Uamuzi wa Waziri Mkuu wa Kutogombea Ulitabiriwa Kikamilifu Mwezi April 2024

Kimalingano

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2023
Posts
1,366
Reaction score
1,770
Naanza kuwa na hofu na tabiri za Mchungaji au Nabii yule wa Arusha ambaye miezi michache iliyopita alitekwa na watu wasiojulikana kabla ya kukutwa porini akiwa ametendewa vibaya hadi makalio yalikuwa yanavuja damu.
Mchungaji huyo baada ya Waziri Mkuu kuahidi bungeni kuwa atagombea ubunge na baada ya siku chache akatangaza kutogombea,amekumbushia utabiri wake wa Mwezi April 2024.
Ikabidi nitafutie YouTube kwa channel inayoitwa Huduma ya Kristo huo utabiri wake.
Kwa kweli amepatia neno kwa neno juu ya Waziri Mkuu kutaka kugombea tena na baadaye kuacha.
Sitamchukulia poa tena huyo Mchungaji.
 
Attachments

  • Screenshot_20250707-041624.jpg
    Screenshot_20250707-041624.jpg
    218.8 KB · Views: 28
Binafsi nimeshindwa kuunganisha doti kwa sababu tunajua bosi wetu ameondokaje na havina uhusiani na mzimu wa rais aliyepita, PERIOD
 
Naanza kuwa na hofu na tabiri za Mchungaji au Nabii yule wa Arusha ambaye miezi michache iliyopita alitekwa na watu wasiojulikana kabla ya kukutwa porini akiwa ametendewa vibaya hadi makalio yalikuwa yanavuja damu.
Mchungaji huyo baada ya Waziri Mkuu kuahidi bungeni kuwa atagombea ubunge na baada ya siku chache akatangaza kutogombea,amekumbushia utabiri wake wa Mwezi April 2024.
Ikabidi nitafutie YouTube kwa channel inayoitwa Huduma ya Kristo huo utabiri wake.
Kwa kweli amepatia neno kwa neno juu ya Waziri Mkuu kutaka kugombea tena na baadaye kuacha.
Sitamchukulia poa tena huyo Mchungaji.
Huyu mtabiri hakujitabiria kuwa atakuja kutekwa na kubakwa?
 
Binafsi nimeshindwa kuunganisha doti kwa sababu tunajua bosi wetu ameondokaje na havina uhusiani na mzimu wa rais aliyepita, PERIOD
Nasikia aliwekewa mtutu kichwani akiwa chino ya ulinzi mkali akatae kugombea ubunge. Hata Mr. Mipango miji alikumbwa na hali hiyo akalazimishwa akatae kuendelea na umakamu wa ulaji
 
Kuna msemo :" The end justs the means".Maana njia iliyotumika katika mchakato wa jambo si mhimu.Mhimu ni matokeo yaliyokudidiwa
 
Nasikia aliwekewa mtutu kichwani akiwa chino ya ulinzi mkali akatae kugombea ubunge. Hata Mr. Mipango miji alikumbwa na hali hiyo akalazimishwa akatae kuendelea na umakamu wa ulaji
Haiwezi kuwa kweli.
 
Naanza kuwa na hofu na tabiri za Mchungaji au Nabii yule wa Arusha ambaye miezi michache iliyopita alitekwa na watu wasiojulikana kabla ya kukutwa porini akiwa ametendewa vibaya hadi makalio yalikuwa yanavuja damu.
Mchungaji huyo baada ya Waziri Mkuu kuahidi bungeni kuwa atagombea ubunge na baada ya siku chache akatangaza kutogombea,amekumbushia utabiri wake wa Mwezi April 2024.
Ikabidi nitafutie YouTube kwa channel inayoitwa Huduma ya Kristo huo utabiri wake.
Kwa kweli amepatia neno kwa neno juu ya Waziri Mkuu kutaka kugombea tena na baadaye kuacha.
Sitamchukulia poa tena huyo Mchungaji.
Mnaajiri wasodoma kushugulikia makalio ya wakosiaji badala ya kuajiri watalaam na watafiti kwa maendeleo , Hakika tunalilaani Taifa la Tanganyika kwa damu na kinyesi.
 
(2 Kings 6:1-23)

Kuwatukana watumishi wa Mungu unajitafutia kifo Cha kabla ya muda wako.

Tubu haraka na futa huo upumbavu ulioandika .
 
Hakuna utabiri wowote hapo ni kwamba Majaliwa hawezi kuwa waziri mkuu kwa vipindi 3 mfululizo ikiwa Samia atapita,na akiwa mbunge wa kawaida atapewa wadhifa upi?. Huoni atajidhalilisha?? Au kudhalilishwa?? Kihesabu hakuna tena cheo cha juu zaidi ya hapo ambacho Majaliwa anaweza kupata.Anaweza kupata teuzi zingine tu kama Ukuu wa chuo au sawa na hivyo.
 
Hakuna utabiri, ni fact, mimi Nandagala one nilileta Maandiko yasiyopungua matatu ya kumuomba na kumshauri PM asigombee tena baada ya kuisoma trend.
 
Back
Top Bottom