Uamuzi wa Kesi inayomkabili Makonda iliyofunguliwa na Kubenea kutolewa leo

Kosa moja la mbowe ugaidi
Sema kosa moja la Mheshimiwa mzee Mbowe. Nikupe makosa ya JAMBAZI Sabaya.

Sabaya kama mlivyo MaCCM wote KAUA, AMELAWITI , Amebaka, kakata watu masikio, kapiga misumari kwenye miguu ya watu na UJAMBAZI.

Na Ushahidi upo.
 
Hizo tabia alikuwaga Nazo jamaa mmoja anaitwa Lemma kipindi anaishi Kenya na anafuga Rasta.Sabaya kosa lake alilewa tu Madaraka Full stop
 
Mahakama ya Kinondoni imeyaondoa maombi ya kufungua kesi ya jinai na Mwandishi wa Habari, Saed Kubenea dhidi ya aliyekuwa RC wa Dar es Salaam, Paul Makonda kwa hoja mahakama hiyo haina mamlaka ya kusikiliza maombi hayo ya matumizi mabaya ya madaraka na kuvamia ofisi za Clouds Media.
Ukurasa wa Mwanahalisi Online umeripoti
 
Kweli mkuu huyu jamaa juzi nimekutana naye Morocco hapa Dar,jamaa anaonekana bado anazopesa za kutosha kala suti ana Gari moja Kali sana Land lover na ana dereva wake,Jamaa in short yuko poa sana.
Nakutana naye sana pale moroco
Akingia jengo la argawal eye clinic akienda kwe nye duka lake la dawa horizon...huku range lake akiwa analipakigi huko kwenye service road

Jamani wabongo tafuteni pesa,ukipata line we itumie kama utapiga piga ohhh

Ova
 
Kweli mkuu huyu jamaa juzi nimekutana naye Morocco hapa Dar,jamaa anaonekana bado anazopesa za kutosha kala suti ana Gari moja Kali sana Land lover na ana dereva wake,Jamaa in short yuko poa sana.
Pesa ipo pale
Wabongo waache kulialia
Kma na wao wakipata channel
Waitumie tu hii nchi kila mtu anakula kwa style yake

Ova
 
Sema kosa moja la Mheshimiwa mzee Mbowe. Nikupe makosa ya JAMBAZI Sabaya.

Sabaya kama mlivyo MaCCM wote KAUA, AMELAWITI , Amebaka, kakata watu masikio, kapiga misumari kwenye miguu ya watu na UJAMBAZI.

Na Ushahidi upo.
Taa.hira wewe huna unachokifahamu, unadhani Mbowe kuwa mpole mchezo enh? jinai haifi, muulizeni kuhusu tindikali Tabora, ugaidi Mwanza na mabomu ya Arusha bado ya Lwakatare, kumbuka wakati huo DPP alikuwa Jaji Feleshi ambaye kwa sasa ndo AG, kumbuka kwenye kikao na Rais AG alikuepo pia, kesi zote hizo DPP Feleshi alipigwa pini na JK, hiyo ya juzi nayo a water tight evidence ya kumtia jela Mbowe UPO na ndo sababu aliomba sana kesi isiendelee kusikilizwa as angeachwa uchi...kwa kuachiwa kwake kwa nini sio Sabaya?
 
Uongo na uzandiki utakusaidia nini wewe kapuku ? Hivi Feleshi anaweza kumtisha nani nchi hii ?
 
Mahakama ya Kinondoni leo itatoa uamuzi wa mapingamizi yaliyowekwa na DPP ya kuzuia Kesi ya Matumizi mabaya ya Madaraka inayomkabili Paulo Makonda.

Kesi hiyo Kabambe ambayo imefunguliwa na Mbunge wa zamani wa Ubungo Saed Kubenea imeamsha hisia za wananchi, huku wengi wakiitaka ipewe nafasi ya kusikilizwa ili zijulikane mbivu na mbichi.

Kama kawaida, mimi nzi wenu Erythrocyte niko kwenye viunga vya mahakama nikinusanusa yatakayojiri ili kukuletea Taarifa kamili.

Uwepo usiwepo kwenye viunga hivyo, sisi tutapata habari. Hakuna umuhimu wa kutueleza hapa kwa vile tunajua kuwa usmuzi ni leo! Kwanza hakuna kesi hapo!
 
Sasa unalia nini , si ukae utulie ?
 
Taa.hira wewe huna unachokifahamu, unadhani Mbowe kuwa mpole mchezo enh? jinai haifi, muulizeni kuhusu tindikali Tabora, ugaidi Mwanza na mabomu ya Arusha bado ya Lwakatare, kumbuka wakati huo DPP alikuwa Jaji Feleshi ambaye kwa sasa ndo AG, kumbuka kwenye kikao na Rais AG alikuepo pia, kesi zote hizo DPP Feleshi alipigwa pini na JK, hiyo ya juzi nayo a water tight evidence ya kumtia jela Mbowe UPO na ndo sababu aliomba sana kesi isiendelee kusikilizwa as angeachwa uchi...kwa kuachiwa kwake kwa nini sio Sabaya?
Akili zako hazina akili au ni makusudi tu, soma tena ulichoandika.
 
Uongo na uzandiki utakusaidia nini wewe kapuku ? Hivi Feleshi anaweza kumtisha nani nchi hii ?

Mbona umeingia mitini, vipi tena? Tuletee yaliyojiri mahakamani, naona kama tayari umeupindisha mkia kwenye papuchi na kuufyata, vipi tena???
 
Mahakama ya Kinondoni leo itatoa uamuzi wa mapingamizi yaliyowekwa na DPP ya kuzuia Kesi ya Matumizi mabaya ya Madaraka inayomkabili Paulo Makonda.

Kesi hiyo Kabambe ambayo imefunguliwa na Mbunge wa zamani wa Ubungo Saed Kubenea imeamsha hisia za wananchi, huku wengi wakiitaka ipewe nafasi ya kusikilizwa ili zijulikane mbivu na mbichi.

Kama kawaida, mimi nzi wenu Erythrocyte niko kwenye viunga vya mahakama nikinusanusa yatakayojiri ili kukuletea Taarifa kamili.

Mahakama ya Wilaya ya Babati mkoa wa Manyara imemuhukumu Mashaka Boay (41) mkazi wa vilima vitatu kifungo cha miaka 20 kwenda jela kwa kosa la kukutwa na nyama ya Twiga.

Mshtakiwa anadaiwa kutenda kosa hilo March 23,2022 katika Kijiji cha vilima vitatu ambapo Mwendesha mashtaka wa Serikali Grace Mgaya ameiomba Mahakama kutoa adhabu Kali kwakuwa kosa hilo ni la uhujumu uchumi na Serikali imekuwa ikutumia wanyama hao kuingiza mapato ambapo Twiga huyo thamani yake ni zaidi ya shilingi Milioni 34.

Hukumu hiyo imetolewa leo June 09,2022 na Hakimu wa Mahakama hiyo Victor Kimario ambapo mshtakiwa anayo haki ya kukata rufaa.

Awali wakati wa utetezi wa Mshtakiwa aliomba Mahakama impunguzie adhabu kwa kuwa ana Watoto wadogo wanne wanaomtegemea na ni mara yake ya kwanza kukutwa na kosa hilo. #MillardAyoMAHAKAMANI
 
ndio nini ?
 
Ndiyo hiyo uliyoshinda unaisubiri, tayari huku imeshatolewa!
Hahahaaaa...haya mabwa.wa yanachekesha sana, yani yeshajiona yenyewe ni special sana na ndo yanayostahili haki, Mbowe akikomiti a criminal offence kaonewa, akikomiti mwingine ni jambazi afungwe, ingieni field tukeni nyuma ya kibodi muone "watanzania" ni akina nani.
 
Back
Top Bottom