corasco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 3,664
- 3,389
atakua kala kibuti huyuKwani umeombwa hela na Wakili Msomi?
Au ni wivu tu?
Kama unahisi lawyers wanaringa, na wewe waringie au achana nao. Kwani wamekiuka haki zako za msingi ? Au wakiringa wanakuwa wamevunja sheria?
Sent using Jamii Forums mobile app