andrew henry mwamba
Member
- Aug 8, 2019
- 18
- 11
kwakua nina akili nyingi kuliko wewe kichwa tikiti unaekula kwamagoti nilazima ushangilie upuuzi ili uwishi kwahiyo sikushangaiCCM haiwezi kuwa na kada Kama wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
kwakua nina akili nyingi kuliko wewe kichwa tikiti unaekula kwamagoti nilazima ushangilie upuuzi ili uwishi kwahiyo sikushangaiCCM haiwezi kuwa na kada Kama wewe
kwahiyo unataka wabunge wafe kisa kufuata posho bungeni sindioKukimbia vikao na kujiweka karantini ni usaliti uliopitiliza kwa wananchi waliowachagua. Je ugonjwa ukiendelea Kwa muda wa miaka miwili mbele ina maana bunge lisikae ndani ya hiyo miaka miwili? Bajeti za wizara zisifanyike? Madaktari na manesi nao wakifanya hivyo itakuwaje?
Kwa hiyo wao wanajiona ni bora zaidi kuliko watanzania milioni 60? Je madaktari na manesi wanaokutana na wagonjwa kila dakika mbona wao hawajaomba kupimwa kwanza? Je wao siyo muhimu kama hao wasaliti wa wananchi? Usitetee ujinga wa wabunge wa Chadema hawana nia nzuri kabisa na nchi hii. Pesa wanazopata zinatosha kabisa kujikinga na hivi virus wakiwa wanaendelea na bunge maana wanauwezo wa kununua PPE za bei yeyote bila shida.
Hii ndio akili uliyonayo? Pole sana [emoji23][emoji1787][emoji2960]kwakua nina akili nyingi kuliko wewe kichwa tikiti unaekula kwamagoti nilazima ushangilie upuuzi ili uwishi kwahiyo sikushangai
Sent using Jamii Forums mobile app
umesema madaktari kwanini hawakimbii kuwatibu wagonjwa wenye corona sio sawa hao niwatu wenye taaruma ya afya kabla hajafanya kitu lazima wahakikishe usalama wao kwanza ndio maana wanamavazi maalumu yakujilinda kabla hawajamuudumia mgonjwa ndio maana wapinzani waliomba wabunge wote wapimwe ili kuhakikisha usalama wa wabunge lakini spika hakulipokea hilo nahuku kunavifo vya viongozi vimetoke tena wabunge kwahiyo ndugu yangu kabla yakujibu kitu jitahidi kutafakari usiwe unakurupuka sawaKwa hiyo wao wanajiona ni bora zaidi kuliko watanzania milioni 60? Je madaktari na manesi wanaokutana na wagonjwa kila dakika mbona wao hawajaomba kupimwa kwanza? Je wao siyo muhimu kama hao wasaliti wa wananchi? Usitetee ujinga wa wabunge wa Chadema hawana nia nzuri kabisa na nchi hii. Pesa wanazopata zinatosha kabisa kujikinga na hivi virus wakiwa wanaendelea na bunge maana wanauwezo wa kununua PPE za bei yeyote bila shida.
nashukuru kwakunipa poleHii ndio akili uliyonayo? Pole sana [emoji23][emoji1787][emoji2960]
Daudi Mchambuzikwa jinsi Ndugai alivyopanic anaweza hata kumuita mke wa Filikunjombe audhurie vikao vya bunge kumuwakilisha marehemu mumewe.
Wamefanya Jambo la kipuuzi bunge linaendelea wapo bungeni wanaleta ujinga wao kwani bunge limesimamishwa? Na Cha ajabu wakawa wanazurura na kukesha mabar kifupi wamekimbia majukumu yao
Unataka kusema hata yule aliye jichimbia chato?Wamefanya Jambo la kipuuzi bunge linaendelea wapo bungeni wanaleta ujinga wao kwani bunge limesimamishwa? Na Cha ajabu wakawa wanazurura na kukesha mabar kifupi wamekimbia majukumu yao
Ni upuuzi walioufanya na ni aibu kwa chadema ni kukimbia majukumu yao tu
Lakini pia kumbuka kuna mtu yupo chatoKukimbia vikao na kujiweka karantini ni usaliti uliopitiliza kwa wananchi waliowachagua. Je ugonjwa ukiendelea Kwa muda wa miaka miwili mbele ina maana bunge lisikae ndani ya hiyo miaka miwili? Bajeti za wizara zisifanyike? Madaktari na manesi nao wakifanya hivyo itakuwaje?
Kwa hiyo wao wanajiona ni bora zaidi kuliko watanzania milioni 60? Je madaktari na manesi wanaokutana na wagonjwa kila dakika mbona wao hawajaomba kupimwa kwanza? Je wao siyo muhimu kama hao wasaliti wa wananchi? Usitetee ujinga wa wabunge wa Chadema hawana nia nzuri kabisa na nchi hii. Pesa wanazopata zinatosha kabisa kujikinga na hivi virus wakiwa wanaendelea na bunge maana wanauwezo wa kununua PPE za bei yeyote bila shida.
Kwetu ni kwetu pub
Warudishe tu hiyo posho haina mjadala ni wizi huu [emoji23][emoji1787][emoji2960]
Tayari unaonesha uwezo wako wa kuhoji ni ndogo sana unamfananisha raisi na mbunge? Ni vitu viwili tofauti mbunge mfananishe na mbunge mwenzake sumbuse mbunge wa kwa raisi changanya wabunge wote wa chadema na DJ wao bado huwezi mfananisha na raisi hvi huko ufipa hamfundishwi tofauti au kwavile ufipa kila mtu kambare mtoto mama baba wote wana ndevu Basi na wewe ukaona raisi ni sawa na mbunge
sasa hivi hawana hofu na coronaNi upuuzi walioufanya na ni aibu kwa chadema ni kukimbia majukumu yao tu
Wasanii tusasa hivi hawana hofu na corona