Uamuzi wa ICC, Marekani yatoa angalizo kwa nchi yoyote rafiki itakayojaribu kuheshimu maamuzi ya ICC

Ndio maana kila USA inaporomoka kiushawishi duniani.
USA hii hii ndio iliyokua ikiwaburuza mataifa ya Afrika kwenye mahakama hiyo hiyo ya ICC anayoita ya kipuuzi.
USA kuwa na double standards kwa Israel kunazidi kumporomosha kiushawishi.

Watu mnashindwa kuelewa kwenye hili la ICC na Netanyau US hana double stabdard maana sio member wa ICC, nchi kama USA, INDIA, ISRAEL na URUSI hawakusaini mkataba wa ICC kwao ICC ni tasisi ya kawaida kama tasisi ingine haina mamlaka Kisheria kwao. Waligoma kuitambua ilipoanzishwa na UN

Ndo maana hata Putin ana warrant ya ICC na hajakamatwa
 
Nadhani Kuna jambo hujaelewa hapa mkuu.
Hakuna asiyefahamu kuwa Israel sio member wa ICC/ICJ ila kinachoshangaza ni USA KUMTETEA Netanyahu na kuiita hii mahakama ni mahakama ya kishenzi.
Ilhali USA huyo huyo aliwahi kushinikiza baadhi ya mataifa kuchukuliwa hatua na mahakama hii hii anayoiita ya kishenzi.
 
Nadhani Kuna jambo hujaelewa hapa mkuu.
Hakuna asiyefahamu kuwa Israel sio member wa ICC/ICJ ila kinachoshangaza ni USA KUMTETEA Netanyahu na kuiita hii hmahakama ni mahakama ya kishenzi.
Ilhali USA huyo huyo aliwahi kushinikiza baadhi ya mataifa kuchukuliwa hatua na mahakama hii hii anayoiita ya kishenzi.
Uko sahihi.. US yeye analinda interest zake.. haoni shida kuwa na lugha mbili mbili.. ndio maama hata kwa Putin alisema ndio anastahili kukamatwa ni mhalifu.. US anajua wao ndio namba moja kusababisha mauaji ya halaiki kupitia washirika wake ndio maana hawakujiunga na ICC..

Hiyo ICC ipo kwa sababu ya nchi maskini tu. Hakuna nchi ya kumkamata Putin wala Netanyau
 
Ndio maana nikasema kwa haya yanayoendelea USA inajipotezea ushawishi wake kidiplomasia kila leo.
USA ya sasa sio sawa na ya kipindi kile 2010 kushuka chini.
 
Wazungu waliovamia bara la America ni washenzi toka miaka ya 1400s,1500s hawajawahi badilika mabwana hawa wala diplomasia sio sehemu ya maisha yao ni vile tu ni mabingwa wa unafiki.

Kwani wameanza kuisupport Israel lini licha ya mauaji inayo endelea kutenda ?

Je, middle east wameanza kuichafua lini ?

Marekani yeye hajali kuhusu diplomasia bali maslahi yake.
 
Back
Top Bottom