Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
Sabato njema!
Kutokana na vilio vingi humu prakatatumba ikabidi niingie chimbo nifanye research ya haya mahusiano, maana watu wanachezea vitasa tu na vilio kila pande, wengine wanadiriki kujiua au kuwaza kunywa sumu kisa mapenzi.
Mimi nimeshadumu kwenye mahusiano kwa masaa mawili tu miaka hiyo, Mwanamke akishanikubalia hapa kwangu hakuna mapenzi ya kihindi yaani ni msimamo na ubabe lakini nampenda na kumjali na kumtimizia mahitaji yake nikimwambia sitaki hichi namaanisha kweli, nikisema usifanye hivi namaanisha sitanii wengine wanaamua kuondoka na kusema Mimi ni mkorofi hatuwezani wala sibembelezi mtu.
Mtu unae mpenzi wako sijui mke unasema unaogopa kushika simu yake mara mpenzii au mchumba waako hataki uguse simu yake kuna mahusiano hapo? Inabidi umkate jicho tu akimbie mwenyewe.
Nakumbuka miaka hiyo mzee alikua anamuuliza mama labda akishika simu yake kwamba hii namba ya nani? Futaaaaaa, hata Kama ni watu wa kazini kwake, swali ni moja tu anao msaada gani kwenye maisha yako? Na wameshazeeka sana sijawahi shuhudia ugomvi.
Mwanamke hapewi 50/50 inabidi wewe uwe final say, ukisema hutaki ni hutaki, ukijifanya wewe ni gabachori utagongewa tu, inabidi uwe mwanaume ambae manzi yako akijua umejua amecheat anakimbia mwenyewe hakutafuti. Maana utamchalaza fimbo zisizo na idadi haijalishi umetoa mahali au hujatoa.
Ety una mwanamke amejaza namba za wanaume ukimuuliza anasema marafiki zangu?????....Mimi swali langu huwa ni moja tu "Mama ako na yeye amejaza namba za wanaume Kama marafiki? Mzee wako anaridhia hilo jambo? Basi kama mama ako hana namba za wanaume kwenye simu yake basi futa"" akizingua ni kofi tu.
NB: Mimi ni mwanaume ambae wanawake wananiita nina gubu kwa sababu Mimi nasema ukweli, napenda uwazi, palipo na kosa nakwambia ukweli, Lakini wenyewe kwa sababu movie za kifilipino zimesha "waaffect wanataka kuishi Kama wafilipino" Haitowezekana maana nyumbani Mimi ni nyachabankeye Musoma.
Akizingua kofi.