Uasi mkubwa unakuja CCM

Uasi mkubwa unakuja CCM

Kuibomoa nchi kongwe na tajiri kama Ujerumani inachukua hata karne na Angela Merkel ameanzisha hilo tayari, miaka michache ijayo Ujerumani itakuwa siyo Christian Country tena na hiyo yote ni sababu ya Angela Merkel, lkn sitaki kuzamia sana huko kwenye mada ya Ujerumani turudi hapa kwetu, tuna kazi kubwa ya kufanya …
Mkuu tangia lini UJERUMANI IKAWA CHRISTIAN COUNTRY...
 
Kulingana na maamuzi na ya hivi karibuni ya rais SSH ya kuwaondoa baadhi ya mawaziri watenda kazi kama Lukuvi na wengine na kuingiza watu wake, tayari hii in kuwa SSH yuko chini ya State Capture.
State capture is a type of systemic political corruption in which private interests significantly influence a state's decision-making processes to their own advantage..
State Capture ni UFISADI MKUBWA wa. KISIASA ambapo WATU Binafsi kama Wafanya Biashara ama KUNDI MAALUMU lenye nia ISHAWISHI KISIASA kwa manufaa ya Wachache.
Hii itamgharimu sana sans. Maana watu wameamka na wanafuatilia kwa ukaribu.!
shige2
 
Kinachosaidia Elites Ni uwepo wa Godfather kumshinda sio rahisi Mr smile anakuchekea huku anakung’ata taratibuu Mkeka wangu naueka kwao,hata ivyo acha inyeshe tuone wapi panavuja
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hebu tuelekezeni jinsi ya ku take over sisi tulio nje ya mfumo ili tujiandae wakati ma CCM yanabutuana...Mimi niingie tu hata wizara ya mambo ya ndani nikayakamate ma CCM niyatie mahabusu mpaka 2026.
 
Kulingana na maamuzi na ya hivi karibuni ya rais SSH ya kuwaondoa baadhi ya mawaziri watenda kazi kama Lukuvi na wengine na kuingiza watu wake, tayari hii in kuwa SSH yuko chini ya State Capture.
State capture is a type of systemic political corruption in which private interests significantly influence a state's decision-making processes to their own advantage..
State Capture ni UFISADI MKUBWA wa. KISIASA ambapo WATU Binafsi kama Wafanya Biashara ama KUNDI MAALUMU lenye nia ISHAWISHI KISIASA kwa manufaa ya Wachache.
Hii itamgharimu sana sans. Maana watu wameamka na wanafuatilia kwa ukaribu.!
shige2
Mkuu ishia hapahapa. UNAKOZIDI CHOCHORA USIJE WAPA LAWAMA JF KUWA HAWATUNZI SIRI ZA WATEJA WAO.

UHURU bila mipaka ni VURUGU.
 
Haya mkuu, nimeogopa tu najaribu kukupa ushauri. Unaweza andika chochote ila mi nimeona nikupe angalizo kuwa kuna LINE ukifikia hapo inakuwa noma.
Ni sawa pia[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Hakuna kitu kinaitwa sukuma gang ni conspiracy tu kuharibu reputation ya watu fulani

Kuhusu ccm maji ndio kwanza yanachemka
Naamini lile tamko la jeshini halijatoka bahati mbaya
Tuombe busara itawale wastaafu wasitumie nguvu zao vibaya
Hata Mimi sikutegemea jwt watoe statement kama Ile wakati huu
 
Ni uasi ambao haujapata kutokea ndani ya chama cha mapinduzi CCM.. Baada ya kukaa madarakani muda mrefu sana ni kama kuna kikundi ndani yake kimejikuta kinajiona wao ndio ELITES wa hii nchi, na lolote ama chochote kinachofanyika ni lazima kipate kibali chao
Imefika mahali kikundi hicho kilichojitengenezea ukwasi na mtandao wa ajabu wenye ufadhili mkubwa wa matajiri waliojatajirikia ccm ambao si watanzania asilia kwa asilimia 100.. Kina uwezo wa nani awe nani kwenye nafasi gani

Ujio wa mwendazake ulifanikiwa kwa kiasi chake kuudhoofisha huu mtandao wa hiki kikundi lakini naye akaaza kuharibu kwa kuanza kutengeneza himaya nyingine mpya ya upande mmoja tena kwa ukatili mkubwa sana
Hapa kitisho kilikuwa wazi ni vita kati ya himaya mpya ya mwendazake vs mtandao kongwe THE ELITES ... Halafu sasa hiki kirusi kipya cha visiwani chenye vinasaba vingi na The elites! Hili linakolezwa na fununu zisizothibitishwa kwamba Taifa la Tz liko chini ya watoto wa familia moja.. 'Baba mmoja'... Ni TUHUMA!

Yaliyotokea ya mhimili mwingine mpaka kupelekea kujiuzulu, kauli ya mkuu wa kaya kuhusiana na 2025, uteuzi wa baraza jipya la mawaziri, na makatibu wakuu pamoja na wengine wote kuna tafsiri moja tuu... Uasi ujao na vita mpya kati ya sukuma gang, mtandao wa the elites , visiwani na bara na chawa wenye maslahi kwa kila upande..
Kila kundi liko chimbo likijiandaa kivyake... Ni mchezo wa kuwindana...uasi mkubwa waja...na ndio nafasi pekee ya walio nje ya mfumo ku take cover!
Amua either uwe investigative reporter utaje majina with facts na sources au uendelee kuwa mtu wa kutungatunga ukiwa kitandani kwako na boksa.
 
Asante kwa kushiriki mjadala.. Endelea kufuatilia
 
Ni uasi ambao haujapata kutokea ndani ya chama cha mapinduzi CCM.. Baada ya kukaa madarakani muda mrefu sana ni kama kuna kikundi ndani yake kimejikuta kinajiona wao ndio ELITES wa hii nchi, na lolote ama chochote kinachofanyika ni lazima kipate kibali chao
Imefika mahali kikundi hicho kilichojitengenezea ukwasi na mtandao wa ajabu wenye ufadhili mkubwa wa matajiri waliojatajirikia ccm ambao si watanzania asilia kwa asilimia 100.. Kina uwezo wa nani awe nani kwenye nafasi gani

Ujio wa mwendazake ulifanikiwa kwa kiasi chake kuudhoofisha huu mtandao wa hiki kikundi lakini naye akaaza kuharibu kwa kuanza kutengeneza himaya nyingine mpya ya upande mmoja tena kwa ukatili mkubwa sana
Hapa kitisho kilikuwa wazi ni vita kati ya himaya mpya ya mwendazake vs mtandao kongwe THE ELITES ... Halafu sasa hiki kirusi kipya cha visiwani chenye vinasaba vingi na The elites! Hili linakolezwa na fununu zisizothibitishwa kwamba Taifa la Tz liko chini ya watoto wa familia moja.. 'Baba mmoja'... Ni TUHUMA!

Yaliyotokea ya mhimili mwingine mpaka kupelekea kujiuzulu, kauli ya mkuu wa kaya kuhusiana na 2025, uteuzi wa baraza jipya la mawaziri, na makatibu wakuu pamoja na wengine wote kuna tafsiri moja tuu... Uasi ujao na vita mpya kati ya sukuma gang, mtandao wa the elites , visiwani na bara na chawa wenye maslahi kwa kila upande..
Kila kundi liko chimbo likijiandaa kivyake... Ni mchezo wa kuwindana...uasi mkubwa waja...na ndio nafasi pekee ya walio nje ya mfumo ku take cover!
Tatizo hata walio nje kutake cover na wao hawaelewi majukumu yaliyo mbele yao kutwa kucha wako Twitter kufarijiana huku wakisubiri waokote dodo chini ya mnazi. Kweli CHADEMA ni MBOWE!!!!
 
Jamani sote tunaelewa wananchi wanasemaje! Chakushangaza wanawake ndo kundi ambalo mwenzao hawa mkubali.
 
Back
Top Bottom