johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Rubbish and you know it is rubbish.Napendekeza uwepo mdahalo wa wagombea urais wa vyama vya upinzani wanaompa changamoto ( challenge) mgombea wa chama tawala Dkt. Magufuli.
Wagombea wa upinzani watueleze cha zaidi watakachokifanya kushinda yale yaliyokwishafanywa na Rais Magufuli na yale atakayofanya kupitia ilani ya CCM ya 2020.
Rais Magufuli anatetea kiti chake na watanzania tumeshuhudia utendaji wake uliotukuka hivyo hakuna sababu ya yeye kushiriki mdahalo huo moja kwa moja.
Nawasilisha.
Maendeleo hayana vyama!
Ahsante kwa kuja bwashee!Rubbish and you know it is rubbish.
Ha ha haa. CCM mmechanganyikiwa mazima. Hivi kwanini mnaogopa sana kumwambia ukweli huyo jamaa yenu? Maana kuna kitu mnatamani kusema lakini mnuogopa sanaNapendekeza uwepo mdahalo wa wagombea urais wa vyama vya upinzani wanaompa changamoto ( challenge) mgombea wa chama tawala Dkt. Magufuli.
Wagombea wa upinzani watueleze cha zaidi watakachokifanya kushinda yale yaliyokwishafanywa na Rais Magufuli na yale atakayofanya kupitia ilani ya CCM ya 2020.
Rais Magufuli anatetea kiti chake na watanzania tumeshuhudia utendaji wake uliotukuka hivyo hakuna sababu ya yeye kushiriki mdahalo huo moja kwa moja.
Nawasilisha.
Maendeleo hayana vyama!
Wanamjua Kiswahili hajui kiingereza ndo kabisaa halafu kama wajuavyo Lissu anaweza kumfokea mzee akapandisha Mori akajikuta anagonga Kirundi cha asiliHa ha haa. CCM mmechanganyikiwa mazima. Hivi kwanini mnaogopa sana kumwambia ukweli huyo jamaa yenu? Maana kuna kitu mnatamani kusema lakini mnuogopa sana
Yule bwana hawezi kuongeaNapendekeza uwepo mdahalo wa wagombea urais wa vyama vya upinzani wanaompa changamoto ( challenge) mgombea wa chama tawala Dkt. Magufuli.
Wagombea wa upinzani watueleze cha zaidi watakachokifanya kushinda yale yaliyokwishafanywa na Rais Magufuli na yale atakayofanya kupitia ilani ya CCM ya 2020.
Rais Magufuli anatetea kiti chake na watanzania tumeshuhudia utendaji wake uliotukuka hivyo hakuna sababu ya yeye kushiriki mdahalo huo moja kwa moja.
Nawasilisha.
Maendeleo hayana vyama!
Napendekeza uwepo mdahalo wa wagombea urais wa vyama vya upinzani wanaompa changamoto ( challenge) mgombea wa chama tawala Dkt. Magufuli.