Kimalingano
JF-Expert Member
- Mar 27, 2023
- 1,366
- 1,770
Huyu mtabiri hakujitabiria kuwa atakuja kutekwa na kubakwa?Naanza kuwa na hofu na tabiri za Mchungaji au Nabii yule wa Arusha ambaye miezi michache iliyopita alitekwa na watu wasiojulikana kabla ya kukutwa porini akiwa ametendewa vibaya hadi makalio yalikuwa yanavuja damu.
Mchungaji huyo baada ya Waziri Mkuu kuahidi bungeni kuwa atagombea ubunge na baada ya siku chache akatangaza kutogombea,amekumbushia utabiri wake wa Mwezi April 2024.
Ikabidi nitafutie YouTube kwa channel inayoitwa Huduma ya Kristo huo utabiri wake.
Kwa kweli amepatia neno kwa neno juu ya Waziri Mkuu kutaka kugombea tena na baadaye kuacha.
Sitamchukulia poa tena huyo Mchungaji.
Kabisaaa nayy tapeli tu wa kiroho🚮Huyu mtabiri hakujitabiria kuwa atakuja kutekwa na kubakwa?
Ogopa sana Waafrika wafia dini za kuletewa.....ni mazwazwa kupindukia.Kabisaaa nayy tapeli tu wa kiroho🚮
Nasikia aliwekewa mtutu kichwani akiwa chino ya ulinzi mkali akatae kugombea ubunge. Hata Mr. Mipango miji alikumbwa na hali hiyo akalazimishwa akatae kuendelea na umakamu wa ulajiBinafsi nimeshindwa kuunganisha doti kwa sababu tunajua bosi wetu ameondokaje na havina uhusiani na mzimu wa rais aliyepita, PERIOD
Kuna msemo :" The end justs the means".Maana njia iliyotumika katika mchakato wa jambo si mhimu.Mhimu ni matokeo yaliyokudidiwaBinafsi nimeshindwa kuunganisha doti kwa sababu tunajua bosi wetu ameondokaje na havina uhusiani na mzimu wa rais aliyepita, PERIOD
Haiwezi kuwa kweli.Nasikia aliwekewa mtutu kichwani akiwa chino ya ulinzi mkali akatae kugombea ubunge. Hata Mr. Mipango miji alikumbwa na hali hiyo akalazimishwa akatae kuendelea na umakamu wa ulaji
Mnaajiri wasodoma kushugulikia makalio ya wakosiaji badala ya kuajiri watalaam na watafiti kwa maendeleo , Hakika tunalilaani Taifa la Tanganyika kwa damu na kinyesi.Naanza kuwa na hofu na tabiri za Mchungaji au Nabii yule wa Arusha ambaye miezi michache iliyopita alitekwa na watu wasiojulikana kabla ya kukutwa porini akiwa ametendewa vibaya hadi makalio yalikuwa yanavuja damu.
Mchungaji huyo baada ya Waziri Mkuu kuahidi bungeni kuwa atagombea ubunge na baada ya siku chache akatangaza kutogombea,amekumbushia utabiri wake wa Mwezi April 2024.
Ikabidi nitafutie YouTube kwa channel inayoitwa Huduma ya Kristo huo utabiri wake.
Kwa kweli amepatia neno kwa neno juu ya Waziri Mkuu kutaka kugombea tena na baadaye kuacha.
Sitamchukulia poa tena huyo Mchungaji.
Yaani ni mazwazwa kama mazombie kabisa!Ogopa sana Waafrika wafia dini za kuletewa.....ni mazwazwa kupindukia.
Wana dalili zote za kufananishwa na kondoo kwa ujinga wa kujitakia.Yaani ni mazwazwa kama mazombie kabisa!
Huyu mtabiri hakujitabiria kuwa atakuja kutekwa na kubakwa?