CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 21,737 Reaction score 42,892 Feb 7, 2026 #21 Monomer said: Mmmh et covid waliizindia chadema kwani wale si walikua na backup ya serikali na bunge kwa ujumla ndo maana hawakufanywa kitu. Click to expand... Hata Said Issa na wenzake wana backing ya serikali te a ni Samia mwenyewe ndiye anawafadhili.
Monomer said: Mmmh et covid waliizindia chadema kwani wale si walikua na backup ya serikali na bunge kwa ujumla ndo maana hawakufanywa kitu. Click to expand... Hata Said Issa na wenzake wana backing ya serikali te a ni Samia mwenyewe ndiye anawafadhili.
zitto junior JF-Expert Member Joined Oct 7, 2013 Posts 24,661 Reaction score 40,890 Feb 7, 2026 #22 Stroke said: Kumbe hiyo ndio michezo yenu ; Mnatekana huko na kuumizana halafu mnasingizia wengine Click to expand... Wapi nimesema kuna mtu katekwa? Kudhibiti hujuma sio lazima uteke mtu hizo ni tabia za CCM tu
Stroke said: Kumbe hiyo ndio michezo yenu ; Mnatekana huko na kuumizana halafu mnasingizia wengine Click to expand... Wapi nimesema kuna mtu katekwa? Kudhibiti hujuma sio lazima uteke mtu hizo ni tabia za CCM tu
Mto wa mbu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2021 Posts 4,507 Reaction score 11,367 Feb 7, 2026 #23 Nyumba ya huyo kibaka Issa ipigwe kiberiti
M Makebo JF-Expert Member Joined Nov 29, 2025 Posts 4,343 Reaction score 7,238 Feb 7, 2026 #24 figganigga said: Okay..wewe ndo umetenganisha ila hiyo ni sentensi moja. Isome kwa kuiunganisha ndo utaelewa. Ni Uamuzi kuhusu pingamizi lililowekwa Click to expand... Wewe acha longolongo kubali tu hata wewe hujui kilichoandikwa
figganigga said: Okay..wewe ndo umetenganisha ila hiyo ni sentensi moja. Isome kwa kuiunganisha ndo utaelewa. Ni Uamuzi kuhusu pingamizi lililowekwa Click to expand... Wewe acha longolongo kubali tu hata wewe hujui kilichoandikwa