Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mahakama ya Rufaa inatarajiwa kusoma uamuzi wa kesi ya Saidi Issa Mohamed dhidi ya CHADEMA leo Aprili 15, 2026. Chama kimesema kimepokea taarifa hiyo kutoka mahakamani na kuahidi kuujulisha umma kuhusu matokeo ya uamuzi huo mara tu utakapotolewa.
Kesi hii inahusiana na mgawanyo wa mali na rasilimali za chama (Na. 8323/2025), ambapo kuna madai ya kutokuwepo kwa usawa kati ya Bara na Zanzibar. Licha ya mapingamizi ya chama, Mahakama imeruhusu shauri hilo kuendelea huku viongozi mbalimbali, akiwemo Tundu Lissu, wakihusishwa katika hatua za kisheria zinazoendelea.
===
Chama kimepokea taarifa kutoka Mahakama ya Rufaa, Dodoma, kuhusu kesi ya Saidi Issa Mohamed dhidi ya Chadema kuwa Mahakama hiyo inatarajiwa kusoma uamuzi wake leo.
Chama kitauarifu umma wa Watanzania kuhusu uamuzi wa mahakama mara tu utakapokuwa umetolewa
Soma mwenendo wa Kesi hii;

- Uamuzi wa Mahakama Kuu juu katika Kesi ya Saidi ISSA Mohamed & Wenzake
- Mapingamizi dhidi ya Tundu Lissu kuunganishwa katika Kesi ya Mgawanyo wa Mali CHADEMA yatupiliwa mbali na Mahakama Kuu
- Dkt. Nshala: Afunguka yaliojili kwenye kesi ya mgawanyo wa mali wa CHADEMA
- Dodoma: Mahakama ya Rufaa kusikiliza maombi ya CHADEMA kutaka kesi ya mgawanyo wa mali kufanyiwa marejeo
- Kesi ya Viongozi wa CHADEMA kuidharau amri ya Mahakama yatupiliwa mbali