saidi issa mohamed

Saidi Mohamed Mtanda (born 19 September 1980) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Mchinga constituency since 2010 to 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nshala: Mwanakulitafuta, mwanakulipata - Saidi Mohamed na Ahmed Rashid wajiandae CHADEMA mamilioni ya fedha kama fididia ya hasara

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetuma onyo kali kwa waliokuwa wanachama wao, Saidi Issa Mohamed na Ahmed Rashid, kikitaka wajiandae kukilipa chama hicho mamilioni ya fedha kama fidia ya hasara waliyosababisha kufuatia mfululizo wa kesi wanazofungua mahakamani. Kauli hiyo...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CHADEMA: Mahakama ya Rufaa kusoma uamuzi wa kesi ya Saidi Issa Mohamed leo Aprili 15, 2026

    Mahakama ya Rufaa inatarajiwa kusoma uamuzi wa kesi ya Saidi Issa Mohamed dhidi ya CHADEMA leo Aprili 15, 2026. Chama kimesema kimepokea taarifa hiyo kutoka mahakamani na kuahidi kuujulisha umma kuhusu matokeo ya uamuzi huo mara tu utakapotolewa. Kesi hii inahusiana na mgawanyo wa mali na...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Mahakama Kuu juu katika Kesi ya Saidi ISSA Mohamed & Wenzake

    Uamuzi wa Mahakama Kuu katika Kesi ya Saidi ISSA Mohamed & Wenzake vs Bodi ya Wadhamini wa CHADEMA & Katibu Mkuu wa CHADEMA juu ya pingamizi ya mamlaka ya Mahakama kusikiliza kesi hiyo utatolewa tarehe 11 Februari 2026 saa tatu asubuhi.
  4. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kesi ya Viongozi wa CHADEMA kuidharau amri ya Mahakama yatupiliwa mbali

    Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam kesi ya kudharau amri ya Mahakama iliyokuwa imefunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake dhidi ya viongozi waandamizi wa CHADEMA wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wake wa Tanzania...
Back
Top Bottom