Uamuzi wa wabunge wa CHADEMA kutohudhuria Bunge na kujiweka karantini ni sahihi kabisa

Uamuzi wa wabunge wa CHADEMA kutohudhuria Bunge na kujiweka karantini ni sahihi kabisa

Kukimbia vikao na kujiweka karantini ni usaliti uliopitiliza kwa wananchi waliowachagua. Je ugonjwa ukiendelea Kwa muda wa miaka miwili mbele ina maana bunge lisikae ndani ya hiyo miaka miwili? Bajeti za wizara zisifanyike? Madaktari na manesi nao wakifanya hivyo itakuwaje?
kwahiyo unataka wabunge wafe kisa kufuata posho bungeni sindio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo wao wanajiona ni bora zaidi kuliko watanzania milioni 60? Je madaktari na manesi wanaokutana na wagonjwa kila dakika mbona wao hawajaomba kupimwa kwanza? Je wao siyo muhimu kama hao wasaliti wa wananchi? Usitetee ujinga wa wabunge wa Chadema hawana nia nzuri kabisa na nchi hii. Pesa wanazopata zinatosha kabisa kujikinga na hivi virus wakiwa wanaendelea na bunge maana wanauwezo wa kununua PPE za bei yeyote bila shida.

Hao watanzania milioni 60 hawamuangalii chadema bali wanamuangalia kiongozi mkuu wa nchi, yeye yuko wapi? kuhusu madaktari huo ni wajibu wao na tunashukuru kwa kuwa wapo na tunawaombea wabakie salama waendelee kuwasaidia ndugu zetu (nimerudi kedit hapa nimekumbushwa chini hapo... wao ndo wataalamu wa afya na wana vifaa vya kujilinda pia "PPE"), hata vita ya silaha ikitokea wataenda wanajeshi siyo wewe na walimu, kampuni nyingi nchini zimefungwa siyo kwa kuwa wameambiwa na chadema bali wameangalia usalama wa afya na uhai wao kwanza. Kwenye hili wala siyo chadema tu, bali hata mbunge wa ccm akiacha kwenda bungeni kwa kuhofia usalama wake kamwe sitomuita msaliti wa wananchi kama ufanyavyo wewe na wenzio, bali nitamuona ni mwerevu na mwenye kuwajali wananchi kwani atabaki salama na ataendelea kuwatetea wananchi.
 
Kwa hiyo wao wanajiona ni bora zaidi kuliko watanzania milioni 60? Je madaktari na manesi wanaokutana na wagonjwa kila dakika mbona wao hawajaomba kupimwa kwanza? Je wao siyo muhimu kama hao wasaliti wa wananchi? Usitetee ujinga wa wabunge wa Chadema hawana nia nzuri kabisa na nchi hii. Pesa wanazopata zinatosha kabisa kujikinga na hivi virus wakiwa wanaendelea na bunge maana wanauwezo wa kununua PPE za bei yeyote bila shida.
umesema madaktari kwanini hawakimbii kuwatibu wagonjwa wenye corona sio sawa hao niwatu wenye taaruma ya afya kabla hajafanya kitu lazima wahakikishe usalama wao kwanza ndio maana wanamavazi maalumu yakujilinda kabla hawajamuudumia mgonjwa ndio maana wapinzani waliomba wabunge wote wapimwe ili kuhakikisha usalama wa wabunge lakini spika hakulipokea hilo nahuku kunavifo vya viongozi vimetoke tena wabunge kwahiyo ndugu yangu kabla yakujibu kitu jitahidi kutafakari usiwe unakurupuka sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kukimbia vikao na kujiweka karantini ni usaliti uliopitiliza kwa wananchi waliowachagua. Je ugonjwa ukiendelea Kwa muda wa miaka miwili mbele ina maana bunge lisikae ndani ya hiyo miaka miwili? Bajeti za wizara zisifanyike? Madaktari na manesi nao wakifanya hivyo itakuwaje?
Lakini pia kumbuka kuna mtu yupo chato

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliye kabidhiwa kuwaongoza hao watanzania milioni zaidi ya hamsini unafahamu yupo wapi?
Kwa hiyo wao wanajiona ni bora zaidi kuliko watanzania milioni 60? Je madaktari na manesi wanaokutana na wagonjwa kila dakika mbona wao hawajaomba kupimwa kwanza? Je wao siyo muhimu kama hao wasaliti wa wananchi? Usitetee ujinga wa wabunge wa Chadema hawana nia nzuri kabisa na nchi hii. Pesa wanazopata zinatosha kabisa kujikinga na hivi virus wakiwa wanaendelea na bunge maana wanauwezo wa kununua PPE za bei yeyote bila shida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule aliyeko chato kafanya vyema au?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tayari unaonesha uwezo wako wa kuhoji ni ndogo sana unamfananisha raisi na mbunge? Ni vitu viwili tofauti mbunge mfananishe na mbunge mwenzake sumbuse mbunge wa kwa raisi changanya wabunge wote wa chadema na DJ wao bado huwezi mfananisha na raisi hvi huko ufipa hamfundishwi tofauti au kwavile ufipa kila mtu kambare mtoto mama baba wote wana ndevu Basi na wewe ukaona raisi ni sawa na mbunge
 
Back
Top Bottom