Uasi mkubwa unakuja CCM

Uasi mkubwa unakuja CCM

Hakuna uasi wala nini....
CCM ishwari chini ya mh.Chifu Hangaya!

Mama anazidi kuifungua nchi 👍

#Kazi Iendelee
#Twende na Dr.Tulia Ackson 🙏

Kwani mahakama imeridhia Ndugai kuondoka kinyume cha katiba?

Kujiuzulu kwa Ndugai: Hongereni CHADEMA na NCCR japo haikutosha

Vipi CCM nao wameridhia Dr. Tulia kugombea u Spika huku akiwa angali Naibu Spika kinyume cha katiba?

Huko CCM mnafahamu kuna kitu kibaya katiba kinacho hitajika kufungwa kwenye uongozi wa nchi?

IMG_20220105_143355_470.jpg

Au kwenu, kununa, hasira, chuki, visasi nk ni vikorombwezo halali kwenye uongozi?
 
Imebidi niingie kwenye ukurasa wa Bunge.
Kwenye news and events kuna heading. Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai Ajiuzulu.
Hapo utakuta taarifa kwa vyombo vya habari kuwa yeye Job ameandika barua kwenda kwa katibu mkuu wa chama chetu kujiuzulu nafasi yake.
Para 2 ‘Pia nakala ya barua yangu hiyo ya kujiuzulu nimewasilisha kwa katibu wa bunge…’
Hoja yangu:
1. Kwenye ukurasa wa Bunge, ipo tu taarifa kwa vyombo vya habari ambayo ndo imesambaa mitandaoni.
2. Barua ya Job kujiuzulu haipo.
3. Katibu wa Bunge hajakiri kupokea barua y job
4. Hakuna mahali katibu wa chama chetu amekiri kupokea barua ya Job
5. Sijaona mahali hiyo nafasi imetangazwa kuwa wazi[emoji848]

My take: Job ni Spika halali wa Bunge.
Screenshot_20220104-220254.jpg
 
Kwani mahakama imeridhia Ndugai kuondoka kinyume cha katiba?

Kujiuzulu kwa Ndugai: Hongereni CHADEMA na NCCR japo haikutosha

Vipi CCM nao wameridhia Dr. Tulia kugombea u Spika huku akiwa angali Naibu Spika kinyume cha katiba?

Huko CCM mnafahamu kuna kitu kibaya katiba kinacho hitajika kufungwa kwenye uongozi wa nchi?

View attachment 2078309

Au kwenu, kununa, hasira, chuki, visasi nk ni vikorombwezo halali kwenye uongozi?

Imebidi niingie kwenye ukurasa wa Bunge.
Kwenye news and events kuna heading. Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai Ajiuzulu.
Hapo utakuta taarifa kwa vyombo vya habari kuwa yeye Job ameandika barua kwenda kwa katibu mkuu wa chama chetu kujiuzulu nafasi yake.
Para 2 ‘Pia nakala ya barua yangu hiyo ya kujiuzulu nimewasilisha kwa katibu wa bunge…’
Hoja yangu:
1. Kwenye ukurasa wa Bunge, ipo tu taarifa kwa vyombo vya habari ambayo ndo imesambaa mitandaoni.
2. Barua ya Job kujiuzulu haipo.
3. Katibu wa Bunge hajakiri kupokea barua y job
4. Hakuna mahali katibu wa chama chetu amekiri kupokea barua ya Job
5. Sijaona mahali hiyo nafasi imetangazwa kuwa wazi[emoji848]

My take: Job ni Spika halali wa Bunge.

View attachment 2078330
😳🤣🤣

Kaka mkubwa banaa ulikuwa "busy" kutomsikia katibu wa bunge na mh.kiongozi wetu Chongolo akiongelea kupokelewa kwa barua ya kujiuzulu ya mh.Ndugai ?!!
Ama kwa kuwa maelezo yao hayakuwekwa katika ukurasa wa mtandao wa bunge?!!
 
My take: Job ni Spika halali wa Bunge.View attachment 2078330

Msikie Mh. Mbatia hapa:

Kujiuzulu kwa Ndugai: Hongereni CHADEMA na NCCR japo haikutosha

Kuna hatari kuwa hata hiyo inayosemekana barua kwa Chongolo wameandika maCCM.
 
😳🤣🤣

Kaka mkubwa banaa ulikuwa "busy" kutomsikia katibu wa bunge na mh.kiongozi wetu Chongolo akiongelea kupokelewa kwa barua ya kujiuzulu ya mh.Ndugai ?!!
Ama kwa kuwa maelezo yao hayakuwekwa katika ukurasa wa mtandao wa bunge?!!
Ninakazia:
IMG_20220110_071335_038.jpg
 
Hakuna wanasiasa wa ovyo kama wa CCM, uwezo wao wa kufanya siasa ni ndani ya CCM tu huku Vyombo vya usalama vikiwa migongoni mwao.

Hakuna mpasuko hapo, atakae zingua sana ataishia kutimuliwa na huo ndio utakaua mwisho wake.
 
Angalia ritorikia ya Dkt. Tulia! Anasema kuwa ingawa yeye kachukua Fomu ya kugombea Kiti cha Spika, lakini Kiti cha Naibu Spika kimejaa, hakiko wazi! Ukiona mtu anatoka hadharani na kusema ujue kuna watu wanamrushia mishale gizani. Huenda wapo waliokuwa wanashinikiza ajiuzuru kwanza nafasi ya Naibu Spika. Huenda amekumbuka kilichotokea kwa Paul Makonda alipojiuzuru nafasi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwenda kugombea Ubunge. Mwisho wa yote akakosa vyote. Waliomshauri Makonda huenda ndio waliotaka 'kumshauri' Dkt. Tulia ajiuzuru. Aliyekueleza kuwa Askofu hajui siasa za CCM amekubebesha gunia la chawa! Kibo!

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
 
Back
Top Bottom