Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
Niliposema maandalizi ya kutosha yafuatayo aghalabu ni muhali hadi sasa kujulikana:-Huu ni ulimbukeni wa kisiasa. tusiweke siasa kwenye vitu vinavyoadhiri uchumi wetu. Machinga lazima waondoke nchi yetu irudi kwenye mstari ulionyooka. Tuache cheap politics we shall never go back to the darkest error. Our cities should not be converted into one big dirty village, they can do it in the villages not in Cities and towns period.
Mleta mada tuwekee hizo hasara apaainisha hizo hasara hapa tuzijadili.
Good writtings though, walikuwa wapi waliponza kuingina kidogo kidogo hadi kufikia hivi sasa. Influx kubwa ilikuja Rais aliepita aliposema hoadharani waachwe wafanye biashara zao, madhara yalipimwa?Niliposema maandalizi ya kutosha yafuatayo aghalabu ni muhali hadi sasa kujulikana:-
1 Je, nani anajuwa takwimu halisi za idadi ya Wamachinga nchini? Mwaka 1995 wale wanaotembeza bidhaa (acha wanaotandika bidhaa chini idadi yao ilikuwa sawa na idadi ya watu wa Mwanza Mjini, over 8K)
2. Je, kuna sera, mwongozo kuhusu Wamachinga kwa miaka yote 36 tangu 1985? Kama havipo, tunahitaji miongo mingapi mbele kuandaa tools hizo?
3. Je, soko la Machinga Complex limeleta matokeo gani (kabla ya Kariakoo kuungua vizimba vilikuwa wazi kwa miaka nenda).
4. Je, kuna sensa ya Wamachinga imefanyika? Wako wangapi? Wanawake wangapi? Wanaume wangapi? Drop outs wangapi waliojiunga na Umachinga? Idadi kwa kila mji nchi nzima ni ngapi (ili wasije kuelemea Dar)? Graduates wangapi? Watanzania wangapi? Wachina wangapi? idadi kwa makabila ikoje ili tujuwe mkoa upi hauna mikakati ya kuwa-absorb wasije Dar? nk.
5. Je, Umachinga siyo jibu la madai ya taifa ya kutaka watu wajiajiri? Lkn katika mazingira gani?
6. Je, kuna sehemu zimeandaliwa za kuwameza wote waondoke mitaani?
7. Je, after-effects za kuwaondoa kwa dharura tumezipima tukazijuwa ni zipi na namna gani tumejiandaa kuzimitigate?
8. Wamachinga wako maeneo mengi hata China, Nairobi Kikomba wako tangu enzi za Jomo Kenyatta.
Niliposema maandalizi ya kutosha yafuatayo aghalabu ni muhali hadi sasa kujulikana:-

[emoji785][emoji763][emoji189][emoji2791][emoji445][emoji481][emoji796]Kuendelea kuahirisha hili zoezi ni kuzidi kufuga hiki kidonda cha kujitakiaView attachment 1975212
Mwendazake aliiharibu sana Nchi hii! Sidhani kama angeendelea kuwa Waziri wa Ujenzi badala ya kuwa Rais, hali ingekuwa hivi. Hakuna ambaye angethubutu kuvamia mabarabarani na kuweka biashara. Lakini, kwa ajili ya UBINAFSI, SIFA BINAFSI, na kutaka kupata mtaji wa kisiasa, akairuhusu hiyo hali, pamoja na kuwa alikuwa anajua ni kuvunja sheria.Unataka uamuzi gani? Hata wao wanajua wanafanya makosa na wanaondolewa muda wowote.
Maswali fikirishi mazuri sanaNiliposema maandalizi ya kutosha yafuatayo aghalabu ni muhali hadi sasa kujulikana:-
1 Je, nani anajuwa takwimu halisi za idadi ya Wamachinga nchini? Mwaka 1995 wale wanaotembeza bidhaa (acha wanaotandika bidhaa chini idadi yao ilikuwa sawa na idadi ya watu wa Mwanza Mjini, over 8K)
2. Je, kuna sera, mwongozo kuhusu Wamachinga kwa miaka yote 36 tangu 1985? Kama havipo, tunahitaji miongo mingapi mbele kuandaa tools hizo?
3. Je, soko la Machinga Complex limeleta matokeo gani (kabla ya Kariakoo kuungua vizimba vilikuwa wazi kwa miaka nenda).
4. Je, kuna sensa ya Wamachinga imefanyika? Wako wangapi? Wanawake wangapi? Wanaume wangapi? Drop outs wangapi waliojiunga na Umachinga? Idadi kwa kila mji nchi nzima ni ngapi (ili wasije kuelemea Dar)? Graduates wangapi? Watanzania wangapi? Wachina wangapi? idadi kwa makabila ikoje ili tujuwe mkoa upi hauna mikakati ya kuwa-absorb wasije Dar? nk.
5. Je, Umachinga siyo jibu la madai ya taifa ya kutaka watu wajiajiri? Lkn katika mazingira gani?
6. Je, kuna sehemu zimeandaliwa za kuwameza wote waondoke mitaani?
7. Je, after-effects za kuwaondoa kwa dharura tumezipima tukazijuwa ni zipi na namna gani tumejiandaa kuzimitigate?
8. Wamachinga wako maeneo mengi hata China, Nairobi Kikomba wako tangu enzi za Jomo Kenyatta.
Kwahiyo wewe unaona chanjo ya korona ni sahihi.. Na kama ni sahihi kwanini unasaini nakuambiwa et madhara ni juu yako? Acha bangi kabisa... Chanjo ya korona haina uhakika duniani kote.. Hii ni vita ya uchumiMwendazake aliiharibu sana Nchi hii! Sidhani kama angeendelea kuwa Waziri wa Ujenzi badala ya kuwa Rais, hali ingekuwa hivi. Hakuna ambaye angethubutu kuvamia mabarabarani na kuweka biashara. Lakini, kwa ajili ya UBINAFSI, SIFA BINAFSI, na kutaka kupata mtaji wa kisiasa, akairuhusu hiyo hali, pamoja na kuwa alikuwa anajua ni kuvunja sheria.
Hata huku kulega lega kwenye chanjo ya Korona, ni yeye, kutokana na kuwaaminisha watu kuwa CHANJO HAZIFAI!
Na angekuwepo mpaka leo, sijui hali ingekuwaje!