Amewahi kuwa pia mbunge na waziri wa mambo ya ndaniHuyo Omar Ramadhani Mapuri alikuwa katibu mwenezi ccm taifa
Amos Makala wa enzi hizo😁Huyo Omar Ramadhani Mapuri alikuwa katibu mwenezi ccm taifa
Hivi tume iliyopita ikampa Jiwe ushindi wa kutisha ilikuwa na wajumbe gani ati!INEC | Mhe. Jaji Rufaa Jacobs Mwambegele
Mhe. Jaji Rufaa Jacobs Mwambegele
Mwenyekiti na Mjumbe wa Tume
Mhe. Jaji Rufaa Mst. Mbarouk Salim Mbarouk
Makamu Mwenyekiti na Mjumbe wa Tume
Mhe. Jaji wa Mahakama Kuu Asina A. Omari
Mjumbe wa Tume
Mhe. Balozi Omar Ramadhani Mapuri
Mjumbe wa Tume
Mhe. Magdalena Kamugisha Rwebangira
Mjumbe wa Tume
Mhe. Dkt. Zakia Mohamed Abubakar
Mjumbe wa Tume
Unawaona wajumbe hao wote sita wa Tume Huru ya Uchaguzi? Mgawanyo wao uko hivi. Wajumbe wanne kati yao ni Wazanzibari kama aliyewateua ambaye ni Rais Samia Suluhu Hassan na wawili tu yaani Mwenyekiti Jaji Jacobs Mwambegele na Magdalena Kamugisha Rwebangira ndio wanaotoka Tanzania Bara.
Aidha, kwa upande wa dini, wajumbe hao wanne kutoka Zanzibar pamoja na Mkurugenzi wa Uchaguzi Ramadhani Kailima (ambaye ni Katibu wa Tume) ni Waislamu kama alivyo aliyewateua, huku wawili tu niliowataja hapo juu ndio Wakristo.
Tusimlaumu Rais Samia kwa kuwateua hivyo kwa vile amefuata sheria zote.
Tume inaundwa na Wajumbe saba (7), miongoni mwao wakiwemo Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti ambao wanapaswa kuwa na sifa ya Jaji wa Mahakama Kuu au Mahakama ya Rufani. Katika Uteuzi, Rais anazingatia kuwa endapo Mwenyekiti ni mtu anayetoka sehemu moja ya Muungano, Makamu wake atakuwa ni mtu anayetoka sehemu ya pili ya Muungano. Hii, ni kwa mujibu wa Ibara ya 74(1) na (2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 na Kifungu cha 5 cha Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Na. 2 ya Mwaka 2024..
Aidha, Mjumbe mmoja anateuliwa kutoka miongoni mwa Wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society - TLS) na Wajumbe wengine wanne (4) wanatakiwa wawe na uelewa wa kutosha kuhusiana na kusimamia nakuendesha Uchaguzi wa Wabunge au sifa nyingine kama ambavyo Rais wa Jamhuri ya Muungano atakavyoona inafaa kwa ajili ya kuendesha shughuli za Tume.
Halafu eti unaambiwa ni tume huru ya uchaguziAmewahi kuwa pia mbunge na waziri wa mambo ya ndani
Ni hakikaNakazia
Watanyimwa misaadachama chakavu wanataka kutuletea vita. Kama demokrasia imewashinda turudi mfumo wa chama kimoja. Tupunguze unafiki.
Owky tumeiacha udini ila kwa nini hakuna usawa kwenye representation ya tume? Unakuwaje na wajumbe wapiga kura wanne kutoka upande mmoja wa muungano wakati ni fika uchaguzi ni jambo nusu la muungano? Kuna uchaguzi wa wabunge wa Tanganyika kuja kwenye bunge la Muungano. Hilo sio jambo la Muungano na ndio maana Zanzibar Wana tume yao. Wanachagua wampendae.Udini unatokea wapi ndugu.
Hivi tukianza kujadili na taasisi zingine kwa muktadha wa udini sidhani kama ni sahihi.
Hivi kwanini organization yoyote kukiwa na zidio la wingi wa watumishi wa imani uliyoitaja inakuwa nongwa?
Hebu njoo na analysis ya wingi wa watumishi wa imani usiyoitaja kwa taasisi zote nchini ili upate jawabu la hicho unachokifikiri.
"Wajumbe wengine wanne (4) wanatakiwa wawe na uelewa wa kutosha kuhusiana na kusimamia nakuendesha Uchaguzi wa Wabunge au sifa nyingine kama ambavyo Rais wa Jamhuri ya Muungano atakavyoona inafaa kwa ajili ya kuendesha shughuli za Tume"!INEC | Mhe. Jaji Rufaa Jacobs Mwambegele
Mhe. Jaji Rufaa Jacobs Mwambegele
Mwenyekiti na Mjumbe wa Tume
Mhe. Jaji Rufaa Mst. Mbarouk Salim Mbarouk
Makamu Mwenyekiti na Mjumbe wa Tume
Mhe. Jaji wa Mahakama Kuu Asina A. Omari
Mjumbe wa Tume
Mhe. Balozi Omar Ramadhani Mapuri
Mjumbe wa Tume
Mhe. Magdalena Kamugisha Rwebangira
Mjumbe wa Tume
Mhe. Dkt. Zakia Mohamed Abubakar
Mjumbe wa Tume
Unawaona wajumbe hao wote sita wa Tume Huru ya Uchaguzi? Mgawanyo wao uko hivi. Wajumbe wanne kati yao ni Wazanzibari kama aliyewateua ambaye ni Rais Samia Suluhu Hassan na wawili tu yaani Mwenyekiti Jaji Jacobs Mwambegele na Magdalena Kamugisha Rwebangira ndio wanaotoka Tanzania Bara.
Aidha, kwa upande wa dini, wajumbe hao wanne kutoka Zanzibar pamoja na Mkurugenzi wa Uchaguzi Ramadhani Kailima (ambaye ni Katibu wa Tume) ni Waislamu kama alivyo aliyewateua, huku wawili tu niliowataja hapo juu ndio Wakristo.
Tusimlaumu Rais Samia kwa kuwateua hivyo kwa vile amefuata sheria zote.
Tume inaundwa na Wajumbe saba (7), miongoni mwao wakiwemo Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti ambao wanapaswa kuwa na sifa ya Jaji wa Mahakama Kuu au Mahakama ya Rufani. Katika Uteuzi, Rais anazingatia kuwa endapo Mwenyekiti ni mtu anayetoka sehemu moja ya Muungano, Makamu wake atakuwa ni mtu anayetoka sehemu ya pili ya Muungano. Hii, ni kwa mujibu wa Ibara ya 74(1) na (2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 na Kifungu cha 5 cha Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Na. 2 ya Mwaka 2024..
Aidha, Mjumbe mmoja anateuliwa kutoka miongoni mwa Wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society - TLS) na Wajumbe wengine wanne (4) wanatakiwa wawe na uelewa wa kutosha kuhusiana na kusimamia nakuendesha Uchaguzi wa Wabunge au sifa nyingine kama ambavyo Rais wa Jamhuri ya Muungano atakavyoona inafaa kwa ajili ya kuendesha shughuli za Tume.
Nani anateuwa jopo la wataalamu.Chukueni mfano wa jirani yetu Kenya. (1) Kuwa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti (2) Kuwa Kamishna wa Tume Huru pia unapaswa kuomba nafasi hiyo. Nafasi hiyo inatangazwa HADHARANI kwenye vyombo vya habari, Magazeti na popote ambapo wananchi watapata taarifa hiyo. Na lazima uwe Jaji au mtu mwenye elimu ya Sheria. (2) Kuwa Kamishna wa Tume Huru pia lazima uombe nafasi hiyo na matangazo yanatolewa kupitia vyombo vya habari na magazeti. (3) Kuna jopo la watalaam wanaoteuliwa kuwafanyia usaili na kwa nafasi ya Mwenyekiti na Makamu mwenyekiti kila nafasi wanateuliwa washindi wawili na orodha hiyo inapelekwa kwa Mhe. Rais ili ateue mshindi mmoja. Kwa nafasi ya Makamishna kama wanatakiwa kumi basi Mhe. RaIs anapelekewa orodha ya washindi kumi walioshinda kwenye usaili na Mhe. Rais anawateua watano.
Kutokana na utaratibu huu kuna uwazi na hakuna upendeleo. Tume yao inaundwa kila baada ya miaka 10. Juzi tayari wamemaliza kuunda Tume yao kwa ajili ya uchaguzi wao wa 2027. Nashauri tuige mfano wao ili kuondoa malalamiko ya kila mara kuhusu Tume yetu Huru ya Uchaguzi.