Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 4,878
- 8,063
Vyote kwa pamoja.aibu
tatizo ni sheria zinazounda hiyo tume
au
tatizo ni aliyewateua?
au
tatizo ni hao wajumbe wa tume?
Vyote kwa pamoja.aibu
tatizo ni sheria zinazounda hiyo tume
au
tatizo ni aliyewateua?
au
tatizo ni hao wajumbe wa tume?
Msiba Mkubwa kama Taifa.Hiyo ni tume ya uchaguzi ya Zanzibar au Tanzania?
Kama ni ya Tanzania basi Kuna tatizo la ubaguzi wa waziwazi Kwa mteuzi
Tume ya MchongoINEC | Mhe. Jaji Rufaa Jacobs Mwambegele
Mhe. Jaji Rufaa Jacobs Mwambegele
Mwenyekiti na Mjumbe wa Tume
Mhe. Jaji Rufaa Mst. Mbarouk Salim Mbarouk
Makamu Mwenyekiti na Mjumbe wa Tume
Mhe. Jaji wa Mahakama Kuu Asina A. Omari
Mjumbe wa Tume
Mhe. Balozi Omar Ramadhani Mapuri
Mjumbe wa Tume
Mhe. Magdalena Kamugisha Rwebangira
Mjumbe wa Tume
Mhe. Dkt. Zakia Mohamed Abubakar
Mjumbe wa Tume
Unawaona wajumbe hao wote sita wa Tume Huru ya Uchaguzi? Mgawanyo wao uko hivi. Wajumbe wanne kati yao ni Wazanzibari kama aliyewateua ambaye ni Rais Samia Suluhu Hassan na wawili tu yaani Mwenyekiti Jaji Jacobs Mwambegele na Magdalena Kamugisha Rwebangira ndio wanaotoka Tanzania Bara.
Aidha, kwa upande wa dini, wajumbe hao wanne kutoka Zanzibar pamoja na Mkurugenzi wa Uchaguzi Ramadhani Kailima (ambaye ni Katibu wa Tume) ni Waislamu kama alivyo aliyewateua, huku wawili tu niliowataja hapo juu ndio Wakristo.
Tusimlaumu Rais Samia kwa kuwateua hivyo kwa vile amefuata sheria zote.
Tume inaundwa na Wajumbe saba (7), miongoni mwao wakiwemo Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti ambao wanapaswa kuwa na sifa ya Jaji wa Mahakama Kuu au Mahakama ya Rufani. Katika Uteuzi, Rais anazingatia kuwa endapo Mwenyekiti ni mtu anayetoka sehemu moja ya Muungano, Makamu wake atakuwa ni mtu anayetoka sehemu ya pili ya Muungano. Hii, ni kwa mujibu wa Ibara ya 74(1) na (2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 na Kifungu cha 5 cha Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Na. 2 ya Mwaka 2024..
Aidha, Mjumbe mmoja anateuliwa kutoka miongoni mwa Wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society - TLS) na Wajumbe wengine wanne (4) wanatakiwa wawe na uelewa wa kutosha kuhusiana na kusimamia nakuendesha Uchaguzi wa Wabunge au sifa nyingine kama ambavyo Rais wa Jamhuri ya Muungano atakavyoona inafaa kwa ajili ya kuendesha shughuli za Tume.
Sometimes CCM inawafanya hata chawa wanaoitetea mtandaoni wakose hoja ya kuwajibu wanaosema tume ina uccm ndani yake.
Sasa fikiria mtu kama Omar Mapuri ambaye ameshahudumu kama Katibu wa itikadi na uenezi wa ccm taifa leo anakuwa mjumbe wa inayosadikika kuwa tume huru kweli?
Mtu mwenye DNA ya uccm kweli aende kuweka uwanja sawa kwenye sanduku la kura?
Kwanini ccm imekosa weledi kiasi hiki? Hapa hata mtu asiye na uelewa wa mambo ya siasa ataona huu ni utani wa ngumi kabisa aise.
Kuna mtu hana chama hapa Tanzania?Huyo Omar Ramadhani Mapuri alikuwa katibu mwenezi ccm taifa
Huu ni zaidi ya Msiba.Huyo Omar Ramadhani Mapuri alikuwa katibu mwenezi ccm taifa
Hakuna Mwizi mwenyewe sura laini.Mbona wanasura ngumu sana?
Tusitaniane aisee. No reforms, No election 2025.INEC | Mhe. Jaji Rufaa Jacobs Mwambegele