puker
JF-Expert Member
- Nov 22, 2018
- 1,001
- 2,010
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna watu mnajua kujenga hojaWenzako wanaringa kwa sababu wana solve "conflicts" wakati wewe una solve "comflicts" sawa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna watu mnajua kujenga hojaWenzako wanaringa kwa sababu wana solve "conflicts" wakati wewe una solve "comflicts" sawa?
Tza kumekuwa na katabia kaajabu sana taaluma zipo nyingi sana tena muhimu zaidi ya sheria but hii taaluma wanajisikia sana !
Wanajisikia kuanzia
wanavyovaa,
wanavyoongea
Wanavyotembea na mbaya zaidi
Wanavyojichukulia
Alafu wanajiita "wanasheria wasomi" [emoji2]
Hivi hizi taaluma nyingine kama;
Udaktari
Unesi
Ualimu
Uhasibu
Uinjinia
Mbona hawana makuu nyie maHKL ndio mnavimbaa na kujifanya wanajua kila kitu japo wengi wao tumewaburuza sana class huko O level leo wanajifanya wanajua kila kitu alafu salary scale ndio hizohizo but mnavimba na viIST vyenu vya mikopo
Mbona taaluma nyingine tunaishi tu simple tu, tunaheshimu kila mtu, tunaishi kila sehemu na kila mtu na kikubwa zaidi tu TUNASOLVE CONFLICTS kwa busara na kupuuza but mwanasheria kila kitu anataka mpelekane mahakamani hapa nakumbuka
"Mjinga ukimpa nyundo kila tatizo anataka alitatue/alimalize kwa kutumia nyundo.
Wanasheria acheni makuu mnaboa kinoma mjue.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashauri mbalimbali kwenye nyanja zinazohusika hutatuliwa pasina shaka.Eti..."masuala mtambuka"!Ndiyo myatambuke sasa.Kuna uzi humu unawahusu "mliokariri" sayansi-kimu.Tulijitahidi kuwatetea ila ndiyo hivyo.Hamna faida nchini zaidi ya kuvaa miwani.
Kwa maana hiyo hawa ni watengeneza chuki,uhasama na visasi katika jamii, haiwezekani ufanye haya yote lakini kesi ushinde.Write your reply...hakuna mwanasheria hata mmoja atakaenda mbinguni?!.
nimeua kabisa ila kesi nashinda
nimebaka ila kesi nashinda.
nimeiba ila kesi nashinda.
kumbavuuu..
Hapo law school pana mziki gani?mtoa mada unauelewa mziki wa law school kweli?? pambana na hali yako tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Dhana ya kufikiri yule anaringa mnaijenga ninyi watesekaji.Uliwahi kujiuliza nini chanzo cha mawakili kujiita wasomi?Fuatilia chanzo.[emoji14][emoji14][emoji14]
Kuvaa miwani?!
Tasnia ya sheria nchini iko na changamoto nyingi sana!
Nimeuliza ni ja (ma)mbo gani extra ordinary ambayo yamefanywa na wanasheria nchini tangu Uhuru wa Tanganyika?
Chamaana kuwa mfaacho mtu chake na tunategeana,
Kwa hiyo tuache mashauzi na kujiona bora kuliko mwengine!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao walioshindwa kuitumia four-figure labda wanatoka kijijini kwenu.Nina mifano ya watu waliokuwa very bright shuleni na kufaulu vizuri masomo yote lakini waliamua kusoma sheria.Hapo law school pana mziki gani?
...sehemu wanaenda walioshindwa kusoma four figure?!!
Sent using Vertu Signature Cobra
Dhana ya kufikiri yule anaringa mnaijenga ninyi watesekaji.Uliwahi kujiuliza nini chanzo cha mawakili kujiita wasomi?Fuatilia chanzo.
Nadhani sheria na habari ndizo taaluma zinazotakiwa kuwa mstari wa mbele kuwatetea watu na taaluma zingine zinazoonewa kisheria na zinazokandamizwa ili zisionekane zinaponyanyaswa.Tza kumekuwa na katabia kaajabu sana taaluma zipo nyingi sana tena muhimu zaidi ya sheria but hii taaluma wanajisikia sana !
Wanajisikia kuanzia
wanavyovaa,
wanavyoongea
Wanavyotembea na mbaya zaidi
Wanavyojichukulia
Alafu wanajiita "wanasheria wasomi" [emoji2]
Hivi hizi taaluma nyingine kama;
Udaktari
Unesi
Ualimu
Uhasibu
Uinjinia
Mbona hawana makuu nyie maHKL ndio mnavimbaa na kujifanya wanajua kila kitu japo wengi wao tumewaburuza sana class huko O level leo wanajifanya wanajua kila kitu alafu salary scale ndio hizohizo but mnavimba na viIST vyenu vya mikopo
Mbona taaluma nyingine tunaishi tu simple tu, tunaheshimu kila mtu, tunaishi kila sehemu na kila mtu na kikubwa zaidi tu TUNASOLVE CONFLICTS kwa busara na kupuuza but mwanasheria kila kitu anataka mpelekane mahakamani hapa nakumbuka
"Mjinga ukimpa nyundo kila tatizo anataka alitatue/alimalize kwa kutumia nyundo.
Wanasheria acheni makuu mnaboa kinoma mjue.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haina haja ya kubishana hapa, hao hkl wengi wao walikuwa na uwezo mdogo sana!Hao walioshindwa kuitumia four-figure labda wanatoka kijijini kwenu.Nina mifano ya watu waliokuwa very bright shuleni na kufaulu vizuri masomo yote lakini waliamua kusoma sheria.
Wenzako wanaringa kwa sababu wana solve "conflicts" wakati wewe una solve "comflicts" sawa?
Kila kitengo/fani ina misemo au terminologies zake.
Kabudi nakuachieni ninyi mshughulike naye.Kama kusoma/kupata weledi wa sheria ni rahisi hivyo ni vema uende ukasome maalim tukuone unavyowayawaya bin kugudilagudila.Haina haja ya kubishana hapa, hao hkl wengi wao walikuwa na uwezo mdogo sana!
...wachache sana ndio waliokuwa wanajiweza!
Sasa mtu kama kabiudi huyo kweli utaniambia alikuwa anajua kutafuta square root ya namba kwa kutumia four figure?!!
Povuka tena, ni ruksa....!
Sent using Vertu Signature Cobra
Jasho kwa kiumbe hai tena binadamu ni lazima litoke tena kwa harufu mbalimbali kutegemea na mtu.Sasa uchaguzi ni wako.Kuvaa suti nyeusi na kushika peni au kulala uvunguni mwa malori na kuchafuka "magrisi" huku umebeba nyundo kama unaenda kuvunja "ndoa"!