Uanasheria; Taaluma inayoongoza kwa wasomi wanaoringa


Tatizo hawajiamini. Kuna mdau wangu mmoja huwa anajifaragua kinoma noma. Tena amejiandika "Wakili msomi"

Kujiona unajua ni alama ya kuwa mjinga.
 
Lazima ujue kutafautisha kati ya kuringa na kujiamini wanasheria wanajiaminj na wanapenda kujiweka smart.Mi nawakubali sana, kwanza wanajua haki zao na jinsi yakucheza na sheria,alafu asilimia kubwa wanakula ganja,wapi advocate Tino,heshima kwako kokote uliko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashauri mbalimbali kwenye nyanja zinazohusika hutatuliwa pasina shaka.Eti..."masuala mtambuka"!Ndiyo myatambuke sasa.Kuna uzi humu unawahusu "mliokariri" sayansi-kimu.Tulijitahidi kuwatetea ila ndiyo hivyo.Hamna faida nchini zaidi ya kuvaa miwani.

[emoji14][emoji14][emoji14]

Kuvaa miwani?!

Tasnia ya sheria nchini iko na changamoto nyingi sana!

Nimeuliza ni ja (ma)mbo gani extra ordinary ambayo yamefanywa na wanasheria nchini tangu Uhuru wa Tanganyika?

Chamaana kuwa mfaacho mtu chake na tunategeana,

Kwa hiyo tuache mashauzi na kujiona bora kuliko mwengine!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...hakuna mwanasheria hata mmoja atakaenda mbinguni?!.
nimeua kabisa ila kesi nashinda
nimebaka ila kesi nashinda.
nimeiba ila kesi nashinda.

kumbavuuu..
Kwa maana hiyo hawa ni watengeneza chuki,uhasama na visasi katika jamii, haiwezekani ufanye haya yote lakini kesi ushinde.
Lazima ndugu na jamaa wa uliyemshinda watatafuta njia mbadala ya kupata haki yao ama kwa kulipiza kisasi au vyovyote vile.
 
Dhana ya kufikiri yule anaringa mnaijenga ninyi watesekaji.Uliwahi kujiuliza nini chanzo cha mawakili kujiita wasomi?Fuatilia chanzo.
 
Nadhani sheria na habari ndizo taaluma zinazotakiwa kuwa mstari wa mbele kuwatetea watu na taaluma zingine zinazoonewa kisheria na zinazokandamizwa ili zisionekane zinaponyanyaswa.

NB nahisi hiki ndicho kipindi chenye mahitaji makubwa mno wa msaada wa kisheri na habari kutokana na aina ya utawala ulivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kihakimu kimoja kishenz sana , mahakama ya mwanzo masebe huko tukuyu.
Uwezo ziro kabsa .mtu anatoa hukumu anatetemeka.
Ila mashauz kibao.kama nn
.nimetokea kuwachukia hawa watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao walioshindwa kuitumia four-figure labda wanatoka kijijini kwenu.Nina mifano ya watu waliokuwa very bright shuleni na kufaulu vizuri masomo yote lakini waliamua kusoma sheria.
Haina haja ya kubishana hapa, hao hkl wengi wao walikuwa na uwezo mdogo sana!
...wachache sana ndio waliokuwa wanajiweza!
Sasa mtu kama kabiudi huyo kweli utaniambia alikuwa anajua kutafuta square root ya namba kwa kutumia four figure?!!
Povuka tena, ni ruksa....!


Sent using Vertu Signature Cobra
 
Wenzako wanaringa kwa sababu wana solve "conflicts" wakati wewe una solve "comflicts" sawa?

Basi wangetamba zaidi madaktari maana wao wanatibu na kuokoa maisha ya watu kitu ambacho ni nyeti sana,

Conflicts ipo in various forms,
Mfano mhandisi anaejenga daraja na wawezesha watu kuendelea na shughuli zao na wagonjwa kuwahi kwenye vituo vya afya pia ame solve conflicts [emoji108]

Mhasibu anaetoa taarifa ya kuwa fedha za wadau zimetumika kwa mujibu wa kanuni , au vinginevyo nae amesolve conflicts vile vile,

N.k






Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu sema hapa sasa kwanini mawakili wanajiita mawakili wasomi?


Sent using Jamii Forums mobile app
Kila kitengo/fani ina misemo au terminologies zake.
The learned advocate/lawyer-si kingine bali humaanisha kupeana heshima kwa makomredi wenye taaluma ya sheria.Katika vyombo vya sheria heshima hutangulizwa.Lugha ya staha.Ndiyo maana neno "muheshimiwa" limetawala kule.Ni fani inayohitaji uelewa,wepesi katika ujenzi wa hoja na udadisi wa uchokonozi.Ni kama vile mtu mwenye utaalamu na baiolojia akitamka neno "socket" humaanisha tundu lipatikanalo kwenye fuvu la binadamu libebalo jicho.
Hiyo hiyo socket ikitamkwa na mtaalamu wa umeme humaanisha kifaa cha umeme ambapo nyaya za kupitisha umeme huchomekwa kwa matumizi mbali mbali.Sasa basi,wanasheria wanavyojiweka kwako unaona kama wanaringa.Ambayo ni dalili mbaya ya wivu mzizi wa dhambi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna watu mnajua kujenga hoja

Sent using Jamii Forums mobile app

Acheni kujidanganya!

Ku solve conflicts kuna kwa aina tofauti tofauti,
Mfano Daktari anapomtibu mgonjwa , mhandisi anapojenga daraja ili waweze kufika kwenye huduma muhimu kama vile hospitali kwa wakati nae ame solve conflicts,

Mchumi anapo allocate resources efficiently ktk ku attain desired outputs nae ame solve conflicts vile vile [emoji108][emoji108][emoji108]

N.k


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabudi nakuachieni ninyi mshughulike naye.Kama kusoma/kupata weledi wa sheria ni rahisi hivyo ni vema uende ukasome maalim tukuone unavyowayawaya bin kugudilagudila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…