huko, anatakiwa akubali na afuate taratibu zilizowekwa na chama chake. Kama hatafuata hizo taratibu, chama kinaweza kumchukulia hatua kulingana na taratibu walizojiwekea. Hapo kwa mujibu ya sheria ya sasa hakuna kosa.
Cha maana ni kukumbuka kuwa Katiba yetu inakupa haki kwa mkono wa kulia, then inaichukua haki hiyo hiyo kupitia mkono wa kushoto. Kwa maana nyingine, wakati Katiba inampa kila mwananchi uhuru kushiriki katika uongozi wa serikali tangu ya mitaa hadi serikali kuu, Katiba hiyo hiyo inasema kuwa lazima ushiriki kupitia chama cha siasa. Kwenye hicho cha chama cha siasa itakubidi ukubali na kuziheshimu kanunu na taratibu ambazo chama kimejiwekea. Ukishidwa unatimuliwa na chama na kwa mujibu wa Katiba huwezi tena kuwa tena mwakilishi kwa vile sio tena mwanachama wa hicho chama.
2. Ukishachaguliwa, Diwani au Mbunge, hata kama ulidhaminiwa na chama, wewe, unakuwa umechaguliwa na wananchi, na unakuwa ni mtumishi wa watu na kule kwenye ngazi za maamuzi, Baraza la Madiwani na Bungeni, unawakilisha maslahi ya wananchi waliokutuma, na sio maslahi ya chama kilichokudhamini, japo katika uwakilishi wako, pia maslahi ya chama yatazingatiwa. Kitendo cha chama kuwafukuza wawakilishi halali wa wananchi kwa maslahi ya chama, is "A Big Mistake!".
Hapa mkuu ndio umechemsha kabisa. If that is the case, wananchi watawafukuzaje watumishi ambao wameshindwa kutekeleza majukumu waliojiwekea? Wewe unaweza kumfukuza mbunge wako uliomchangua? If so, kwa sheria ipi? Katiba inasema wazi kuwa an MP shall cease to be a Member of Parliament when s/he ceases to be a member of the party to which he belonged when he was elected or appointed to be a Member of Parliament. Natumaini hii huwa inatumika kwa madiwani pia. Chama kikikuvua uanachama unapoteza na uwakilishi wako hapo hapo.
Kwa mujibu wa Katiba ya sasa mwananchi wa kawaida hawezi kumwondoa madarakani mbunge. Kasome vizuri ibara ya 71 ya Katiba. Hii inatumika pia duniani kote. Hata huko Ungereza wanatafuta njia ya mpiga kumwajibisha mbunge aliyechaguliwa kupitia chama cha siasa. Mkuu huwezi kuacha kufuata kanuni za chama chako, on the ground kuwa wewe ni mtumishi wa wananchi hivyo hautachukuliwa hatua na hicho chama, isipokuwa wananchi tuu. Hilo lipo wazi kabisa unless labda uwe uligombea as independent candidate bila kupitia kwenye chama.
3. Sisi ambao hatuna vyama, lakini tuna shauku ya kuona Tanzania inaongozwa na chama mbadala, tumekuwa na imani kubwa sana na Chadema kama ndicho chama pekee mbadala ambacho kimethibitisha kikiaminiwa, kinaweza kuleta mabadiliko ya kweli. Hivyo tunategemea Chadema kitafanya maamuzi yanayofuata misingi ya haki. Kitendo cha kuwavua uanachama madiwani wake hawa, waliochaguliwa na wananchi, (sio chama) bila kuwasikiliza, ni kuwa "condem Unheard", which is against principles of Natural Justice, and this is a "A Big Mistake!".
Bado umerudia kosa lile lile. Una maana kwa kuwa wamechaguliwa na wananchi then, they are exempted from being punished by their party wanapovunja kanuni za chama? Kwa mfano leo, CCM ikiamua kuwatimua hao waliokataa kujivua gamba, then uta argue kuwa kwa vile wamechaguliwa na wananchi, then wananchi pekee ndio wanaweza kuwatimua. If so kivipi? Nipe tararibu ambazo zinaruhusu diwani au mbunge kusimamishwa na waliomchagua kama zipo.
Mkuu vyama vya siasa ni kama associations nyingine. Vina katiba zao ambazo wanachana inabidi wazifuate. Wakati ya kujiunga unaridihia kuiheshimu, kuizingatia hiyo katiba. Kama ukishindwa kufanya hivyo, then chama kwa kufuata katiba hiyo hiyo kina haki ya kukuchukulia hatua kwa kufuata taratibu zilizowekwa na kukubaliwa na wanachama wote.
Kama Chadema, wakati wakifanya hao maamuzi, hawakufuata kanuni na taratibu, kama vile kuwapa haki ya kusikilizwa watuhumiwa, then watakuwa wamevunja taratibu. They should be given the right to be heard and those who reached the decision should give reasons for their decision. Kama hawakufanya hivyo nina imani Chadema itakuwa na taratibu za hao hao waliofukuzwa kukata rufaa.
4. Uzoefu wa siasa za Kanda ya Kaskazini, watu wanachagua watu na sio vyama, ndio maana CCM wanajua wazi kuwa, wao CCM, kuanzia Mwenyekiti wao, sekretariat yake, CC yao na NEC nzima ya CCM, hata wakapige kambi Moshi mjini, wakeshe kwa siku 30 mfululizo usiku na mchana huku wakipiga kampeni ya nguvu kwa kutumia mabilioni yao wanayofisidi, na kuwavisha wanamoshi wote, zile T.Shirt na kofia, pamoja na kulisha pilau la nguvu siku zote 30, Ndesa hawatamng'oa!. Kitendo cha Chadema kuwavua uanachama watu wa watu mjini Arusha, it's "A Big Mistake!".
Mkuu watu wanachagua watu na sio vyama lakini hao wanaochaguliwa kwa sheria ya sasa ni lazima wapitie kwenye vyama vya siasa. Huwezi kugombea udiwani au ubunge bila kupitia kwenye chama. Bado hatuna independent candidates. Kwa vile utagombea kupitia kwenye vyama, itakubidi kwanza ukubaliane na kanuni na tararibu zilizowekwa na chama husika. Kama ukishindwa kufuata hizo kanuni, chama, as an association, kina haki ya kukuchukulia hatua ikiwa ni pamoja na kukufukuza uanachama, hata kama umechaguliwa na wananchi. Hilo sio tatizo la Chadema pekee. Hili ni tatizo la Katiba yetu. Katiba inawanyima wapiga kura haki kuwaadhibisha waliowachagua.
Hata kama katiba ya Chadema ingeruhusu, hilo lisingekubaliwa, kwa sababu Katiba ya nchi hauruhusu. Ndio maana watu wengi tunadai independent candidates. Hii itasaidia sana kwa vile wananchi, na sio vyama, ndio watakuwa na mamlaka ya kuwaadabisha wawakilishi wabovu. Kwa sasa wananchi hawawezi kuwaadabisha wawakilishi wao kwa sababu hakuna huo utaratibu.
5. Wenzao CCM walipokuja na makelele ya kujivua gamba, nilisema CCM, kuanzia Mwenyekiti wao, na kelele zote za Nape na Chiligati, hawana ubavu wa kuwavua uanachama hao watuhumiwa wa ufisadi kwa kuhofia retaliation ya watu wao, ndio maana mtashuhudia kwenye kampeni za Igunga, CCM lazima impigie magoti RA. Amini nakuambia, hawawezi kuwafanya lolote EL na AC, sana sana watawabembeleza kujiudhuru nyadhifa zao, lakini sio kuwavua uanachama, kwanini Chadema, chama cha matumaini, kifanye makosa ambayo CCM iliyochokwa, haiwezi kuyafanya, ya kuwavua uanachama wachaguliwa wa wananchi?!. That is "A Big Mistake!".
Mkuu kasome vizuri katiba ya CCM. CCM inaweza kabisa kumwachisha uanachama mwanachama yoyote kama amevunja kanuni za chama. Na akiachishwa uanachama, kama ni mwakilishi, automatically anapoteza na nafasi yake ya uwakilishi. Kwa Katiba yetu ya sasa, huwezi kumfukuza mtu uanachama halafu utegemee andelee kuwa mbunge au diwani. Kwa kigezo gani wakati wanawakilisha wananchi kupitia vyama? Narudia tena hatuna independent candidates. CCM kuogopa kuwatimua wanachama wake haina maana Katiba ya CCM hauruhusu. CCM wanaogopa ku make a bold decision because they are afraid to pay the price associated with it. Lakini kuto make a bold decision, CCM are making the biggest mistake ever.
6. Chama makini kama Chadema, is expected to do the right thing, at the right time. Hatua hii, ya kuwavua uanachama madiwani pendwa Arusha, hata kama it was the right step, imekuja at the wrong time!, wakati wakitafuta justification ya kulitwaa jimbo la Igunga, ndio chama kinaanzisha tifu kanda ya Kaskazini ambako ndiko kwenye mizizi yake, mimi sijui, Chadema, imeyafanya hayo kwa kutegemea nini?.
Mkuu you gonna have to make a bold decision regardless of what lies ahread. Kigezo cha kuwa kutakuwa na uchaguzi Igunga should not bar Chadema from making bold decisions. It is better to make long term based decision, that the short term one. Compare with CCM who are afraid of making bold decisions because of what lies ahead. Mkuu kama kuna tatizo you will have to resolve it immediately. The longer you entertain the problem, ndivyo linavyokuwa sugu.
Kwa maoni yangu, kama Chadema wamefuata kununi na taratibu walizojiwekea na kukubaliwa na waliovuliwa uanachama, then sidhani kama kuna tatizo. Tatizo litakuwepo tuu kama Chadema hawakufuata kanuni na taratibu ambazo zimewekwa na kubaliwa na wana Chadema wote including hao waliofukuzwa. Kama waliofukuzwa wanaona wameonewa, the kuna taratibu za kukata rufaa. Otherwise, uamuzi uliofikiwa na Chadema ni fundisho kwa CCM. Kwamba sometimes, you will have to made bold decisions despite the price you have to pay. Making bold decisions is not the biggest mistake. Rather, the biggest mistake is to avoid making bold decions.
My comments was inspired by Mwanakijiji's comments he made in another thread on this matter. It is time for not only the political parties but also the government to make bold decisions if we really want to resolve the problems we are facing. Tuache kuogopana. Tuache kuogopa kufanya maamuzi magumu na mazito kwa kuogopa what lies ahead.