Kujiita “ Wakili Msomi” hilo neno msomi linasimama kama kielezi cha sifa!
Sasa nikuulize kuna wakili asiye msomi ?
Kiukweli mimi nilizani ni watu tu ambao ni illiterates walioamua kuwaita hivyo kimakosa,
Kumbe ni ninyi wenyewe kwa makusudi mazima kabisa [emoji3][emoji3][emoji3]
Basi hiyo inaonesha jinsi kiwango chenu cha ufahamu kuwa kilivyo!
Ni mfano Rais wa nchi flani awe anwpojitambulisha kuwa rais halafu amalizie kwa kusema “top leader”
Hayo yatakuwa mashauzi!
Wakati kwa kule kusema rais tu wa nchi flani tayari inaeleweka miongoni mwa watu kuwa ni kiongozi mkuu wa nchi!
Yani mmenishangaza kweli!
Sent using
Jamii Forums mobile app