Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Ila nikukumbushe upinzani hakuua ila aliuimarisha🤔.na ndio unao watesa nduguzake, ule wa nje uliokuwa hatari zaidi na unaomea chumbani kwao hii Leo 🤸 .Hawa watu hawajui magu aliharibu mifumo kwa upande flan japo alikula mfupa uliowashinda wengine.. Kuna wkt magu aliharibu mtake msitake.
Kwa mfano, kujitenga na magharib ni kosa.
Kutengeneza makundi ni kosa gang hizi ni upuuzi.
Kutoshinikiza katiba na kuilinda yye aliikiuka kuivunja
Kutengeneza wahuni..wakina sabay na makonda...
Kuua upinzani ni kosa kubwa sana