Uasi mkubwa unakuja CCM

Wanaifanya nchi yakwao peke Yao nasisi watanzania tunakenua tu kama mingese vile, tupaze sauti rasilimali za nchi zinatafunwa na wachache, kila siku machawa wa SSH wanaongezeka kulinda matumbo Yao wanatufanya watanzania maiti manina
Wamehakikishiwa ulinzi wa vyombo vya dola ndo maana wameweza kungo'a mhimili unaojitegemea kimamlaka kinyume cha katiba..........
 
Wanaifanya nchi yakwao peke Yao nasisi watanzania tunakenua tu kama mingese vile, tupaze sauti rasilimali za nchi zinatafunwa na wachache, kila siku machawa wa SSH wanaongezeka kulinda matumbo Yao wanatufanya watanzania maiti manina
Lianzishe basi mkuu tufuate nyendo
 
Conspiracy theory hiyooooooo
Conspiracy theories kuna wakati mwingine hua zinafanya kazi.
 
Shukrani mkuu, nimepata elimu kidogo!
 
THE ELITE ni dude kubwa sana CCM ili kulidhoofisha ilibidi ubabe alioutumia Mwendazake utumike bila ya hivyo litaendelea kuila nchi.
 
Hakuna kitu kinaitwa sukuma gang ni conspiracy tu kuharibu reputation ya watu fulani

Kuhusu ccm maji ndio kwanza yanachemka
Naamini lile tamko la jeshini halijatoka bahati mbaya
Tuombe busara itawale wastaafu wasitumie nguvu zao vibaya
Nakubaliana na ww ni Conspiracy theory kuhusu Sukuma Gang
 
Aiseh;;mkuu mshanar ungesema pia sisi raia tufanyaje yaani tahadhari gani tuchukue wakati hali ikiwa tete?
Aisee hapo umemtega mzee... Awezi sema
Hapo akili kichwani kazi kwako kumalizia nini kifanyike.
Kimsingi katoa mwanga kwa kinachoendelea kazi yetu kuelekea kwenye mwanga.
Anyway 🤛🤛🤛
 
Mapeeema kabisa wakati mama anaapishwa kukikalia kiti niliwaambia watu kuhusu utata na ugumu wa uchaguzi ujao utakavyokuwa. Nausubiri muda ujiri
 
Mkuu acha basi kupotosha..kwa sisiem hii nani anaweza kuleta uasi na akatoboa!! Unachozungumza mm naona hakipo labda kama ni changamsha genge
 
Mkuu acha basi kupotosha..kwa sisiem hii nani anaweza kuleta uasi na akatoboa!! Unachozungumza mm naona hakipo labda kama ni changamsha genge
Usiwe mwepesi kuhukumu bali UPE MUDA WAKATI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…