Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Baada ya mahakama ya ICC kutoa warrant ya kukamatwa Netanyahu kwa serikali yake kukiuka kanuni za vita, kama vile kuzuia kuingia kwa vyakula maeneo ya Gaza, Marekani imeweka wazi kuwa nchi yoyote rafiki wa Marekani, itakayojaribu kutekeleza amri ya mahakama ya ICC, Marekani itaiwekea vikwazo nchi hiyo, vitakavyoharibu uchumi wa nchi hiyo. Marekani imeongeza kuwa, ni juu ya mataifa hayo rafiki kuamua kusimama na Marekani au na mahakama ya kipuuzi ya ICC.
Mahakama hii ya ICC iliyoanzishwa hasa kwaajili ya kuwadhibiti watawala madikteta wa Afrika na Asia, kwa kiasi kikubwa maamuzi yake yamekuwa yakidharaulika.
Wachambuzi wa masuala ya kisiasa na mahusiano ya kimataifa, wanasema nchi za Ulaya hazina dhamira ya kumkamata Netanyahu bali wanatoa matangazo kuwa eti akienda nchini mwao watamkamata ili Netanyahu asiende kwenye mataifa yao wakati huu, na hiyo itawapa nafasi ya kusema kuwa hawakuwahi kudharau mahakama ya ICC. Wataalamhawa wanasema kuwa kama wangekuwa na nia ya kumkamata, wangenyamaza kimya, na kusubiri Netanyahu aingie kwenye mataifa yao ili wamkamate. Wanachofanya haya mataifa ni sawa na mtu anayesema kuwa ukija nyumbani kwangu nitakuwekea sumu kwenye chakula!!
"To any ally – Canada, Britain, Germany, France – if you try to help the ICC, we’re going to sanction you,” Graham told Fox News in an interview.
“If you are going to help the ICC as a nation and force the arrest warrant against Netanyahu and Gallant, the former defence minister, US will put sanctions on you as a nation,” he added.
“You’re going to have to pick the rogue ICC versus America… If you help the ICC, we’re going to crush your economy.” said Senator Lindsey Graham.