Uanaharakati usioheshimu imani hupoteza uhalali wa kimaadili. Kulenga Wakristo wakati wa Krismasi si mageuzi bali ni uchokozi. Watanzania wamesimama imara kulinda umoja, utu na kuishi pamoja kwa amani. #ChristmasWithoutViolence
Tuheshimu Imani Za Wengine
Christmas hii tamu, watu wako na hekaheka za sikukuu, wachaga wanaanza kurudi makwao, jamaa yangu ananiambia Kanda ya kaskazini imeanza kufurika, ndinga za maana, prado new model, ma g wagon ya kutosha, v8 ndio usiseme, mabenzi, muda wa kula bia, nyama choma mbuzi choma kuku choma.
SEHEMU za burudani ndio kabsiaaa...watu wanazungusha kama Hawana akili nzuri, ni kula na kunywa.
Krismasi hii kiboko
Wakristu kwetu haki ndio kila kitu. Xmas kitu gani boss?Uanaharakati usioheshimu imani hupoteza uhalali wa kimaadili. Kulenga Wakristo wakati wa Krismasi si mageuzi bali ni uchokozi. Watanzania wamesimama imara kulinda umoja, utu na kuishi pamoja kwa amani. #ChristmasWithoutViolence
Tuheshimu Imani Za Wengine
Christmas hii tamu, watu wako na hekaheka za sikukuu, wachaga wanaanza kurudi makwao, jamaa yangu ananiambia Kanda ya kaskazini imeanza kufurika, ndinga za maana, prado new model, ma g wagon ya kutosha, v8 ndio usiseme, mabenzi, muda wa kula bia, nyama choma mbuzi choma kuku choma.
SEHEMU za burudani ndio kabsiaaa...watu wanazungusha kama Hawana akili nzuri, ni kula na kunywa.
Krismasi hii kiboko
Tarehe 25Dec siyo siku rasmi aliyozaliwa Yesu, siku hiyo ilikuwa ikiadhimishwa na wahalifu, baada ya wahalifu hao kuangishwa Kanisha likapanga siku hiyo iwe sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa Yesu ili kuizima kabisa kumbukumbu ya wahalifu hao.Uanaharakati usioheshimu imani hupoteza uhalali wa kimaadili. Kulenga Wakristo wakati wa Krismasi si mageuzi bali ni uchokozi. Watanzania wamesimama imara kulinda umoja, utu na kuishi pamoja kwa amani. #ChristmasWithoutViolence
Tuheshimu Imani Za Wengine
Christmas hii tamu, watu wako na hekaheka za sikukuu, wachaga wanaanza kurudi makwao, jamaa yangu ananiambia Kanda ya kaskazini imeanza kufurika, ndinga za maana, prado new model, ma g wagon ya kutosha, v8 ndio usiseme, mabenzi, muda wa kula bia, nyama choma mbuzi choma kuku choma.
SEHEMU za burudani ndio kabsiaaa...watu wanazungusha kama Hawana akili nzuri, ni kula na kunywa.
Krismasi hii kiboko
Ni siku rasmi aliyozaliwa Bwana Wetu Yesu Kristu.Tarehe 25Dec siyo siku rasmi aliyozaliwa Yesu, siku hiyo ilikuwa ikiadhimishwa na wahalifu, baada ya wahalifu hao kuangishwa Kanisha likapanga siku hiyo iwe sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa Yesu ili kuizima kabisa kumbukumbu ya wahalifu hao.
Krismasi siyo kweli ipo kiimani. Ndiyo maana huoni makanisa yakilaani maandamano siku hiyo.
Ingekuwa Ijumaa kuu, hapo makanisa yasingekubali iwe siku ya maandamano.
akikujibu huyu mbwa wa mbogamboga niTAGTuoneshe post yako moja tu ukikemea Utekaji, Mauaji na Wizi wa kura.
Moja tu.