Uanasheria; Taaluma inayoongoza kwa wasomi wanaoringa

Mbali na hayo mnayoyasema.
Wanataaluma hawa wanapozidi kujaa mtaani ndiyo chachu ya maendeleo makubwa ya kudai haki na sheria zisizofaa kuwa nullified.

Binafsi natambua sana mchango wao ni hasara kuwa na wanataaluma mizigo ambao taaluma zao hazionekani kuwa na umuhimu.
Hongereni sana wanahabari na wana sheria.
Wanasiasa na wapagazi wao ndio wanao wabeza lakini dont get dissapointed just keep it up and move forward.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaaa! Madaktari hawahawa wa Kitanzania ambao hupasua kichwa badala ya mguu?Boss,gimme a break!
 

Pointless


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaaa! Kwa sababu nimekwama kuandika ukipendacho?Sasa kama mtu anajiita "msomi" kuna nongwa gani sheikh!?

Kujiita “ Wakili Msomi” hilo neno msomi linasimama kama kielezi cha sifa!

Sasa nikuulize kuna wakili asiye msomi ?

Kiukweli mimi nilizani ni watu tu ambao ni illiterates walioamua kuwaita hivyo kimakosa,

Kumbe ni ninyi wenyewe kwa makusudi mazima kabisa [emoji3][emoji3][emoji3]

Basi hiyo inaonesha jinsi kiwango chenu cha ufahamu kuwa kilivyo!

Ni mfano Rais wa nchi flani awe anwpojitambulisha kuwa rais halafu amalizie kwa kusema “top leader”
Hayo yatakuwa mashauzi!

Wakati kwa kule kusema rais tu wa nchi flani tayari inaeleweka miongoni mwa watu kuwa ni kiongozi mkuu wa nchi!

Yani mmenishangaza kweli!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Easy,easy big boy!Usitaharuki!Nikiandika ambacho hakikufurahishi ndiyo "matakataka"? Twende mdogomdogo sheikh!
...sasa kama mimi naona ni takataka nisiseme? Hahaa...
Na pia kama umeona kuwa umeandika kitu ambacho hakinifurahishi kwa kutumia uhuru wako basi, na mimi pia nina uhuru wangu wa kuandika nionacho kinafaa kukujibu!
...unaandika matakataka bwana mdogo!

Sent using Vertu Signature Cobra
 
Mkuu weye haujashangazwa.Unaumwa ugonjwa unaitwa "wivu"! Hivi unateseka nini mtu kwa hiyari yake mwenyewe bila kumsimanga wala kumbughudhi mtu kujiita " msomi"/the learned brother?
 
Hahahahaaa! Aisee,the last time I checked, id fake ndiyo imekupa hiyari ya kuniita "bwana mdogo"! Kijijini kwetu ukimuita mtu bwana mdogo atakuambia mbona yeye haishi kwenye kaptula katikati ya mapaja?Anyway, siyo shida.Tujage lolo!
 
Mkuu weye haujashangazwa.Unaumwa uginjwa unaitwa "wivu"! Hivi unateseka nini mtu kwa hiyari yake mwenyewe bila kumsimanga wala kumbughudhi mtu kujiita " msomi"/the learned brother?

Hapana siyo wivu!

Jibu kwa hoja!

Usikumbie kutaka kujificha kwa kigezo cha wivu [emoji3][emoji3]!

Wewe kubali kuwa kuwa hapo mlikengeuka na kwamba mtapafanyia kazi ili kuondokana na hilo neno!

Kwa mwerevu angesemani tumesikia Mawazo yetu tutayapeleka sehemu stahiki kwa majadiliano zaidi ili kuondokana na hiyo kadhia!

Badala uko tu una jichoresha kwa defend nothing!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaaa! Aisee,the last time I checked, id fake ndiyo imekupa hiyari ya kuniita "bwana mdogo"! Kijijini kwetu ukimuita mtu bwana mdogo atakuambia mbona yeye haishi kwenye kaptula katikati ya mapaja?Anyway, siyo shida.Tujage lolo!
Sidhani kama unaelewa maana ya fake id...!
...naona tu hamna cha maana unachoandika zaidi ya kuleta matakataka zaidi, mara sijui kijijini kwenu!
Btw, andika point za maana tuone una hoja gani...

Sent using Vertu Signature Cobra
 
Nilishakueleza awali.The learned brother au wakili msomi kama ilivyotafsiriwa kwa kiswahili maana yake halisi katika matumizi ni;
-Kutambuana watu wenye weledi wa sheria
-Ni neno la kuonesha kuheshimiana miongoni mwao
-Ni namna ya kutambua michango ya kisheria katika masuala ya kisheria
-Kutaka kujitofautisha na watu wa fani nyingine
Hayo yote ukiyaweka kimtazamo hayana nia mbaya zaidi ya kujitambua.Hata ninyi mliosoma CBG (kabeji)baada ya kuhitimu fani yenu ya upishi mnaweza kutunga jina/neno litakalokutambulisheni uhodari wenu wa kukatakata nyanya na kukuna nazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…