Uamuzi wa Russia kuivamia Ukraine ni mbinu iliyoshindwa (Strategic Failure)?

Warusi wapo Milioni 140 na idadi waliokimbia hawazidi Milioni 1.

Hapo hapo Urusi imechukua ria zaidi ya Milioni kwenye majimbo ya Zaphorizia, Kherison, Lugansk na Donetsk na possible baadae kubeba raia wote waliopo Odessa na Dnipro.
Hata angehamisha raia mmoja tuu,kukimbia ni kukimbia.
kama alijua raia wake watapata heka heka kwanini aliamua kuanzisha hii vita ya uvamizi?
Na bado ndo kwanza masaa sabini na mbili hayajatimia,
 
Kwa kuwa wewe ni kilaza na umeshindwa kujibu maswali yangu na hasa sababu iliyofanya hizo bank zi collapse.

Si vibaya kumwelimisha mtu poyoyo kama wewe. Hebu jisomee hapa mpaka mwisho uelimike kidogo. Sina uhakika kama unazijua terminology za uchumi, najua hutaambulia kitu. Utaibuka na kioja kingine

 
Mkuu nasisitiza tena aidha kwa kujua au kutojua unachanganya mambo.
1. Tulizungumzia ujio wa member mpya Finland amepata sababu za kujiunga NATO kisa SMO.

Kwa bahati mbaya umetaja Maidan Square na Victoria Nuland hizo case zote ni Ukraine na sio Finland. Kwanini zi apply kwenye membership ya Finland?.

2. Kama NATO walipanga expansion kama unavodai kwanin Sweden amekwama kujiunga mpaka leo? Wakati nae anafanya mazoezi ya Kijeshi kila mara na NATO hao hao?

3.Sehemu za Ukraine bado hazijaenda moja kwa moja kama unavuodai tusubiri majibu ya Ukraine.

4.Hiyo alternative payment hadithi yake haijaanza wakati wa SMO ni muda sasa na sijui lini itaanza kutumika.
 
Mashoga mnachafua thread ya watu, kenge mavy nyie.
 
IQ kubwa sio mataco kwamba kila mmoja anaweza kuwa nayo.
 
1. Kwani Finland amejiunga kipindi gani?
Kwa nini usione muunganiko wa matukio?

2. Sweden amekwama kwa sababu ya Uturuki.
Je hili nalo unataka maelezo mengi?
Lakini Nia ya Nato ni expansion

3. Una maana gani, ulisema hazijaenda Moja kwa Moja, watalia Lia na kutafuta sympth ya Dunia hasa western world ila hayo maeneo wasahau.

Nasubiria kusikia Jamhuri mpya ya Dnipro ikianza

4. Unadhani haijaanza kutumika
 
Ama kweli products za 7F zinatembea na mafuvu tu. Sijui kama unaelewa ulichoandika mwenyewe. Hata hoja za thread hii hujazijua. Anyway, ngoja tukuulize maswali ili tuzidi kupima akili yako kabla hatujakushauri kwenda milembe.

1. Kwa hiyo sababu ya Russia kuovamia ukraine ilikuwa ni kuchukua ZNPP na DONBAS?

2. Je, sasa hivi Russia inapata umeme kutoka ZNPP baada ya kuuteka?

3. Je, Russia ina operate mitambo ya ZNPP?

4. Je, sasa hivi Ukraine haipati umeme kutoka ZNPP?
 
Bado haielezi nini hasa sababu ya hizo benki kuyumba mpaka kufikia kufilisika.

Kwa kukusaidia embu angalia sera za US FEDERAL RESERVE na athari zake kiuchumi.

Hasa ya kupandisha interest rate halafu tuje kujadiliana
 
Sijui sana Kuhusu International Disputes,Lakini Nachotaka mimi Putin Ashinde Na NATO ianguke Nataka Kuona USSR ikiinuka Tena Tuachane Na Hayo mashoga Siyapendi
Kwa hiyo Russia iliivamia Ukraine kwa sababu inapinga ushoga. Kama ndo hivyo kwa nini hajaenda kuivamia USA?
 
Bado haielezi nini hasa sababu ya hizo benki kuyumba mpaka kufikia kufilisika.

Kwa kukusaidia embu angalia sera za US FEDERAL RESERVE na athari zake kiuchumi.

Hasa ya kupandisha interest rate halafu tuje kujadiliana
1. Nilijua hutaelewa kilichoandikwa. Kwa kuwa wewe ni mazalia ya 7F sijashangaa.

2. Hebu tuwekee hapa sera unazodai ni za Federal Reserve na athari zake ili na sisi tuzione. Maana sisi sio waumini wa porojo.

3. Narudia tena kusema huna abcd za uchumi hata chembe. Labda kama ni Porojo economics.
 
Ukraine haipati umeme kutoka ZNPP na umeme umeunganishwa kwenye grid zinazokwenda Urusi.

Petro Kotin, president of Energoatom [a Ukrainian state enterprise operating nuclear power stations in Ukraine - ed.] has said that Russia has begun implementing its plan to disconnect the Zaporizhzhia Nuclear Power Plant (ZNPP) from the Ukrainian power grid and to connect it instead to the Russian grid.

Source: Petro Kotin on air during the 24/7 national joint newscast

Mitambo wanaoperate kwa kushirikiana na baadhi ya maafisa wa Ukraine na possible hata paycheck zao ni kutoka Urusi.

Eneo limeshikiliwa na majeshi ya Urusi ila Waukrain walijaribu Kutaka kupachukua ila haikuwezekana.

Sababu haikuwa mitambo ila ni sehemu ndogo muhimu inayohitaji kupewa ulinzi na singeweza kuachiwa Zelensky.
 
Ama kweli wewe ni kilaza.

1. Kwa hiyo hujui kuwa ZNPP iko chini ya usimamizi wa IAEA.

2. Ni mwaka gani grid ya umeme ilijengwa kutoka Ukraine kwenda Russia. ?

3. Kwa kuwa umeme wa ZNPP unaenda mpaka Crimea. Crimea iko nchi gani?
 
1 The Fed also sets the discount rate, the interest rate at which banks can borrow directly from the central bank.

2 If the Fed raises interest rates, it increases the cost of borrowing, making both credit and investment more expensive. This can be done to slow an overheated economy.

3 If the Fed lowers rates, it makes borrowing cheaper, which encourages spending on credit and investment. This can be done to help stimulate a stagnant economy.

Sasa Fanfa kilichotokea ni Federal Reserve kuongeza Interest rate ili kupambana na inflation iliyosababishwa na Vita ya Urusi na Ukraine.

Kumbuka muda huo kule Marekani oil prices imekwenda juu, food price imepanda hivyo federal reserve haikuwa na jinsi.

Matokeo yake
Ukipandisha interest rate kama dokezo namba mbili linavyosema

Bank kama Silicon Valley Bank ambalo lenyewe limeinvest kwenye new technology niche na Kutoa mikopo nafuu likaingia kwenye mtihani.

Kivipi makampuni mengi waliyoyakopesha yalikuwa Bado hayajamature na kwenda kusababisha liquidity issue na kupelekwa anguko lake.
 
Kuna wadau humuita Putin jasusi mbobevu,Ila cha ajabu huyu jasusi mbobevu alishindwa kabisa kufanya tathmini ya kutosha kabla ya kuanzisha hii Vita.

Hii Vita imeifedhehesha Sana Urusi na Putin na imefichua udhaifu wake.
 
Maana yangu ni kwanini Sweden ambae yuko willing akwame kujiunga kisa member wa NATO? inamaana hawana mipango ya ndani kwamba member huyu inabidi tumchukue?

Hiyo system China alisha ikataa na China ndio master wa huko akigoma hakuna kinachofanyika. Hata mwenyewe still anaendelea kuboresha system yake ili kama anaweza kupata watumiaji
 
Ama kweli wewe ni kilaza.

1. Kwa hiyo hujui kuwa ZNPP iko chini ya usimamizi wa IAEA.

2. Ni mwaka gani grid ya umeme ilijengwa kutoka Ukraine kwenda Russia. ?

3. Kwa kuwa umeme wa ZNPP unaenda mpaka Crimea. Crimea iko nchi gani?
1. Unajua tofauti ya uangalizi na usimamizi?

2.Russian forces have had control over the ZNPP since March 2022, while Ukrainian technicians and experts from Russia's state-owned atomic energy agency Rosatom continue to operate the facility.7 days ago



June 2023 Monthly Forecast : Security Council Report › ...

Ukraine: Briefing on the Zaporizhzhia Nuclear

3.Reuters
Reuters | Breaking International News & Views › europe
Russia fixing power line from Zaporizhzhia nuclear plant to land ...

Sina hiyo source Tena western agency ikielezea kuwa Warusi wamebadilisha power Lina na kukonekti za kwao hivyo umeme unakwenda Russia na maneo watakao wao

VIENNA, April 28 (Reuters) - Russia has informed the U.N. nuclear watchdog that equipment spotted at Ukraine's Zaporizhzhia nuclear power plant, which Russia controls, will be used to fix a power transmission line that leads to Russian-held territory, the watchdog said on Friday.

4.Russian forces have had control over the ZNPP since March 2022, while Ukrainian technicians and experts from Russia's state-owned atomic energy agency Rosatom continue to operate the facility.7 days ago

Russian occupation of Zaporizhzhia Oblast - Wikipedia

Embu soma hapo na source zake halafu ukimaliza sema kwa nguvu wewe ni mjinga

Crimea ni Urusi kwisha
 
Mkuu wewe unaifaitilia Uturuki na siasa zake?

Kuna kipindi baadhi ya western state walitaka Turkey itolewe NATO.
Kifupi Waturuki wanataka Independence Yao na bila kuingiliwa na yoyote hivyo wanavsera za peke Yao.

Kifupi mkuu hapa umekubali hoja zangu ubalikiwe
 
Kuna wadau humuita Putin jasusi mbobevu,Ila cha ajabu huyu jasusi mbobevu alishindwa kabisa kufanya tathmini ya kutosha kabla ya kuanzisha hii Vita.

Hii Vita imeifedhehesha Sana Urusi na Putin na imefichua udhaifu wake.
Upo hadi huku
 
Rudi ukasome link niliyokutumia kuliko kuja na porojo ambazo hata hazipo au hazijasemwa. Sababu zimewekwa wazi kwa nini zili collapse. Wapi wamesema kuwa kuongezeka kwa interest rate ndo kumefanya hizo benki zi collapse.

Kama ni issue ya interest rate kwa nini mabenki makubwa hayajaanguka?
 
Link yako haina issue na nimeipitia yote sawa Mchumi.

Sasa hapo nimeijadili sera ya Federal reserve ambaye ndiye taasisi mama ya fedha pale Marekani.

Walitumia monetary policy kujaribu kucurb inflation iliyosababishwa na special op ya Mrusi .

Hayo ndio madhara yake bank tatu kubwa Chali na zaidi ya mia mbili zipo kwenye hali mbaya.

Sasa Mchumi labda uje na hoja tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…