Uasi mkubwa unakuja CCM

Uasi mkubwa unakuja CCM

Angela Merkel anazaliwa kaikuta Ujerumani ni nchi tajiri Ulaya na Duniani hivyo hakujenga uchumi wa Ujerumani kaukuta, na sasa kaubomoa!
Kaubomoa vipi mkuu? Japan haijawahi kuongozwa na mwanamke lakini uchumi wake umekuwa stagnant, US haijawahi kuwa na raisi mwanamke lakini sasa China inaitishia kila sector. Sasa sielewi hebu nieleweshe kama hutojali markel kaibomoa vipi germany?
 
hakuna kundi la ovyo kama hilo lililotengenezwa na JPM.
Kundi lililokuwa lina viumbe waovu,majambazi,waongo,wafiraji,watekaji,wauaji, washamba na wanafiki sampuli ya kina Sabaya kwa kujiita wazalendo.
 
hakuna kundi la ovyo kama hilo lililotengenezwa na JPM.
Kundi lililokuwa lina viumbe waovu,majambazi,waongo,wafiraji,watekaji,wauaji, washamba na wanafiki sampuli ya kina Sabaya kwa kujiita wazalendo.
SKMG
 
Kaubomoa vipi mkuu? Japan haijawahi kuongozwa na mwanamke lakini uchumi wake umekuwa stagnant, US haijawahi kuwa na raisi mwanamke lakini sasa China inaitishia kila sector. Sasa sielewi hebu nieleweshe kama hutojali markel kaibomoa vipi germany?

Kuibomoa nchi kongwe na tajiri kama Ujerumani inachukua hata karne na Angela Merkel ameanzisha hilo tayari, miaka michache ijayo Ujerumani itakuwa siyo Christian Country tena na hiyo yote ni sababu ya Angela Merkel, lkn sitaki kuzamia sana huko kwenye mada ya Ujerumani turudi hapa kwetu, tuna kazi kubwa ya kufanya …
 
Kuibomoa nchi kongwe na tajiri kama Ujerumani inachukua hata karne na Angela Merkel ameanzisha hilo tayari, miaka michache ijayo Ujerumani itakuwa siyo Christian Country tena na hiyo yote ni sababu ya Angela Merkel, lkn sitaki kuzamia sana huko kwenye mada ya Ujerumani turudi hapa kwetu hakuna Raisi aliyewahi kupingwa na kukataliwa mapema kama huyu
Nimeshakuelewa unachomaanisha. Lakini mkuu marekani ilijengwa na kuruhusu uwepo wa watu toka mataifa mbalimbali. Mfano albert einstein siyo mmarekani, nikolas tesla siyo mmarekani wa kuzaliwa, wapo wengi wachina wahindi, utaona hata CEO wa google ni mhindi, steve baba yake msyria et el.
Au hili haliwork tena? Maana china naona inajengwa na wao wenyewe.
 
tamko lipi hilo mkuu, embu nipe dondoo mana sijaliskia

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kitu kinaitwa sukuma gang ni conspiracy tu kuharibu reputation ya watu fulani

Kuhusu ccm maji ndio kwanza yanachemka
Naamini lile tamko la jeshini halijatoka bahati mbaya
Tuombe busara itawale wastaafu wasitumie nguvu zao vibaya
Exactly, lile tamko la JWTZ siyo la kawaida hii nchi haipo shwari kama watu wanavyodhani na ninaposema haipo shwari nina maana ndani ya vyombo vya usalama kuna tatizo.
 
Back
Top Bottom