figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Umesoma kweli? Mbona kuuliza hili swali?Tufafanulieni, wanaamua Shauri dogo, pingamizi au au kesi ya msingi?
Hiyo ni lugha ya kisheria, mdau ameomba ufafanuzi na tupo wengi tunaohitaji kufahamu zaidi kilichomaanishwa kwenye hizo karatasi.Umesoma kweli? Mbona kuuliza hili swali?
Short and Clear, πHatuna mahakama
Umesoma kweli? Mbona kuuliza hili swali?
Mmmh et covid waliizindia chadema kwani wale si walikua na backup ya serikali na bunge kwa ujumla ndo maana hawakufanywa kitu.Kitendo cha jaji Mwanga kung'ang'ania hii kesi mpaka leo sioni dalili nzuri.
Chadema na sisi tuache unyonge, huyo Said Issa tunashindwa vipi kumbana aondoe kesi? Kama CCM imeamua kuwa mafia inabidi tubadilike hawaelewi lugha nyingine zaidi ya ile ya tarehe 29 oktoba.
Huyo Said Issa akikutana na nguvu ya umma na akabinywa kidogo ataondoa kesi na mchezo utaishia hapo.
Mbona kipindi cha Dr Slaa tulikua tunadhibiti huu ujinga kimya kimya. Kama tu wale Covid 19 walikivimbia chama na hakuna kitu tuliwafanya ina set precedence mbaya ndio haya kina Said Issa, mara Mchome, kesho ataibuka Mwingine but if we are a bit aggressive tutakiokoa chama.
Mkuu, umefika mbali. Hakuna nilipokuambia wewe ni Mjinga.Nimesoma sijaelewa mkuu. Pia kuomba ufafanuzi sio ujinga ila kukaa kimya na huku hujaelewa ndio ujinga.
Hapa hapaeleweki kweli? Au lugha gani unasema wewe?Hiyo ni lugha ya kisheria, mdau ameomba ufafanuzi na tupo wengi tunaohitaji kufahamu zaidi kilichomaanishwa kwenye hizo karatasi.
π
1. Kesi juu ya Issa na wenzake VS CHADEMAHapa hapaeleweki kweli? Au lugha gani unasema wewe?
Uamuzi wa Mahakama Kuu katika Kesi ya Saidi ISSA Mohamed & Wenzake vs Bodi ya Wadhamini wa CHADEMA & Katibu Mkuu wa CHADEMA juu ya pingamizi ya mamlaka ya Mahakama kusikiliza kesi hiyo
Twende taratibu ili nami nikuelewe. Hizo 1 na 2 umezitoa wapi?1. Kesi juu ya Issa na wenzake VS CHADEMA
2. Pingamizi la kusikilizwa kwa kesi hiyo
Ndio maana mdau aliomba ufafanuzi,
NB, kama kutoa ufafanuzi inashindikana hakuna haja ya kuzozana nimatumizi mabaya ya muda.
π
Hapa hapaeleweki kweli? Au lugha gani unasema wewe?
1. Uamuzi wa Mahakama Kuu katika Kesi ya Saidi ISSA Mohamed & Wenzake vs Bodi ya Wadhamini wa CHADEMA & Katibu Mkuu wa CHADEMA
Humu kiongozi figganigga π2. juu ya pingamizi ya mamlaka ya Mahakama kusikiliza kesi hiyo
Enzi za Dr Slaa uliona ujinga kama ule? Kina Mwigamba walifuatwa hadi Lodge na kubananishwa!! Ndio maana wakakimbia chamaMmmh et covid waliizindia chadema kwani wale si walikua na backup ya serikali na bunge kwa ujumla ndo maana hawakufanywa kitu.
Okay..wewe ndo umetenganisha ila hiyo ni sentensi moja. Isome kwa kuiunganisha ndo utaelewa. Ni Uamuzi kuhusu pingamizi lililowekwaHumu kiongozi figganigga π
Kumbe hiyo ndio michezo yenu ;Enzi za Dr Slaa uliona ujinga kama ule? Kina Mwigamba walifuatwa hadi Lodge na kubananishwa!! Ndio maana wakakimbia chama
Kina Dennis msacky walikichafua chama "wakabipiwa" same to yule mlinzi wa Dr Slaa alivyotaka kumpa sumu alishughulikiwa mpaka akaeleza waliomtuma.
Back then we had mabere marando kama mtu wa usalama!! Sijajua tumekuaje siku hizi tunazungukwa ila tumezubaa tu inatakiwa tuwe aggressive.