Uasi mkubwa unakuja CCM

Kitendo cha Samia kuwa Rais kimekera baadhi ya watu huku wakisahau katiba ndio imeelekeza hivyo, matokeo yake imeibua watabiri na waganga kibao ambao kila mmoja anaropoka kadri apendavyo.
 
Bora huo mtandao uwepo tunapata hata mchuzi kuliko ushenzi wa kina mwendazake.

Sasa ushenzi wa kuharibu uchumi wetu ndio inatufaidi nini?

Mathalani saizi tenda zimeongezeka,ajira zinatolewa,na biashara zinaanza kwenda.

Sasa msituletee upuuzi wenu
Sasa msituletee upuuzi wenu[emoji15][emoji3064][emoji15][emoji3064]
 
Kitendo cha Samia kuwa Rais kimekera baadhi ya watu huku wakisahau katiba ndio imeelekeza hivyo, matokeo yake imeibua watabiri na waganga kibao ambao kila mmoja anaropoka kadri apendavyo.
Halafu nawe unaungana nao...
 
CCM wamemtumia @dr wilbroad slaa na sasa wamemtelekeza

 
Mkuu huyo "Sukubas" ni nani hasa?! Sijabahatika kupata historian take?!
 
Kumbe upo ktk chuki zetu kongwe lkn nikudokezee tuu hakuna kiongozi au mtu yoyote Yule duniani atakae weza kuusimamisha KUSAMBAA KWA UISLAM
 
Exactly, lile tamko la JWTZ siyo la kawaida hii nchi haipo shwari kama watu wanavyodhani na ninaposema haipo shwari nina maana ndani ya vyombo vya usalama kuna tatizo.
Hakuna tamko wew apana chezea JWTZ lipo imara sana
 
Huyu Mama akifika hadi 2030, Wabara watakuwa wanahasira na Wazenji kuliko kawaida.
Kwani lini Watanganyika hawakua na HASIRA toka kuanza Kwa ukoloni wenu 64??
 
Leo ndiyo umejua umuhimu wa Magufuli?

Na bado nyumbu gang wote mtatubu kwa Chato.
Your browser is not able to display this video.

Endeleeni kuwapamnania wenye chama nyie vijakazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…