Uamuzi wa ICC, Marekani yatoa angalizo kwa nchi yoyote rafiki itakayojaribu kuheshimu maamuzi ya ICC

Nobody will dare to arrest Netanyahu.

Hata Omar Al Bashir wa Sudan alikuwa warranted 2009 ila hawakumkamata sembuse major ally wa USA?
 
Ahahahahaha! Kweli, maana nasiaGA hata Saddam Hussein yupo Argentina huko anakula pensheni! Ahahahahaha!!
Kama Balali wa bongo mlilishwa matango pori ndio itakuwa hiya miamba ya dunia 🐼

Hapo UK tu watu waliaga box tupu wakidhani yumo Eliza

Hii dunia ina Waliopumbazwa wengi sana 😂😂😂
 
Ndio maana kila USA inaporomoka kiushawishi duniani.
USA hii hii ndio iliyokua ikiwaburuza mataifa ya Afrika kwenye mahakama hiyo hiyo ya ICC anayoita ya kipuuzi.
USA kuwa na double standards kwa Israel kunazidi kumporomosha kiushawishi.
 
Marekani wadwanzi kishenzi,yaani unawalazimisha watu ili wavunje sheria,wasipokubali kuvunja sheria anawawekea vikwazo..Pumbavu zao
 
US aipige sunction UK hahaha, ujuwe US ndio itapotezwa kuwa Super Power. Lazima US afahamu kuwa Super power sio kuwa na silaha tu, ni lazima uwe unajua siasa. Ukweli US bila Muingereza ni mfano wa mtu anaye tembea kwenye usiku wa giza.
 
BRICS need to take over
 
Marekani Wana mikwara mbuzi
Kwamba na wewe una amini kabisa Netanyahu/Bibi atakamatwa kwa amri ya ICC? Si ni hawa hawa ICC walifungua file kwa Putin? Kakamatwa? ICC is a toothless Lion, it only bites African leaders, not else. Israel ndio kabisaaa, sahau hilo.
 
US aipige sunction UK hahaha, ujuwe US ndio itapotezwa kuwa Super Power. Lazima US afahamu kuwa Super power sio kuwa na silaha tu, ni lazima uwe unajua siasa. Ukweli US bila Muingereza ni mfano wa mtu anaye tembea kwenye usiku wa giza.
Du
 
Sasa kwanini nchi zilizobaki ziendelee kuheshimu maamuzi ya ICC kama US wanachagua yapi ya kuheshimu na yapi ya kutoheshimu.
 
Huyo muongozaji wa ICC ana vina saba na magaidi wa Iran.
Sasa atamkamata babake, kama haijui Islael vzr basi arudi kwenye vitabu vitakatifu vya dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…