Mwamba028
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 4,595
- 3,670
tamko lipi hilo mkuu, embu nipe dondoo mana sijaliskiaHilo tamko ambalo limeondolewa kumbe ni la kweli kwa hao majamaa yenye mabaka???!!
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tamko lipi hilo mkuu, embu nipe dondoo mana sijaliskiaHilo tamko ambalo limeondolewa kumbe ni la kweli kwa hao majamaa yenye mabaka???!!
Mbona angel makel aliijenga ujerumani.A woman never builds a nation, haijawahi kutoka katika Historia ya Dunia yetu hii, a Woman destroys a nation!
How? Wakati ndiyo nchi yenye uchumi mkubwa europeAngela Merkel destroyed Germany !
Shillah tapeli yule.. anawadanganya maskini wa watu kuwa watakuwa mabilionea kama yeyeIsije ikawa editing kama ya nabii shillah
Jamani unamkataa nabii wetu wakiafrika 🤣🤣Shillah tapeli yule.. anawadanganya maskini wa watu kuwa watakuwa mabilionea kama yeye
How? Wakati ndiyo nchi yenye uchumi mkubwa europe
Kaubomoa vipi mkuu? Japan haijawahi kuongozwa na mwanamke lakini uchumi wake umekuwa stagnant, US haijawahi kuwa na raisi mwanamke lakini sasa China inaitishia kila sector. Sasa sielewi hebu nieleweshe kama hutojali markel kaibomoa vipi germany?Angela Merkel anazaliwa kaikuta Ujerumani ni nchi tajiri Ulaya na Duniani hivyo hakujenga uchumi wa Ujerumani kaukuta, na sasa kaubomoa!
Jamani jamani yaani mna habari nyeti hivi mtujuzi wakuu?Hilo tamko ambalo limeondolewa kumbe ni la kweli kwa hao majamaa yenye mabaka???!!
Nenda kwenye kambi ya jeshi iliyo karibu nawe watakupa Hilo tamko mkuutamko lipi hilo mkuu, embu nipe dondoo mana sijaliskia
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kaubomoa vipi mkuu? Japan haijawahi kuongozwa na mwanamke lakini uchumi wake umekuwa stagnant, US haijawahi kuwa na raisi mwanamke lakini sasa China inaitishia kila sector. Sasa sielewi hebu nieleweshe kama hutojali markel kaibomoa vipi germany?
Nimekosa mengi, mkuu Hilo tamko lilikua linasemaje???aseeHilo tamko ambalo limeondolewa kumbe ni la kweli kwa hao majamaa yenye mabaka???!!
Nimeshakuelewa unachomaanisha. Lakini mkuu marekani ilijengwa na kuruhusu uwepo wa watu toka mataifa mbalimbali. Mfano albert einstein siyo mmarekani, nikolas tesla siyo mmarekani wa kuzaliwa, wapo wengi wachina wahindi, utaona hata CEO wa google ni mhindi, steve baba yake msyria et el.Kuibomoa nchi kongwe na tajiri kama Ujerumani inachukua hata karne na Angela Merkel ameanzisha hilo tayari, miaka michache ijayo Ujerumani itakuwa siyo Christian Country tena na hiyo yote ni sababu ya Angela Merkel, lkn sitaki kuzamia sana huko kwenye mada ya Ujerumani turudi hapa kwetu hakuna Raisi aliyewahi kupingwa na kukataliwa mapema kama huyu
Nimekosa mengi,mkuu Hilo tamko lilikua linasemaje???asee
tamko lipi hilo mkuu, embu nipe dondoo mana sijaliskia
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Exactly, lile tamko la JWTZ siyo la kawaida hii nchi haipo shwari kama watu wanavyodhani na ninaposema haipo shwari nina maana ndani ya vyombo vya usalama kuna tatizo.Hakuna kitu kinaitwa sukuma gang ni conspiracy tu kuharibu reputation ya watu fulani
Kuhusu ccm maji ndio kwanza yanachemka
Naamini lile tamko la jeshini halijatoka bahati mbaya
Tuombe busara itawale wastaafu wasitumie nguvu zao vibaya
Asante,comredJWTZ wakanusha taarifa ya Mabeyo kuingilia suala la Spika
Siku za hivi karibuni kumekuwepo na taarifa za kupotosha ambazo zimekusudia kuwahadaa Watanzania kupitia mitandao ya Kijamii hususan YouTube, kwamba Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Salvatory Mabeyo anaingilia kati sakata la Mhe. Rais na Spika. Jambo ambalo siyo la kweli. Jeshi la...www.jamiiforums.com
Huyu Mama akifika hadi 2030, Wabara watakuwa wanahasira na Wazenji kuliko kawaida.Ila pia nahisi muungano kutetereka