Uanaharakati usioheshimu imani hupoteza uhalali wa kimaadili

Tochuku

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
5,322
Reaction score
8,412
Uanaharakati usioheshimu imani hupoteza uhalali wa kimaadili. Kulenga Wakristo wakati wa Krismasi si mageuzi bali ni uchokozi. Watanzania wamesimama imara kulinda umoja, utu na kuishi pamoja kwa amani. #ChristmasWithoutViolence
Tuheshimu Imani Za Wengine

Christmas hii tamu, watu wako na hekaheka za sikukuu, wachaga wanaanza kurudi makwao, jamaa yangu ananiambia Kanda ya kaskazini imeanza kufurika, ndinga za maana, prado new model, ma g wagon ya kutosha, v8 ndio usiseme, mabenzi, muda wa kula bia, nyama choma mbuzi choma kuku choma.

SEHEMU za burudani ndio kabsiaaa...watu wanazungusha kama Hawana akili nzuri, ni kula na kunywa.
Krismasi hii kiboko
 
HUU MCHEZO WALIOFANYA KUELEKEA 29/10 VIJANA WAMESEMA HAPANA , WAMESEMA HAO WANAHOTUTAKA TUANDAMANE KWANINI WASIENDE WAO MBELE
 
Attachments

  • Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    368.7 KB · Views: 22
Yaliyotabiriwa yanatokea
Wacha yatokee kama ilivyokusudiwa
Hakuna wa kuzuia
All over the world
Muda umeisha
 
Uanaharakati usioheshimu imani hupoteza uhalali wa kimaadili. Kulenga Wakristo wakati wa Krismasi si mageuzi bali ni uchokozi. Watanzania wamesimama imara kulinda umoja, utu na kuishi pamoja kwa amani. #ChristmasWithoutViolence
Tuheshimu Imani Za Wengine

Christmas hii tamu, watu wako na hekaheka za sikukuu, wachaga wanaanza kurudi makwao, jamaa yangu ananiambia Kanda ya kaskazini imeanza kufurika, ndinga za maana, prado new model, ma g wagon ya kutosha, v8 ndio usiseme, mabenzi, muda wa kula bia, nyama choma mbuzi choma kuku choma.

SEHEMU za burudani ndio kabsiaaa...watu wanazungusha kama Hawana akili nzuri, ni kula na kunywa.
Krismasi hii kiboko
Wakristu kwetu haki ndio kila kitu. Xmas kitu gani boss?
 
Tuoneshe post yako moja tu ukikemea Utekaji, Mauaji na Wizi wa kura.

Moja tu.
 
Uanaharakati usioheshimu imani hupoteza uhalali wa kimaadili. Kulenga Wakristo wakati wa Krismasi si mageuzi bali ni uchokozi. Watanzania wamesimama imara kulinda umoja, utu na kuishi pamoja kwa amani. #ChristmasWithoutViolence
Tuheshimu Imani Za Wengine

Christmas hii tamu, watu wako na hekaheka za sikukuu, wachaga wanaanza kurudi makwao, jamaa yangu ananiambia Kanda ya kaskazini imeanza kufurika, ndinga za maana, prado new model, ma g wagon ya kutosha, v8 ndio usiseme, mabenzi, muda wa kula bia, nyama choma mbuzi choma kuku choma.

SEHEMU za burudani ndio kabsiaaa...watu wanazungusha kama Hawana akili nzuri, ni kula na kunywa.
Krismasi hii kiboko
Tarehe 25Dec siyo siku rasmi aliyozaliwa Yesu, siku hiyo ilikuwa ikiadhimishwa na wahalifu, baada ya wahalifu hao kuangishwa Kanisha likapanga siku hiyo iwe sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa Yesu ili kuizima kabisa kumbukumbu ya wahalifu hao.
Krismasi siyo kweli ipo kiimani. Ndiyo maana huoni makanisa yakilaani maandamano siku hiyo.
Ingekuwa Ijumaa kuu, hapo makanisa yasingekubali iwe siku ya maandamano.
 
Ni siku rasmi aliyozaliwa Bwana Wetu Yesu Kristu.
Wewe unaendamana ni mhuni na unapaswa kuchukuliwa hatua Kali za kisheria kwa uhaini.na kutaka kupindua serikali kupitia sikukuu za wakristu
 
Back
Top Bottom