Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Imetokea Mara huko ..Baada ya Mume kuona jina la Mke wake katika orodha ya wapiga kura ingali kuwa Mkewe amepotea kijijini hapo zaidi ya miaka mitatu na alitoa taarifa Kwa Serikali ya Kijiji na Mtendaji.
Sema kimeumanaaaa. . Pameshaanza kuchangamka mapema hivi ... Asee CCM Sasa wanaiba mpaka kupitiliza wenyewe Kwa wenyewe wanaibiasna mpaka wanapigana ..Sasa wakiungana kutuibia wanachi si ndio balaa yaani.... Video imeambatanishwa