Uangalie muundo wa Tume Huru ya Uchaguzi halafu tafakari mwenyewe

Tume ya Mchongo
 
Kwa tume hiyo inaonesha Nchi imebakwa kabisa na wahuni.
 
Ninasubiri comments za msomi mbobezi WA Sheria na Mtanganyika, Professor Kabuni
 

chama chakavu wanataka kutuletea vita. Kama demokrasia imewashinda turudi mfumo wa chama kimoja. Tupunguze unafiki.
 
Udini unatokea wapi ndugu.
Hivi tukianza kujadili na taasisi zingine kwa muktadha wa udini sidhani kama ni sahihi.
Hivi kwanini organization yoyote kukiwa na zidio la wingi wa watumishi wa imani uliyoitaja inakuwa nongwa?
Hebu njoo na analysis ya wingi wa watumishi wa imani usiyoitaja kwa taasisi zote nchini ili upate jawabu la hicho unachokifikiri.
 
nilikuwa nampendekeza jaji Walioba,pale Anna tibaijuka bila kumsahau Mzee butiku,hata kama wangetoka CCM,taja na wa kwako
 
Tusitaniane aisee. No reforms, No election 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…