Uamuzi wa Uingereza kuipiga marufuku kampuni ya Huawei ni hasara kwa Uingereza na maendeleo ya teknolojia ya huduma ya 5G

Mwizi namba moja ni USA.... Kama ilivyo kwa wezi hawapendi kuibiwa
 
Kwani wewe una mtetea nani?
 
Umenyoosha; congrats!! Wapo watu humu JF wanaamini kwamba kila kitu bora duniani lazima kianzie USA; kikibuniwa na taifa jingine eti wame-copy kutoka USA; upuuzi mtupu!!
Kabla ya USA kuwepo hapakuwepo mataifa yaliyokuwa na teknolojia zake ambazo sasa zitakuwa zimeendelezwa sana?
Hakuna dola duniani inayoweza kuitawala dunia yote. USA akabiliane na washindani wake kiteknolojia, siyo kwa figisu kama anavyofanya kwa HUAWEI, Air Bus na wengine. Anaweza kuwakwamisha kwa muda tu; but in the long run watatoboa tu, maana kila mwanadamu ana maarifa ya kupambana na mazingira yake ili aweze ku-survive.
 
5G kaina wapi nakwanani ?!
wakat hata hao US hawana ?!


Kuhusiana na kuiba siri za US mbna hata US anaiba na Alishaiba.....
Una mahaba hadi unasahau facts,
huawei sio kampuni ya kwanza kuwa na 5g, at&t wana 5g toka 2019 na haikuwa provided na huawei, kilichopo huawei anaprovide 5g service at a fraction of cost ndo mana aliwin tenda nyingi huko ulaya.
hata wanampompiga pin huawei sio kwamba watarudi 4g , bali wana opt expensive 5g providers ili wasi compromise security kwa mchina
 
Nahii 6G ambayo wachina washa anza kuifanyia mipango nayo kaiiba wapi ?!

Kama walikua wakwanza walikwamia wapi kuanza kui launch mpaka wakamngojea mzee UCHINA akaanza kufanya yake ?!
 
Nahii 6G ambayo wachina washa anza kuifanyia mipango nayo kaiiba wapi ?!

Kama walikua wakwanza walikwamia wapi kuanza kui launch mpaka wakamngojea mzee UCHINA akaanza kufanya yake ?!
6g ipo kwenye research na mchina yupo vizuri kwenye propaganda, Huawei' inasema kama wakifanikiwa wata launch 6g 2030, bado hujaelewa tu kuwa jamaa ni propaganda ,
America na South Korea ndi watu wa kwanza kutumia 5g na haikuwa ya huawei
 
6g ipo kwenye research na mchina yupo vizuri kwenye propaganda, Huawei' inasema kama wakifanikiwa wata launch 6g 2030, bado hujaelewa tu kuwa jamaa ni propaganda ,
America na South Korea ndi watu wa kwanza kutumia 5g na haikuwa ya huawei
[emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo lenu mmekaririshwa kuhusiana na UCHINA kila atakalofanya mnaambiwa kama propaganda

Kama mnavyoambiwa kama 5G walikua wanatumia wao inamaana wao hawataki hela kwakufanya biashara namataifa ama makampuni mengineyo mpaka wakamuachia UCHINA achukue nafasi !?

Ama UCHINA alikua anaingia hio mikataba kisiri siri

Wao kama wanangojea 2030 UCHINA wala hatafika huko kama sijakosea walisema kati ya 2025 ama 2026 watakua washaingiza 6G mzigoni
 
hii midahalo yote humu inawezeshwa na wao , kuanzia internet ,android hadi Twitter na Facebook,the hii JF app inaoperate kwa kutumia codes zilizowezeshwa na USA

Hebu nipe platform za upande wa pili , ili tu discus hii ishu tukiwa nje ya mfumo wa kimarekani, kwa namna yoyote ile
 
Kwani MKUU ukiwa wewe unatumia hayo unayoyatumia unahisi wengine wanatumia kama wewe mfano korea kaskazini wana aperate kwakutumia window yao mbna husemi au UCHINA wana mpaka mitandao yakijamii

Halaf jengine US tech zote wanazozitumia wamezigundua wao ?!
 
Ukiwa unazumgumzia jambo penda kuzungumzia nafsi yako na si za wenzako, nimesema mijadala humu inaendeshwa kwa tech za USA, badala ya kuwataja North Korea ilitakiwa wewe uniprove wrong kwa kusema hutumii tech ya mmarekani,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…