Uanasheria; Taaluma inayoongoza kwa wasomi wanaoringa

Wacha waringe bana li taaluma lao lina mikiki mingi sana vyuoni, nakumbuka first year nilisoma business law (mzumbe ) yani presentation ya law lecturers wanakuja kama wanne unaitwa mmoja unawekwa kitako kama mwizi wanakuvuruga weee. Aisee wanasheria ringeni kabisa hasa wazumbe maana shughuli yenu sio mchezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazazi wengi hupenda kuona watoto wao wakisoma ;
1. Sayansi
2. Hesabu (Finances, Accounting, economics and the like)
Mtoto akishindwa hayo ndo mzazi anaona basi aende tu popote atakapoweza kwa kuwa Hana jinsi!

Kwa hiyo punguzeni mashauzi maana mazingira mlotoka tunayajua!

Combinations za arts ni za wale wasojiweza kwenye main subjects [emoji108][emoji108][emoji108]

Bora mnyamaze tupate kuwa sitiri!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu anaweza kusoma sheria hata Alosoma sayansi , Finance n.k

Lakini si kila alosoma combination za arts A’ level anaweza kusoma sayansi , Finance etc
Kwanza admission hupati , na hata ikitokea ukapata uta disco semester ya kwanza tu!






Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani a graduate Engineer , Accountant etc anaweza kuamua kusoma sheria na akamaliza kwa ufaulu mzuri tu,

Lakini a graduate Lawyer hawezi kwenda kusoma Engineering, Finance etc
Yani akienda kufanya hivyo ata disco kwenye mid recess semester!

Ngoja nifanye kuwastahi!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukiwa mjuaji sana unapoteza sifa ya kutaka kujua zaidi wajiona kila kitu wajua na utaitaji kujua zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app

Kujua zaidi nini wakati ninajua tayari?

By the way, hakuna mtu asiyejua kitu. Na kama unajua kitu ni lazima uwe na confidence. Mwanasheria ni mtu confident wakati wote. Sasa mtu akiwa confident kwa kuwa anajua ninyi inawauma.

Basi na ninyi someni sheria basi!
 


Nendeni mkasome, kwani mmezuiwa?

By the way, kama mnaona dili wanasheria kukiita wasomi, eti tunaringa basi na ninyi ringeni.

Kwani kutokuweza kusoma accounts ni issue?

Yaani nijionyeshe kwamba ni mwamba kusoma huku na Kule ili iweje?

Kila mtu anachagua anachoweza.

Mimi ni Mwanasheria Msomi.

Basi na wewe jiite accountant msomi
 
Wanasheria ni kupe! Kesi ya kusolve kwa wiki moja, wao wataiendesha kwa miaka miwili lengo lao wakuchumeee vya kutosha!
Hapo wanakufariji, usihofu, tutashinda hii kesi na mdaiwa wako atalipa gharama za hii kesi. Kuja kutahamaki, wewe ndio unashindwa, unaangukia pua.
 

Teh teh teh [emoji3][emoji3][emoji3]

Sasa mtu hadi anakuwa mwanasheria ni kwamba ameshapitia mchakato wa kuwa msomi,

Inatosha tu mtu kuwa mwanasheria impliedly anakuwa ni msomi,

Sasa kwanini tena aitwe mwanasheria msomi?

Mimi nilizani illiterates ndo wanaita hivyo kimakosa kumbe hata nyie wenyewe mnafurahia [emoji38][emoji38][emoji38]

Intellectual hawezi furahia kitu kama hicho labda kama Shule yake ameungaunga tu!
Na ndo maana Prof Ndalichako anataka kuondoa hayo mambo ya kuungaunga vyeti!


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mwerevu hawezi jiita Mhasibu msomi !

Kule kuwa mhasibu tu kunatosha kujulikana kuwa msomi!

Sijui zana ya kujiona bora zaidi kuliko wengine mmeitoa wapi wakati sote tunategemeana!




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mziki wa school of law unauzidi mziki wa
Vetenary medicine pale SUA
Unazidi mziki wa Coet pale UD
Unazidi mziki wa Medicine pale MUHAS

Acha kujipa sifa zisizo na kichwa wala miguu
Na weye ringia hayo uliyoyaorodhesha.Usiteseke maalim!
 
Coins mara nyingi huwa na kelele kuliko notes !
Taaluma ambayo husomwa na wale wasojiweza kwenye sayansi wala hesabu!


Sent using Jamii Forums mobile app
Ni bora ya hao.Tena wanaitwa mawakili au wana sheria.Sasa ninyi mliokariri kemistri,baiolojia na hesabu kwa hapa Tanzania mnaishia tu kuitwa "mliosoma sayansi-kimu"!Wanasheria wanatatua mashauri mbalimbali wakati waliosoma sayansi-kimu hamvumbui hata aina mpya ya ushuzi tu.
 

Sasa nyie mmefanya mambo gani ambayo ni extra ordinary nchini?

Kama ni mapungufu ya sheria yapo chungu nzima [emoji108][emoji108][emoji108] na nyie mpo!


Swala la uvumbuzi/ ugunduzi ni swala mtambuka!






Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole Sana kwa yalitokutokea. I can feel your pain bro
 
Sasa nyie mmefanya mambo gani ambayo ni extra ordinary nchini?

Kama ni mapungufu ya sheria yapo chungu nzima [emoji108][emoji108][emoji108] na nyie mpo!


Swala la uvumbuzi/ ugunduzi ni swala mtambuka!






Sent using Jamii Forums mobile app
Mashauri mbalimbali kwenye nyanja zinazohusika hutatuliwa pasina shaka.Eti..."masuala mtambuka"!Ndiyo myatambuke sasa.Kuna uzi humu unawahusu "mliokariri" sayansi-kimu.Tulijitahidi kuwatetea ila ndiyo hivyo.Hamna faida nchini zaidi ya kuvaa miwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…