Ubabe wa Israel Kijeshi

msaada inaopata israel inachangia asilimia ngapi ya pato lake?
Hizo bidhaa za viwandani zisizo lipiwa kodi ndo vibachangia pakubwa na misaada ya kiuchumi alafu kwann apokee msaada kama anajiweza?

Taifa lolote linalo pokea misaada hilo linahesabika kama taifa masikini tu.
 
Nina vitabu kadhaa vya Mossad, nilivipenda sana kusoma op zake, ila kwa sasa sijisikii kuvisoma tena.inaonekana ni waongo sana!
 
Nadhani shida yako ushabiki. Iran alipiga mkwara asiingie gaza,kaingia na ametulia.
Hao Hezbollah leo mara ya ngapi wanatoa matamko???
Halafu kumbuka hao hamas ni ngumu kuwatofautisha na raia na heavy fighting to them inaleta majanga makubwa sana kwa raia wasio na hatia kama kule Yemen kwa Saudi Arabia.
 
Mchawi lugha
 
Hizo bidhaa za viwandani zisizo lipiwa kodi ndo vibachangia pakubwa na misaada ya kiuchumi alafu kwann apokee msaada kama anajiweza?

Taifa lolote linalo pokea misaada hilo linahesabika kama taifa masikini tu.
jibu swali acha kuruka ruka
 
Ndio wanaweza kupulizia hta ges ya sum huko si unataka kuangamiza bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…