Uamuzi wa wabunge wa CHADEMA kutohudhuria Bunge na kujiweka karantini ni sahihi kabisa

Posho ni kitu gani? wameshakaa jela siku nyingi tu bila kupata posho. Serikali ipambane na corona na iache kupambana na CHADEMA!
Warudishe tu hizo posho hakuna ujanja huu ni wizi wa kodi zetu, kama walishazitumbua wanao misukule yao waichangishe tu [emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
Kwa maoni yangu uamuzi uliochukuliwa na wabunge wa Chadema ni wa busara sana kwa kuokoa maisha yao na ya wale wanaokutana nao kila siku
Watajifungia mpaka lini?
Wana uhakika wakitoka hawataambukizwa?
Wenye akili tunajua hii ilifanywa kutaka kuwafurahisha wazungu,lakini mbowe kakosea timing,wazungu wapo bize kutaka kurudi mitaani,igizo limekosa kiki ya kimataifa
 
Wiki iliyopita Mwenyekiti wa Chadema, Mheshimiwa Freeman Mbowe, alilitangazia Taifa kuwa wabunge wa Chadema, hawataendelea tena na vikao vya Bunge na wameamua kujiweka karantini kwa siku 14, ili kuangalia afya zao kama wameambukizwa ugonjwa huu wa COVID 19 au laa

Ni uamuzi wa busara kabisa waliochukua wabunge hao na ndiyo unaosisitizwa sana na shirika la afya la dunia (WHO) wa kujali afya yako na ya wengine.

Sasa kituko kimekuja baada ya hao Chadema kutoa tamko hilo, ambapo lilipokelewa kwa vitisho vya hali ya juu kutoka kwa watawala wetu

Alianza Rais Magufuli akiwa kijijini kwake Chato, wakati anamwapisha waziri wa sheria na Katiba, jumapili iliyopita alipotamka hadharani kuwa amemuagiza Spika wa Bunge, awakate posho zao wabunge wote waliosusia vikao hivyo!

Akaja Spika Ndugai mwenyewe, akawaambia wabunge hao warudishe posho hizo za per diem na sitting allowances, kabla hajalikabidhi suala hilo kwa vyombo vya usalama, ili waweze kushughulikiwa kama wahalifu wengine wa jinai!

Akafuatia Mkuu wa mkoa wa Dar, Paul Makonda, ambaye alikwenda mbali zaidi, kwa kutoa amri kwa wabunge wote wa Chadema, waliokuja jijini kwake, warudi Bungeni kwao ndani ya saa 24, ama sivyo atawakamata kama wazururaji, aliowafananisha na machangudoa!

Hapo ndipo ninapojiuliza maswali kadhaa, hivi hawa wabunge wa Chadema, si wamechukua hatua hiyo ya tahadhari ili kuokoa maisha yao na ya wale wanaokaribiana nao, ambalo ndilo jambo linalisisitizwa sana na WHO??

Tukumbuke pia hao wabunge wa Chadema ndicho kilikuwa kilio chao kikubwa sana kwa kumuomba Spika wa Bunge aruhusu wabunge wote wapimwe ugonjwa wa COVID 19 kabla yya kuendelea na vikao hivyo na Spika Ndugai, akawagomea!

Hivi kwa mazingira hayo ya Bunge kupoteza wabunge wake 3 ambao wamefariki katika kipindi kisichozidi wiki 2 hivi kwa uamuzi waliochukua wabunge wa Chadema, bado unaonekana siyo wa busara kweli??

Kwa maoni yangu uamuzi uliochukuliwa na wabunge wa Chadema ni wa busara sana kwa kuokoa maisha yao na ya wale wanaokutana nao kila siku
WHO haijaipangia nchi kuweka karantini bali wanashauri tu na nchi husika ndo yenye mamlaka ya kuweka karantini, sasa hao Chadema wanafuata maelekezo ya WHO wao kama nani? Kama vile hiyo haitoshi, wamejiwekea karantini ya aina yake ya kuzurura mitaanj halafu wanataka walipwe...!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukihisi/ukijua umekuwa karibu na mtu aliyethibitika kuwa na covid-19 unatakiwa wewe binafsi kujiweka karantini, huko uliposoma kuwa nchi husika ndo yenye mamlaka ya kukuweka karantini kasome tena utakuta maandishi yamebadilika.
 
WHO haijaipangia nchi kuweka karantini bali wanashauri tu na nchi husika ndo yenye mamlaka ya kuweka karantini, sasa hao Chadema wanafuata maelekezo ya WHO wao kama nani? Kama vile hiyo haitoshi, wamejiwekea karantini ya aina yake ya kuzurura mitaanj halafu wanataka walipwe...!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umewaona mitaani wakizurura??
 
Wewe umewaona mitaani wakizurura??
MAKADA WENZANGU WA CCM
Nimefuatilia kwa ukaribu sana majadiliano na mabishano yaliyopo sasa kwenye mitandao.haya ni mawazo yangu huru

1.Tumekosa mwelekeo kukitetea chama chetu,,tunawajibu wenzetu wa upinzani kwa hoja nyepesi,tumejikita zaid kuwashambulia kwa matusi badala ya kujibu hoja zao.

2.Tuna mtanziko,mawazo,zaidi hofu,,janga la corona halipaswi kufanywa ajenda ya chama chetu dhidi ya wapinzan wetu wa kisiasa,,tunapaswa kuungana pamoja,,hivi wenzangu hamuon kuwa dunia yote imesimama??hadi makundi yaliyokuwa yanapigana mathalan kule Syria yameweka silaha chin kwanza wanapambana kuondoa corona??sisi huku tanzania tunapambana kuufuta upinzani???nonsense

Muhimili wa bunge chini ya spika ndugai umekosa vision,kwa maneno ya kawaida naweza kusema upo ICU,spika ndugai historia siku zote huwa haifutiki,,nani alikuwa hai mathalan wakat wa vita ya majimaji hadi leo??lakin historia imeandikwa yote.baba ndugai where is your legacy baada ya maisha ya hapa dunia?

3.Tulio na mawazo huru msitutishe,,tusikilizen,tujadiliane,,hii nchi tulipewa zawad kutoka kwa Mungu,hakuna aliyepanga kuzaliwa tanganyika,,hvyo tusijione bora kuliko wengine kwa.sababu tu tumepewa dhamana ya uongozi
4.Chama changu ccm tumepoteza vision,hatuna tena mwelekeo,,nani ametuloga kuwa maisha mazuri ya binadamu ni reli,madege,mabarabara n.k huku weng wanateseka kwa kukosa huduma muhimu kama maji??watanzania sasa si mazuzu,,kwenye uchaguzi huru ccm hatuwezi kushinda popote pale,,wakat mwingine makada wenzangu mliopewa dhamana ya uongoz mnakuwa walev wa madaraka,ni zaid ya mazuzu.nonsense

5.Huu si wakat wa kulumbana hakuna hata mmoja ambaye yupo salama juu ya janga la corona,mawazo ya wapinzani wetu wa kisiasa tunayapuuza sana tu,,tena tunabaki kuwashambulia kwa maneno ya kanga badala ya kuchukua mawazo yao na kuyafanyia kazi,,nawaambien TUTAHESHIAMA tu,covid 19 is real.Kenya hapo wanatucheka watz manake wakat ambao Uhuru kenyeta kaungana na mpinzan wake Raila kuongoza nchi yao sis tupo busy kugombana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ajabu sana mtu anachukua tahadhari ya kuepusha maambukizi zaidi wasio na akili wanamuona kuwa hana akili.
 
Asante Sana
 
Kuna bunge lolote duniani limehairishwa Kutokana na Corona??

mwanabhonga
 
Wiki iliyopita Mwenyekiti wa Chadema, Mheshimiwa Freeman Mbowe, alilitangazia Taifa kuwa wabunge wa Chadema, hawataendelea tena na vikao vya Bunge na wameamua kujiweka karantini kwa siku 14, ili kuangalia afya zao kama wameambukizwa ugonjwa huu wa COVID 19 au laa

Ni uamuzi wa busara kabisa waliochukua wabunge hao na ndiyo unaosisitizwa sana na shirika la afya la dunia (WHO) wa kujali afya yako na ya wengine.

Sasa kituko kimekuja baada ya hao Chadema kutoa tamko hilo, ambapo lilipokelewa kwa vitisho vya hali ya juu kutoka kwa watawala wetu

Alianza Rais Magufuli akiwa kijijini kwake Chato, wakati anamwapisha waziri wa sheria na Katiba, jumapili iliyopita alipotamka hadharani kuwa amemuagiza Spika wa Bunge, awakate posho zao wabunge wote waliosusia vikao hivyo!

Akaja Spika Ndugai mwenyewe, akawaambia wabunge hao warudishe posho hizo za per diem na sitting allowances, kabla hajalikabidhi suala hilo kwa vyombo vya usalama, ili waweze kushughulikiwa kama wahalifu wengine wa jinai!

Akafuatia Mkuu wa mkoa wa Dar, Paul Makonda, ambaye alikwenda mbali zaidi, kwa kutoa amri kwa wabunge wote wa Chadema, waliokuja jijini kwake, warudi Bungeni kwao ndani ya saa 24, ama sivyo atawakamata kama wazururaji, aliowafananisha na machangudoa!

Hapo ndipo ninapojiuliza maswali kadhaa, hivi hawa wabunge wa Chadema, si wamechukua hatua hiyo ya tahadhari ili kuokoa maisha yao na ya wale wanaokaribiana nao, ambalo ndilo jambo linalisisitizwa sana na WHO??

Tukumbuke pia hao wabunge wa Chadema ndicho kilikuwa kilio chao kikubwa sana kwa kumuomba Spika wa Bunge aruhusu wabunge wote wapimwe ugonjwa wa COVID 19 kabla yya kuendelea na vikao hivyo na Spika Ndugai, akawagomea!

Hivi kwa mazingira hayo ya Bunge kupoteza wabunge wake 3 ambao wamefariki katika kipindi kisichozidi wiki 2 hivi kwa uamuzi waliochukua wabunge wa Chadema, bado unaonekana siyo wa busara kweli??

Kwa maoni yangu uamuzi uliochukuliwa na wabunge wa Chadema ni wa busara sana kwa kuokoa maisha yao na ya wale wanaokutana nao kila siku
Good analysis.
 
Kukimbia vikao na kujiweka karantini ni usaliti uliopitiliza kwa wananchi waliowachagua. Je ugonjwa ukiendelea Kwa muda wa miaka miwili mbele ina maana bunge lisikae ndani ya hiyo miaka miwili? Bajeti za wizara zisifanyike? Madaktari na manesi nao wakifanya hivyo itakuwaje?
 
MAKADA WENZANGU WA CCM
Nimefuatilia kwa ukaribu sana majadiliano na mabishano yaliyopo sasa kwenye mitandao.haya ni mawazo yangu huru

1.Tumekosa mwelekeo kukitetea chama chetu,,tunawajibu wenzetu wa upinzani kwa hoja nyepesi,tumejikita zaid kuwashambulia kwa matusi badala ya kujibu hoja zao.

2.Tuna mtanziko,mawazo,zaidi hofu,,janga la corona halipaswi kufanywa ajenda ya chama chetu dhidi ya wapinzan wetu wa kisiasa,,tunapaswa kuungana pamoja,,hivi wenzangu hamuon kuwa dunia yote imesimama??hadi makundi yaliyokuwa yanapigana mathalan kule Syria yameweka silaha chin kwanza wanapambana kuondoa corona??sisi huku tanzania tunapambana kuufuta upinzani???nonsense

Muhimili wa bunge chini ya spika ndugai umekosa vision,kwa maneno ya kawaida naweza kusema upo ICU,spika ndugai historia siku zote huwa haifutiki,,nani alikuwa hai mathalan wakat wa vita ya majimaji hadi leo??lakin historia imeandikwa yote.baba ndugai where is your legacy baada ya maisha ya hapa dunia?

3.Tulio na mawazo huru msitutishe,,tusikilizen,tujadiliane,,hii nchi tulipewa zawad kutoka kwa Mungu,hakuna aliyepanga kuzaliwa tanganyika,,hvyo tusijione bora kuliko wengine kwa.sababu tu tumepewa dhamana ya uongozi
4.Chama changu ccm tumepoteza vision,hatuna tena mwelekeo,,nani ametuloga kuwa maisha mazuri ya binadamu ni reli,madege,mabarabara n.k huku weng wanateseka kwa kukosa huduma muhimu kama maji??watanzania sasa si mazuzu,,kwenye uchaguzi huru ccm hatuwezi kushinda popote pale,,wakat mwingine makada wenzangu mliopewa dhamana ya uongoz mnakuwa walev wa madaraka,ni zaid ya mazuzu.nonsense

5.Huu si wakat wa kulumbana hakuna hata mmoja ambaye yupo salama juu ya janga la corona,mawazo ya wapinzani wetu wa kisiasa tunayapuuza sana tu,,tena tunabaki kuwashambulia kwa maneno ya kanga badala ya kuchukua mawazo yao na kuyafanyia kazi,,nawaambien TUTAHESHIAMA tu,covid 19 is real.Kenya hapo wanatucheka watz manake wakat ambao Uhuru kenyeta kaungana na mpinzan wake Raila kuongoza nchi yao sis tupo busy kugombana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana Mkuu kwa kuueleza ukweli mchungu

Wewe mwanaccm ndiyo umetekeleza kwa vitendo kuwa maendeleo hayana vyama.

Siyo hao wanaccm wengine, wanaoendekeza unafiki, kwa kutamka maneno matamu, na kutenda tofauti kabisa
 
MAKADA WENZANGU WA CCM
Nimefuatilia kwa ukaribu sana majadiliano na mabishano yaliyopo sasa kwenye mitandao.haya ni mawazo yangu huru

1.Tumekosa mwelekeo kukitetea chama chetu,,tunawajibu wenzetu wa upinzani kwa hoja nyepesi,tumejikita zaid kuwashambulia kwa matusi badala ya kujibu hoja zao.

2.Tuna mtanziko,mawazo,zaidi hofu,,janga la corona halipaswi kufanywa ajenda ya chama chetu dhidi ya wapinzan wetu wa kisiasa,,tunapaswa kuungana pamoja,,hivi wenzangu hamuon kuwa dunia yote imesimama??hadi makundi yaliyokuwa yanapigana mathalan kule Syria yameweka silaha chin kwanza wanapambana kuondoa corona??sisi huku tanzania tunapambana kuufuta upinzani???nonsense

Muhimili wa bunge chini ya spika ndugai umekosa vision,kwa maneno ya kawaida naweza kusema upo ICU,spika ndugai historia siku zote huwa haifutiki,,nani alikuwa hai mathalan wakat wa vita ya majimaji hadi leo??lakin historia imeandikwa yote.baba ndugai where is your legacy baada ya maisha ya hapa dunia?

3.Tulio na mawazo huru msitutishe,,tusikilizen,tujadiliane,,hii nchi tulipewa zawad kutoka kwa Mungu,hakuna aliyepanga kuzaliwa tanganyika,,hvyo tusijione bora kuliko wengine kwa.sababu tu tumepewa dhamana ya uongozi
4.Chama changu ccm tumepoteza vision,hatuna tena mwelekeo,,nani ametuloga kuwa maisha mazuri ya binadamu ni reli,madege,mabarabara n.k huku weng wanateseka kwa kukosa huduma muhimu kama maji??watanzania sasa si mazuzu,,kwenye uchaguzi huru ccm hatuwezi kushinda popote pale,,wakat mwingine makada wenzangu mliopewa dhamana ya uongoz mnakuwa walev wa madaraka,ni zaid ya mazuzu.nonsense

5.Huu si wakat wa kulumbana hakuna hata mmoja ambaye yupo salama juu ya janga la corona,mawazo ya wapinzani wetu wa kisiasa tunayapuuza sana tu,,tena tunabaki kuwashambulia kwa maneno ya kanga badala ya kuchukua mawazo yao na kuyafanyia kazi,,nawaambien TUTAHESHIAMA tu,covid 19 is real.Kenya hapo wanatucheka watz manake wakat ambao Uhuru kenyeta kaungana na mpinzan wake Raila kuongoza nchi yao sis tupo busy kugombana

Sent using Jamii Forums mobile app
CCM haiwezi kuwa na kada Kama wewe
 
Kukimbia vikao na kujiweka karantini ni usaliti uliopitiliza kwa wananchi waliowachagua. Je ugonjwa ukiendelea Kwa muda wa miaka miwili mbele ina maana bunge lisikae ndani ya hiyo miaka miwili? Bajeti za wizara zisifanyike? Madaktari na manesi nao wakifanya hivyo itakuwaje?

Ndo mana mnaambiwa mnakurupuka kuwajibu chadema badala ya kujibu hoja zao, Bunge litaendelea vizuri tu hakuna shida, isipokuwa hoja za chadema ilikuwa ni wabunge wapimwe kwanza kwa sababu tayari vifo vimetokea ndani ya bunge, wakishahakikisha usalama wao hakuna shida bunge kuendelea lakini kwanini walikataliwa? huwezi kufanya kazi katika mazingira ambayo unajua kabisa hapa ni kati ya kifo na uhai eti unatetea wananchi huku mtetezi mkuu wa wananchi akijiweka karantini lakini hata kuuliza hamuwezi.
 
Umeongea vizuri sana.....

Umempasha hasa huyo jamaa, asiyejua tofauti ya kukimbia vikao vya Bunge na kujikarantini kwa ajili ya usalama wa maisha yako na jamaa zako wanaokuzunguka
 
Ndo mana mnaambiwa mnakurupuka kuwajibu chadema badala ya kujibu hoja zao, Bunge litaendelea vizuri tu hakuna shida, isipokuwa hoja za chadema ilikuwa ni wabunge wapimwe kwanza kwa sababu tayari vifo vimetokea ndani ya bunge, wakishahakikisha usalama wao hakuna shida bunge kuendelea lakini kwanini walikataliwa? huwezi kufanya kazi katika mazingira ambayo unajua kabisa hapa ni kati ya kifo na uhai eti unatetea wananchi huku mtetezi mkuu wa wananchi akijiweka karantini lakini hata kuuliza hamuwezi.
Kwa hiyo wao wanajiona ni bora zaidi kuliko watanzania milioni 60? Je madaktari na manesi wanaokutana na wagonjwa kila dakika mbona wao hawajaomba kupimwa kwanza? Je wao siyo muhimu kama hao wasaliti wa wananchi? Usitetee ujinga wa wabunge wa Chadema hawana nia nzuri kabisa na nchi hii. Pesa wanazopata zinatosha kabisa kujikinga na hivi virus wakiwa wanaendelea na bunge maana wanauwezo wa kununua PPE za bei yeyote bila shida.
 
Back
Top Bottom