Uamuzi wa Mahakama Kuu juu katika Kesi ya Saidi ISSA Mohamed & Wenzake

Uamuzi wa Mahakama Kuu juu katika Kesi ya Saidi ISSA Mohamed & Wenzake

Mmmh et covid waliizindia chadema kwani wale si walikua na backup ya serikali na bunge kwa ujumla ndo maana hawakufanywa kitu.
Hata Said Issa na wenzake wana backing ya serikali te a ni Samia mwenyewe ndiye anawafadhili.
 
Kumbe hiyo ndio michezo yenu ;

Mnatekana huko na kuumizana halafu mnasingizia wengine
Wapi nimesema kuna mtu katekwa? Kudhibiti hujuma sio lazima uteke mtu hizo ni tabia za CCM tu
 
Okay..wewe ndo umetenganisha ila hiyo ni sentensi moja. Isome kwa kuiunganisha ndo utaelewa. Ni Uamuzi kuhusu pingamizi lililowekwa
Wewe acha longolongo kubali tu hata wewe hujui kilichoandikwa
 
Back
Top Bottom