Uamuzi wa kuwaondoa Machinga mitaa ya Dar es Salaam urejewe upya

Wakati vioski vilipojaa kuanzia posta mpk Ubungo mizani ulikua bado upo bwinde au ulikua una kamuliwa kamasi...nijibu
 
Wakati vioski vilipojaa kuanzia posta mpk ubungo mizani ulikua bado upo bwinde au ulikua una kamuliwa kamasi...nijibu
Umevamia mada kama wamachinga walivyovamia maeneo. Mada ina kurasa 8 na michango 1130, jibu lako limeishajibiwa mara kadhaa kwenye uzi. Uvivu wa kutosoma uzi ndiyo madhara yake.
 
Na ndio maana wanaondolewa
Serikali ishawashtukia

Wapangishe fremu watambulike km wafanyabiashara wengine na kodi walipe

Ukipata kizimba nafikiri haina haja ya kupisha wengine
Wengine waende maeneo mengine
Kwahiyo hata kwa kutumia kizimba hicho ukitajirika hata kumzidi GSM au mo bado utaitwa mmachinga?*"'';!!!!., hivyo unastahili kubaki hapo bila kulipa Kodi au kulipa Kodi pungufu. Serikali kuwatafutia maeneo hawa watu ni kujitengenezea shida nyingine huko mbele ya safari kwakuwa Kuna maswali mengi ambayo majibu yake hawanayo kwenye mifuko Yao ya Makoti, wanasubiri wafike kwenye Kingo ya mto ndio watafute kivuko.

Narudia tena, kazi ya serikali ni kupiga marufuku kufanya biashara sehemu zisizotakiwa full stop, hayo mengine ni kazi ya maafisa biashara, TRA na mipango miji baaaaaasi. Tatizo letu hatuna mpango unaotekelezeka hata mmoja, hata kula Masaki na oyster bay utakutana na mabanda ya kufugia nguruwe, kuku na ng'omne, shame. Kwenye quarters za askari Kuna bustani za michicha, mabaanda ya kuuza bia naa kufugia njiwa na Bata.

Hakuna mwiko
 
Vizimba ni maeneo rasmi
Hivyo kuanzia hapo kodi inahusika
Ama walau waanze na ushuru
 
Vizimba ni maeneo rasmi
Hivyo kuanzia hapo kodi inahusika
Ama walau waanze na ushuru
Kizimba iwe ni eneo atamizi kwa machinga kuwa mfanyabiashara kamili. Ni eneo la kuwaatamia vijana wenye mitaji midogo na kuwatotoa kuwa wafanyabiashara kamili. Hivyo lazima kuweko na muda wa kuwaatamia na sio kuatamiwa milele kwenye maeneo hayo tengefu, wale ambao watageuka viza (hawakui kimtaji) baada ya muda waliopewa lazima waondoke wapishe wengine wenye mitaji midogo.

Umri wa mmachinga lazima kiwe kigezo Cha kupatiwa eneo na kukubaalika kuwa mmachinga. Kuanzia miaka 30 kwenda juu huwezi kujiita mmachinga na ni makosa kupewa kizimba hapo machinga complex na hata huko wanakohamishiwa Sasa. Huruma hii ilenge vijana wadogo, fresh from school and colleges. Eti zee lenye wake 3 nalo limeziba barabara linajiita machinga.
 
Huu sasa ni wivu na roho mbaya

Ni km wale wanaosema ajira serikalini ziwe miaka 5 waondoke wote waje wapya

Wapya waende maeneo mapya
 
Back
Top Bottom