INEC | Mhe. Jaji Rufaa Jacobs Mwambegele
Mhe. Jaji Rufaa Jacobs Mwambegele
Mwenyekiti na Mjumbe wa Tume
Mhe. Jaji Rufaa Mst. Mbarouk Salim Mbarouk
Makamu Mwenyekiti na Mjumbe wa Tume
Mhe. Jaji wa Mahakama Kuu Asina A. Omari
Mjumbe wa Tume
Mhe. Balozi Omar Ramadhani Mapuri
Mjumbe wa Tume
Mhe. Magdalena Kamugisha Rwebangira
Mjumbe wa Tume
Mhe. Dkt. Zakia Mohamed Abubakar
Mjumbe wa Tume
Unawaona wajumbe hao wote sita wa Tume Huru ya Uchaguzi? Mgawanyo wao uko hivi. Wajumbe wanne kati yao ni Wazanzibari kama aliyewateua ambaye ni Rais Samia Suluhu Hassan na wawili tu yaani Mwenyekiti Jaji Jacobs Mwambegele na Magdalena Kamugisha Rwebangira ndio wanaotoka Tanzania Bara.
Aidha, kwa upande wa dini, wajumbe hao wanne kutoka Zanzibar pamoja na Mkurugenzi wa Uchaguzi Ramadhani Kailima (ambaye ni Katibu wa Tume) ni Waislamu kama alivyo aliyewateua, huku wawili tu niliowataja hapo juu ndio Wakristo.
Tusimlaumu Rais Samia kwa kuwateua hivyo kwa vile amefuata sheria zote.
Tume inaundwa na Wajumbe saba (7), miongoni mwao wakiwemo Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti ambao wanapaswa kuwa na sifa ya Jaji wa Mahakama Kuu au Mahakama ya Rufani. Katika Uteuzi, Rais anazingatia kuwa endapo Mwenyekiti ni mtu anayetoka sehemu moja ya Muungano, Makamu wake atakuwa ni mtu anayetoka sehemu ya pili ya Muungano. Hii, ni kwa mujibu wa Ibara ya 74(1) na (2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 na Kifungu cha 5 cha Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Na. 2 ya Mwaka 2024..
Aidha, Mjumbe mmoja anateuliwa kutoka miongoni mwa Wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society - TLS) na Wajumbe wengine wanne (4) wanatakiwa wawe na uelewa wa kutosha kuhusiana na kusimamia nakuendesha Uchaguzi wa Wabunge au sifa nyingine kama ambavyo Rais wa Jamhuri ya Muungano atakavyoona inafaa kwa ajili ya kuendesha shughuli za Tume.
Posti makini kabisa
Halafu kuna wahuni wanasema Chqdemq wanataka kuvuruga amani
Kwenda kwenye Uchqguzi kwa hali hii ni Upumbavu wa hali ya juu. Haipo sawa
Samia ni Kochq, Refa na Mchezaji , wagombea wengine ni wachezaji tu
Sioni maana ya Uchqguzi….
Nashangaa kina lipumba na Zito Mrema walikuwa wanakomqq na CCM na kampeni hqlqfu wanajiuliza kwanini wanashindwa.
Lisu amekaa akaskoti akaonq mmhh Michawi sio CCM … Mchawi ni ile tume ya CCM . Ukileta usawa kwenye ile tume automatically utaleta usawa kwenye uchaguzi
Why mwenyekiti wa CCM na Mgombeq wa CCM ndio mpanga tume nq safi yote huku wagombea wenzie hawashiriki kwa namna yoyote kwenye mchakato wa kupanga tume, na safu yake why ?
Tume ilipaswa kuhusisha independent people kama ilivyo kenya ikibidi kila chama cha upinzani kiwe na mjumbe, faith based entities ziwe na wajumbe na Rais asiwe nq connection na tume huru… awe kama wagombea wenzie
Mchakato wa kupatq wasimqmizi wa Uchqguzi uwe ni independent process … sio hii process ya Sqmiq na CCM
Why iwe ni mgombea 1 ndio anafanya huo mchakato? WENGINE VIPI?
There we need amendment ili tuwe na uponzan wa kweli
Mkuu unaweza kuweka composition na selection ya Tume Huru ya Kenya ! ?