Uamuzi wa mapingamizi ya Jamhuri Kesi ya Lissu, Mahakama kuyatolea uamuzi Julai 11, 2025

Blessed Tajiri

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2023
Posts
284
Reaction score
870
Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam kwa ajili ya kesi yake dhidi ya Jamhuri.

20250627_111751.jpg

Lissu amefungua kesi hiyo namba 14496/2025 akiomba marejeo ya mahakama kuhusu uamuzi uliotolewa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu katika kesi yake ya uchochezi ambayo ilikubaliana na maombi ya Jamhuri kusikiliza mashahidi wa siri.

Katika maombi hayo Lissu anadai kutowafahamu mashahidi hao wa siri kuna athiri haki yake ya kujitetea ipasavyo na inaweza kupelekea maamuzi yenye athari kubwa kwake binafsi.

====

Updates

Ukumbi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Court No. 2 inaposikilizwa kesi ya Tundu Lissu unaingiza watu 50. Idadi hiyo ni pamoja na Mawakili wa Serikali na Mawakili wa Utetezi na askari magereza. Hivyo kwa wastani wameingia wananchi 20.

==========

Uamuzi wa mapingamizi ya Jamhuri kwenye Kesi ya Lissu, Mahakama kuyatolea uamuzi Julai 11, 2025.

Baada ya Jamhuri kuweka mapingamizi matatu kutaka Shauri la marejeo lililofunguliwa na Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Tundu Lissu kutupiliwa mbali, Mahakama imesikiliza hoja za pande zote mbili na kupanga kutolea uamuzi Julai 11, 2025.

Kesi hiyo inasikilizwa kwenye Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, ambapo Mawakili wa Lissu wamewasilisha hoja kupinga mapingamizi hayo ambayo yamewekwa na Jamhuri.

Baadhi ya Mawakili wanaomwakilisha Lissu kwenye Kesi hiyo ni pamoja na Wakili Peter Kibatala,Wakili Mwandamizi Mpale Mpoki ambapo walifungua shauri wakiomba Mahakama irejee uamuzi wa awali wa Hakimu anayeendesha kesi ya uchochezi inayomkabili mteja wao katika Mahakama Kisutu Jijini Dar es Salaam, ambaye alikubali maombi ya upande wa Jamhuri kusikiliza ushahidi wa mashahidi wa siri.
 
Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam kwa ajili ya kesi yake dhidi ya Jamhuri.

Lissu amefungua kesi hiyo namba 14496/2025 akiomba marejeo ya mahakama kuhusu uamuzi uliotolewa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu katika kesi yake ya uchochezi ambayo ilikubaliana na maombi ya Jamhuri kusikiliza mashahidi wa siri.

Katika maombi hayo Lissu anadai kutowafahamh mashahidi hao wa siri kuna athiri haki yake ya kujitetea ipasavyo na inaweza kupelekea maamuzi yenye athari kubwa kwake binafsi.
Lissu tumemsahau kabisa.Kama hayupo TZ.
 
Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam kwa ajili ya kesi yake dhidi ya Jamhuri.

Lissu amefungua kesi hiyo namba 14496/2025 akiomba marejeo ya mahakama kuhusu uamuzi uliotolewa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu katika kesi yake ya uchochezi ambayo ilikubaliana na maombi ya Jamhuri kusikiliza mashahidi wa siri.

Katika maombi hayo Lissu anadai kutowafahamu mashahidi hao wa siri kuna athiri haki yake ya kujitetea ipasavyo na inaweza kupelekea maamuzi yenye athari kubwa kwake binafsi.
Kwanini Mashahidi iwe Siri?
 
Hii kesi ingefutwa tu Haina maslahi kwa umma...
 
Back
Top Bottom