Uandaaji wa Ramani za Nyumba bado umekua ni shida kwa baadhi ya wataalamu wetu.

Uandaaji wa Ramani za Nyumba bado umekua ni shida kwa baadhi ya wataalamu wetu.

Qs Cathbert

Member
Joined
Mar 20, 2023
Posts
57
Reaction score
100
Nimekua nikiangalia ramani nyingi sana za nyumba zinazoandaliwa na professionals wetu wengi kwa industry lakini bado nagundua kuna shida,,

1. Ramani zinaandaliwa pasipo kuzingatia proper coordination of Rooms.
Mfano:
Kuna ramani nmekutana nayo,,Public toilet iko katikati ya Kitchen na Dining🤣🚮

2. Ramani zinaandaliwa In a very compicated manners, Kiasi kwamba zitakuja kumuumiza Client kiuchumi kipindi cha ujenzi

3. Ramani zinaandaliwa bila kuzingatia uokoaji wa gharama kwa kupunguza vitu visivyo vya msingi bila kuharibu mwonekano na ubora wa jengo.
Mfano : Kuna ramani nimeletewa roof yake imekuwa designed kwa 60° degrees na wala hata haina Span kubwa ,, Wanasahau kua as- angle inavyoongezeka ndivyo cost implication inakua juu zaidi.

4. Kuna wengine wanatoa Ramani Google,, 100% ya ramani za Pinterest (google) zinakuwa zina functional requirements za kizungu, Yaani tofauti kabisa na namna wabongo tunapenda nyumba zetu ziwe.

Ipo hivi, Nimeletewa ramani nyingi sana mtu anataka nimfanyie makadirio, Lakini nikiiangalia ramani yenyewe nagundua haijanyooka (yaani ni shida🄓)

Kwa waandaaji wa ramani, Nadhani tunahitaji kuandaa ramani zinazo kuwa znazngatia Usasa hasa katika coordination ya vyumba, Zoning na Cost effectiveness designs. (Mkihitaji nielezee hizo pia nitaeleza ,In-details)

Qs. Swai
Mob: 0625272770
 
Sema choo kuwa mahali popote sio shida ikiwa usafi utazingatiwa kwa 100%. Ila kibongobongo usafi wa chooni ni wa tia maji tia maji sana
 
Back
Top Bottom